WARUMI SURA YA 9-11 9-11 WARUMI SURA YA 9-11 9-11 Uchunguzi wa Muundo wa warumi 9-11 Sikitiko la mtume kwa ajili ya kukataa kwa waisrael (9:1-5) Ukataaji wa waisrael na utawala wa Mungu (9:6-29) Ukataaji wa waisrael na jukumu la binadamu (9:30-10:21) Ukataaji wa waisrael na kusudi la Mungu kwa ajili ya msitakabali wao (11:1-32) Maneno ya mtume ya sifa za Mungu (11:33-36) Kukataa kwa wa waisrael na kusudi la Mungu na msitakabali wao (11:1-32) Kukataa kwa waisrael sio kitu cha kidunia (11:1-10) Ukataaji ni KUTOKUAMINI kwa wayahudi (Mdo. 14:2; Ufu. 21:8). Upofu ulikuwa kwa kusudi na sio kitu cha kudumu (11:11-21) Mapenzi ya Mungu ni kuwa na huruma juu ya wote (11:22-32) "Kwa kukataa injili, na kwa hasira yao katika kuhubiriwa injili kwa mataifa, wayahudi walipata kuwa maadui wa Mungu. —Matthew Henry Rehema ya Mungu (Zab. 13:5; 89:2; Yak. 5:11).