# Wajibu ya kikristo kwa maibada
Kila wajibu ya kwanza ya kikristo kuhusu maibada ni nini? Kuwa vijakajzi wa kweli na waminifu wa neno la Mungu! Ni ni nini imeifanya ono ya maibaida iwe yenye kuvifa? Yamekuwa se hemu ya kweli — Ya kweli nyingine, lakini ni mchanganyo ndiyo imekuwa ya hatari. Tumekuwa kwa kazi wenye kufungwa ile tuwe wenye kozoeana na kweli kwa kuweza kutambua wakati neno imekuwa tu kidogo "nje" Mwaminio alipewa uwezo na mamlaka juu ya uwezo wote wa adui.
Luka 9:1- Akawaita wale thenashara, akawapa uwezo na mamlaka juu ya pepo wote na kuponya maradhi.
1 Petro 5:8- Muwe na kiasi, na kukesha; kwa kuwa mshifaki wenu ibilisi, kama samba angurumaye, huzunguka zunguka, akitafuta mtu ammeze!
Mamlaka ya mwaminio ni juu ya Ibilisi na nguvu yake ya kuharibu mpango wa Mungu kwa ajili ya maisha yetu. Mmoja ya majumbe ya muhimu ya kutafakari katika fundisho hii ni ya kuwa Mungu alimkirimia mwaminio uwezo na mamlaka yake.
Luka 9:1- Akawaita wale thenashara, akawapa uwezo na mamlaka juu ya pepo wote na kuponya maradhi.
Yohana 1:12- Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika. Watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
Mathayo 10:1- Akawaita wanafunzi wake kumi na wawili, akawapa amri juu ya pepo wachafu wawatoe, na kupoza magonjwa yote na ndhaifu wa kila aina.
2 Wakorintho 10:8- Maana, nijapojisifu zaidi kidogo kwa ajili ya mamlka yetu (tuliyopewa na Bwana, tupate kuwajenga wala si kuwangusha), sitat hayarika:
Tito 2:15- Nena, maneno, onya na kukaripia kwa mamlaka yote, asikudharau mtu awaye yote.
Mwaminio hawezi kuzuiwa au kusimamishwa na ibilisi ikiwa amejua jinsi ya kutumia vizuri ile mungu alihaidi na kutolea. Imetupasa kuwa ufahamu ya matoleo ya Mungu, lakini imetupasa tena kujifunza jinsi ya kutia yale ahadi katika matendo. Yo yote ambayo mungu alihaidi imeongezwa kwa maisha yetu kadiri tumejitahidi kimwaminia. Hiyo imani imehitaji kweli utii. Aminia na utii
Matambko tano tofauti ya kiyunani…
Exousia, Kiyunani, mamlaka, ziada, uwezo, ushotelevu, uwalimu.
Dunamis, kiyunani. Nguvu, na zaidi uwezo wa kutenda myufeza
Kratos, kiyunani Nguvu ("Mku") Utawala nguvu, uwezo.
Arche, kiyunani, mwanzo, au ya kwanza (kitu), kadhi, uwezo.
…ambao imetafsiriwa sawa sawa.
Kiyunani | Wakolosai 2:15 | Luka 9:1 | Luka 10:19 | Waefeso 1:19 | Waefeso 1:21 |
---|---|---|---|---|---|
Exousia | "Uwezo" | "Mamlaka" | "Uwezo" | - | "Uwezo" |
Dunamis | - | "Uwezo" | "Uwezo" | "Uwezo" | "Nguvu" |
Kratos | - | - | - | "Uwezo" | - |
Arche | "Ukuu" | - | - | - | "Ukuu" |
Kuriotes | - | - | - | - | "Utawala" |
Uwezo na mamlaka ni yenye kuambakana zaidi, ni kigumu kutenga moja kwa ingine. Uwezo na mamlaka yote imehaidiwa na hata kwa wakati moja hatuwzei kuwa na uwezo bila mamlaka na vivyo hivyo. Kwa mafia ya mafunzo "uwezo" na "mamlaka" imetofauti katika hii gari. "ya mipeto" kumi na mnane. Uwezo ni NGUVU. Nguvu ya kwenda safari ya kilomita themanini kwa saa moja. Mamlaka ni HAKI. "Akidapalisi" — Haki ya kusema" Hima"
Ni nini imestahili kwa kutumikisha hii mamlaka?
Waefeso 1:3,19,21- mahali au msimamo wa uwezo na mamlaka yenye kuhaidiwa. 2 Petro 1:2-10- Tumeyatumwa uwezo na mamlaka ambayo ilihaidiwa?
Waebrania 12:2- tukimtazama yesu, mwenye kuanzisha na mwenye kutimiza imani yetu; ambae kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele yake aliustahimili msalaba na kuidharau aibu, naye ameketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha mungu. (Matendo 19:14-16)
Mathayo 23:23- ole wenu waandishi na mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnalipa zaka za mnanaa na bizari na jira, lakini mmeacha mambo makuu ya sheria, yaani adili, na rehema, na imani, hayo imewapasa kuyafanya, wala yale mengine msiyaache.
Luka 10:20; 2 Wakorintho 7:9; Warumi 10:5; Wagalatia 2:20; Yakobo 4:6,10; 1 Petro 5:5,5; Mika 6:8, yohana 6:57
Wumetunza ya kutosha kabla ya kushambulia? Kabla ya faraja kumepashwa kuwapo kweli. Usome kwenye wagalatia 6:1-10.
