Skip to main content

Dalili ya Ibada

Iufunuo ya nje ya Biblia

Watu mubaye wamungizana katika ufunuo isiyo katika Biblia wameinukua mamlaka za juu. Hawaaminie ya kuwa Biblia tu ndiyo mamlaka kuhusu ufunuo. Ufunuo ya nje ya Biblia si ya Mungu. Ufunuo wote umepashwa katika maandiko. Ufunuo ya tabia ya Mungu yapashwa kuwa kweli sawasawa na andiko bila kubadili viote mila moja.

1 Wakorintho 2:13—Nayo twayamena, si kwa maneno yanayo fundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bale yanayo fundishwa na loho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni.
Roho mtakatifu imefunua kweli kwa wenye haki na hatuweke mpaka kwa maendeleo ya ufunuo. Hakuaminie kila mambo ambayo imekamisha au haiku katika Biblia.
Kumbu-kumbu la torati 4:2—Usiongeze kwa neon nine kuamuru na usipunguze kwa hiyo, lakini uyashike omri ya Bwana Mungu wako ambayo nimekuwamaru.
Kumbu-kumbu la torati 12:32—Ufanye kila neon ambao nimekwamuru, usiongeze wala kupunguza.
Milhili 30:5—Kila neon la Mungu nisafi, ni ngao kwa wale ambae wamemkimbilia. 6. Usiongeze kwenye maneno yake, hama atakutemea na kukuha kikisha kuwa mwongo.

Kunakuwapo ma ibada mengi ambayo zimeishuhudia kuwa nje ya ufunuo ya biblio.

  • Islamu — Koromi
  • Kaniba ya yesu kristo ya watakatifu wa siku ya mwisho — Kitabu cha Maaman
  • Washahidi wa yehova — Tafsiri ya ulimwengu mpya
  • Mwaka mpya — urantia [Kitabu ya fikira na ya rohoni ambayo ime usika na Mungu, yesu, maarifa maarifakuhusu, viumbe, vya asili, dini, mambo ya kale na maisha iyayo?? Ilitoka kwenye serkali ya Chicago, Illinois, Monekani, kwa muda wa wakati kati ya mwaka 1924 na 1955. Kitabu cha Urantia kumeyakana mafundisho ya kikristo kadha wa kadha.]
Katoliki — Apoerypha
II Wakorintho 11 :4—Maana yeye ajaye akihubiri yesu mwingine ambaye sisi hatukumhubiri, au mkipokea Roho nyingine msiyoipokea, au injili nyingine msiyoikubali, mnatenda vema kuvumiliana naye.
Wagalatia 1 :6,7—Nastorajoibu kwa kuwa mnamwacha upesi hivi yeye aliye waita katika neema ya kristo, na kugeukia injili ya namna nyingine. 7. Wala si nyingine, lakini wapo watu wawataebishao na kutoka kuigenza injili ya kristo.

Angalisho ya Biblia kwa schemu

Kufanya angalisho kwa vipande ya andiko, na kukosa yote.

Yohana 6 :12—Nao waliposhiba, aliwaambia wanafunzi wake, kusanyeni vipande vilivyobaki, kisipotee cho chote.
Matendo 13:10—Atasema, ewe mwanye kujoa hila na usevu wote, mwana wa Ibilisi, adui wa hakiyote, huachi kuzipotoa njia za Bwana zilizonyoka ?
Matendo 20:27—Kwa maana sikujiepusha na kuwahubiria habari ya tusudi lote la Mungu.

Tumehitaji kuambatoma na KUSUDI LOTE LA MUNGU (II Tim. 2:15; Yohano 5:31; Ufunuo 3:18) na andiko lote imetoleioa kwa uongozi wa Mungu (II Tim. 3:16)

Kunakuwapo watu wengi ambae kwa makusudi wamegenza andiko kwa faida yaa binafsi. Ambae wamechukwa schemu ya kweli na wameifanya kuwa maandiko yote. Kweli musuni uongo na utumizi wa andiko yao nyuma ya udanganyifu ni tena kudamganya.

