# KUFAULU MAFUNZO  HAYA

KUFAULU MAFUNZO &nbsp;HAYA

## Vigezo vya mafunzo kwa ujumla: 

- Kuhudhuria kila somo.
- Kufanya kazi za kuandika na nadharia. 
- Kujifunza kwa kukariri: Maandiko.
- Orodha ya majina ya vitabu vya Biblia kama vilivyopangwa.
- Kutimiza kazi kwa <u>wakati &nbsp;uliopangwa</u> ikiwa ni pamoja na maswali ya kujifunza na mambo mengine ya kufanyia nyumbani kwa maagizo ya Mwalimu. 

## Jinsi daraja litakavyopimwa: 

<u>Asilimia kwa daraja la mwaka</u>

- MAHUDHURIO					30 %
- KAZI ZA KUFANYIA NYUMBANI		20 %
- MASWALI YA KUJIFUNZA			15 %
- CHEMSHA BONGO				25 %
- MTIHANI WA MWISHO				10 %
- Daraja la kufaulu	80%+
- Daraja la mwisho wa mwaka la 80% au juu zaidi litahitajika ili kufaulu mafunzo haya.

**Kazi zitakazo kabidhiwa kwa kuchelewa zitaadhibiwa angalau kwa alama tano.**