# Test: Maswali ka Utangulizi wa Biblia
Maswali ka Utangulizi wa Biblia
Biblia ni nini?
Dhamira kuu ya Biblia ni _________________________________________________
Mwanzoni Agano la kale liliandikwa kwa lugha ya:
- Kilatini
- Kiebrania
- Kigriki
- Kiarabu
Uvuvio maana yake nini?
- Pumzi
- Msukumo
- Pumlia
- Pulizia
Kuna mawazo potofu mangapi kuhusu uvuvio wa Biblia?
- Tano
- Saba
- Tatu
- Kumi
Jaza na fasi zilizoachwa wazi.
Kitabu cha Matendo kimethibitishwa _____________________ kuwa sahihi.
Neno ___________ maana yake ufito, rula au kifaa cha kupimia urefu.
Lengo la masoreti lilikuwa ni ________ __________, maneno na maana ya maandiko.
Jibu kweli au sio kweli.
Viongozi wa kwanza wa kanisa walizifikisha taarifa hizo za Agano Jipya kwa waliowapokea.
Biblia ina jumla ya vitabu 39.
Katika Agano Jipya kuna nyaraka 21 tu.