Billy Sunday alikuwa na tabi aya kusema : « ombi la msamaha ni ngozi ya sababu ambaye imekwisha kufunikwa na uongo ». Ndiyo, ni tendo la kawaida ya ma ibada kuchukua ngozi ya kweli na kuifinika na uongo. Neno moja yenye kuongezwa au kupunguzwa imeweza kubadili maana yote ya maneno, na yote imekuwa kama kawaida kweli, imejifanya kuwa uongo kunakuwapo hatari kubwa binafsi kwa kugeuza Neno

"Te ! tumesuka uzi nyenye kuchongomana, wakati kwanza tumetenda udonganyifu !"—Bwana walter Scolt, Toka kwa shauri yake Marmion

Imetupasa kufanya angalisho yetu kwenye ujumbe yote yo Neno la Mungu yote

Kuhusu kutafakari tu schemu ya andiko na kutokujali ingine

Yesu aliwakemea waandishi na wafarisayo kwa kutokujali mambo mazito za sheria —Math. 23:23 Watachuja mbu na kumeza ngoma (Math. 23:24). Katika hiyo makosa, wamejifanya kuwa mbali na kweli. Mara tumeejilokeza mbali ya nia wazi ya andiko, tunahotari ya kujifanya kuwa mabli na kweli. (II Wathes. 2:10; Yer. 7:28; Ufunuo 22:19)

Mifano ya angalisho yabiblia yenye kuwa ya schemu

Watu kadha wa kadha wameangalia maandiko ya Paulo kama yenye kuongozwa na Mungu

Kutafakari zaidi mashetani,

Kila tendo ya mwili siyo shetani. Zaidi ya yote, kila mambo mabaya ambayo imetukia maichani, siyo tu kwa lazima kosa ya Ibilisi (Wagalatia 5:19-21)

Badhi ya watu ambaye walibatizwa na maji kwa namna fulani, ni ya mafaa kwa wolovu.

Hakuna wokovu katika maji, kwani tumeokoka kwa nja vinami katika danni ya yesu kristo ambayo ilimwagika kwa ajili yetu. (Warumi 5:9; Waefeso 1:7 ; Wakolobai 1 :14,20 ; Waebrania 9:14)

Washahidi wa yehova wamefundisha wokovu kwa matendo.

Matendo ni matokeo ya imani (Yakobo 2:17-26) Matendo haiwezi kuokoa, bali matendo imezaliwa katika muishi ya mwaaminio kama umeokoka (Waefesa 2:8-10, Warumi 4 :2-3, Tito)

Kugeuza Neeam ya Mungu kuwa kibali kwa dhambi

Yuda 4—Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri wabadilio neema ya kungu wetu kuwa ufisoidi, nao humkama yeye aliye peke yake mala, na bwana wetu yesu kristo.

Kuna watu ambae wamefundisho unami bila matendo ya mapendo safi wamebadili neema ya uwezo ili kuishi juu ya dhombi kuwa kibaliya dheombi-ufisadi.

Tumeamuriwa mara na mara kutokupenda dhombi (Iyohana 2:1-4; wanenu 6:6; 11-20; 20-23; I Petro 4:1)

Tumeweza kupoteza wokovu kwa kufa kirohoni kama umeweza kufanywa kuwa, umeweza kufa pia (kutoka 32:33; ufunuo 22:19; Ezekieli 3:20, 21; 18:24: 33:13) Hakuna matoleo ya kufunika maadamu tumeishi katika dhombi kyelekezo tu ya wokovu ni ujumbe wa kutubu wa yesu kristu

Genka na wache kutenda dhombi kuna dhobihu mojatu ambayo imeweza kusomehe dhombi na ni hiyo ya kristo.

Waebrania 10:26—Maana, kama tukifanya dhombi kusudi, baada ya kuupokea ujuzi wa ile kweli, horibakitena dhabihu kwa ajili ya dhombi.

Wamefanya fikira bara kwa nje.

Maendeleo ya Imani katika jamaa ya walishindwa kujua ya kuwa ahadi ya mungu yalikuwa na lazima Fulani.

Imani ni ya lazima — Mathayo 21:22

Utakatifu ni ya lazima — Waebrania 12 :14 Kuishi katika kweli ni ya lazima — Yohano 15 :7 Myongoni mwa « walimu wa utajirié Ushindi kuhusu hela imetumiwa kama kipimo cha kiroho. Lakini Mungu alihaidi akakujazia haja yetu, siyo tamara zetu. Wafilipi 4:19 ni ahadi ambao alihaidi wale ambae walitoa kwa ukurimu mara na mara tena. Siyo ahana ya kuonya watu ili watae kusudi wapoke, lakini kuwakumbusha waminifu ya kuwa bwana ni mwaminifu na hatasau (watu wengi wamehisabuliwa kuwa wenye imani waliffansiriwa kuwa kama wenye kukosewa kwa kipimicha dunia Waebrania 11:37)

Wafilipi 4:19—Na mungu wangu atawafazeri kila mnachokihitafi kwa kadiri ya utajiri wake, katika utukufu, ndani ya kristo yesu.