Wagalatia 6:12- Ndungu zangu, mtu akighafilika katika kosa lolote, ninyi mlio a koho mrejezeni upya mtu kama huyo kuvi roho ya upole, ukijinagalia, nafsi yako usiji ukajaribiwa wewe mwenyewe. 2 Mchukukiane mizigo na kutimiza hiyo sheria ya kristo.
Ni nini wajibu ya makanisa wakati mkristo mwenye kutenda ametenda dhambi? Kwekikisha ni kwa ndugu wa kweli. Ya rohoni kufanya. Ndugu wa kweli ambae ni wa rohoni wana wajibu ya kumsikiliza kwa swali mtu ambae alighafilika katika kosa ili awezi kurekibishwa.
Sikuzote kutamsaha mabay na kweli. Ndugu rohoni amepashwa kahumia kweli ya neno la mungu makusudi kudamsho mabaya (yohana 1:11; Zaburi 69:8; 122:8; 133:1; Mithili 6:10-19) Kukamisha mabaya ni imefunyika sikuzote wakati mtu ametegamia neema ya mungu imusahidie. (wagalatia 1:6; 2:21;6:18). Kwenye neema ya Mungu imetegemewa kumakuwapo bidii na na maisha ya sala. Bidii na maisha kanulifu ya sala ni ya muhimu zaidi kwa kujitahhidi kurejeza alio ghofilika kwa sababu ameguswa amekosa tumaini na nyakati nyingi amekuwa na uchungu, ni kigumu kumrejeza kwa utubio.
Paulo alimrekibisha Petro:
Wagalatia 2:11- Lakini Kefa (Petro) alipokuja antiokia, nail shindana naye uso kwa uso, kwa sababu alistahili hukumu. Katika 3 yohana 1:9,10, Paulo amejitolea kumrekibisha Dio triphes wakati ya safanri yake ijayo.
I Wakorintho 8:12- thoyo, mkiwatenda dhambi ndugu yenu na kuitia jiraha dhamiri iliyo dhorifu, mnamtenda dhambi christo.
Warumi 8:12- Bisi, kama ni hiiyo ndugu, tu wadeni, si wa mwili tuishi kwa kufuata mambo ya mwili.
Warumi 7:4; 8:13; 10:1; 11:25; 15:15, 30,; 16:17; 1 Wakorintho 1:10, 11; 3:1; 4;6; 6:5;8;7:24
Ifohana 3:6- Katika hili tumelifahamu pendo, kwa kuwa yeye aliutoa uhai wake kwa ajili yetu; imetupasa na sisi tuutoa uhai wetu kwa ajili ya hao ndugu.
Badala ya kutazama majeshi letu ambae walijarahaliwa kuanguka upande wa njia na kwendelea kwa raisi matembezi yetu imetupasa kuwa na shumriko kuu kwa ajili ya ndugu ambaye walianguka. Tumeamuriwa kwa hiyo kuitaa uhai wetu kwa ajili ya nduguuhaiwetu kwa ajili yao.
Tamko "Fault" (Kosa, au dhambi) maana kukwaa au kuanguku. Si ne neno mar ngapi walianguka, tumehtaji kuwapelekea ujumbe wa kupatana na Mungu « Upatane na Mungu » warumi 4 ;25 ; 5 :15-20 ; II wakorintho 5:17-20 ; waefeso 2 :1-5- Lakini mungu….
Yakobo 5 :16- Ungamini dhombi znu ninyi kuwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akumba kwa bidii.
I Wakorintho 2 :15- Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu.
I Wathesalonike 5 :21- Jaribuni mambo yote ; lishikeni lililo jema.
Jinsi bora ya kumrejesha mtuni kushindana uso kusi uso kuhusu mwenendo yao, aminio, na tabia. Si raisin a watu wengi wameepuka mashindano (mathayo 18:15), lakini imekuwa ya kusaidia na ya lazima zaidi. Kila mara zaidi tumeusika na mashida katika maisha ya watu kuhusu milile. Masumbufu yetu ni thamani ndogo ya kulipa kama tumeweza kupata ndugu!
Nimenjali kweli kweli huyo mtu au wamenikasirisha tu? Sababu kamili ya mashindano ni: 1) Kumajisha mtu kwa umoja na maendeleo 2) Ili mungu aonyeshe pendo lake kwa ajili yao kwa njia yako. 3) Kwa kumasaidia mtu ajui kweli na kuipenda na kuiishi.
Omba ili Roho mtakatifu awe nao na awaongoze. Wumilia na omba zaidi kuhusu mashindano. Nina hakikisho ya kuwa Mungu ameongoza ? nilitazama nafsi yangu yote katika eneo ambayo nimetaka kushindana? Mathayo 7 :3,4 ; II Wakorintho 13 :5
Nina mambo yote sawa ? uwaendee ndugu ambae wameweza kuwatambua ndugu katika haki.
Nguvu ya sauti yako, matamko na jinsi umetumia matamko yake ni ya muhimu sana. Hasa usitumie hasira kama maneno yako makuu. (Mithili 12 :18 ; Yakobo 1 :19 ; zaburi 115 :3 ; Mithili 17 :9 ; Kumbu-kumbu la Torati 13 :14)
Watu na mambo yenye hatari imehitaji kushambuliwa na kuzuiwa kanisani na maishani kwa ujumla (Matendo 20 :26 ; Wagalatia 2 :11 ; Mathayo 16 :23)
1 Samueli 17 :29— Na Davidi, Nimefanya nini sasa ? Hakuwapo sababu ?