KUFAULU MAFUNZO HAYA KUFAULU MAFUNZO  HAYA Vigezo vya mafunzo kwa ujumla: Kuhudhuria kila somo. Kufanya kazi za kuandika na nadharia. Kujifunza kwa kukariri: Maandiko. Orodha ya majina ya vitabu vya Biblia kama vilivyopangwa. Kutimiza kazi kwa wakati  uliopangwa ikiwa ni pamoja na maswali ya kujifunza na mambo mengine ya kufanyia nyumbani kwa maagizo ya Mwalimu. Jinsi daraja litakavyopimwa: Asilimia kwa daraja la mwaka MAHUDHURIO 30 % KAZI ZA KUFANYIA NYUMBANI 20 % MASWALI YA KUJIFUNZA 15 % CHEMSHA BONGO 25 % MTIHANI WA MWISHO 10 % Daraja la kufaulu 80%+ Daraja la mwisho wa mwaka la 80% au juu zaidi litahitajika ili kufaulu mafunzo haya. Kazi zitakazo kabidhiwa kwa kuchelewa zitaadhibiwa angalau kwa alama tano.