Wenye Kuzaa Wokovu wao Wenywe

Kazi ya mafikiri ya judiazri ingali imetenda Ibilisi ame shawishi watu kurudi kwenye angano za kale. Wengine womejaribu kuyashika yote mbili agano za kale na jipya wamejaribu kupata kuhesa bulisheria wa haki mbele ya mungu kwa kuyashika.Hii ni kinyume ya andiko.

Sheria yak ale imekwisha kuvunjwa (Wakolosai 2:14-17) Sheria kama yote ilitimilizika katika yesu kristo.

Ile waaminia wote wamehitaji kuelewa ni ya kuwa kwa njia ya imani katika yesu kristo kumefanywa kuwa haki na kwa njia ya haki ya kristo ambayo imekuja kwetu toka imani tumeweza na tumeposhwa kutimuliza amri zote za mungu. Neema ya mungu yona uwezo ya kutusukuma sisi kuishi juu ya sheria na siyo ku kibali cha maisha bila sheria.

Wamimi 10:4 — Kwa maana kristo ni mwisho wa sheria, ili kila aaminiye ahesabiwe haki.
Mathayo 5:17 — Msidhomi ya kuwa nalikuja kuitongua torato au manabii, bali kutimiliza.
Wagalatia 2:16- ahli kukijua ya kuwa muanadamu hahesabiwihaki kwa matendo ya sheria, bali kwa imani.
Galatia 3:11- Ni dhahiri ya kwomba hakuna mtu ahesabiwaye haki mbele za mungu katika sheria. Kwa sababu, mwenye haki atoushi kwa imani.
Rom. 13:8 … for he that loveth another hath fulfilled the law.
Warumi 13:10 -… basi pando ndilo utimilifu wa sheria.
Wagalatia 5:14- Maana torati yote imetimilika katika neon moja, nalo ni hili, umpende jirani yako kama nafsi yako.
Yakobo 2:8 — Lakini mkikimiza ile sheria ya kifalme kama ilivyoandikwa mpende jirani yako kama nafsi yako, mwatenda vema.

Wokovu ni kipawa kwa wote ambaye wamempokea yesu kama Mokozi (Warumi 1:16, 1-13) Kakuna tofauti kati ya miyuda na mta wa matorifa wokovu ni kwa neema kwa njia ya imani (waefeso 2:8, 11-22) Christo alipiga nukta kwa sheria ya kale na alitimiliza sheria ya mwenendo ili utii kwa kristo iwe maisha.

Yohano 15:10—Mkizishika amri zangu, makaa katika pendo langu, kama vile mimi nilivyozishika amri za baba yangu na kukaa katika pendo lake.
Warumi 6:6—Hali kukijua neno hili, ya kuwa utu wetu wa kale ulisulubishwa pamoja naye, ili mwili wa dhambi ubatilike, tusitumikie dhombi tena

Watumwa Kwa Kitungo

Maibada imewapeleka wanafunzi wao katika utumwa

Yamepeleka watu katika utumwa akilini - uongozi akili piya, utimwa rohoni yenye kugungwa na dhombi, yenye kufungwa na dini. Maibada imezaa hali ya kutegemea kwa yote kwa ibada. Yataijaza mahitaji ya kawaida ya watu, ili mtu peke yakehawezi kudhani utu wao binafsi bila ibada kwa sababu yah ii mategemeo ya utoto kwa kikundi kunakuwa po aga nyingi kwa kutoka kwenye ibada hata bila kuhesabu ubaya wake.

Yame wafanya watu kuwa watumwa kwa kuwa shurutisha vyongozi wenye uongozi mbaya.Wongozi kwa mwanzo imekuwa mwalimu na mfalme wa "wokovu" wa kila mtu peke yake. Ndiyo niyo kweli mungu amewashitaa wa Nicolai kufanya. Mungu aliyachiki matendo ya wa Nicola Katika Efeso (Ufunuo 2:6) na mafundisho ya wamikolori katika pergami (Ufunuo 2:15)

Ile ilikuwa tu matendo katika Efeso ilifanywa kuwa Mafundisho katika pergamo. Mungu amechukia matendo na Mungu amechikia mafundisho yalijaribu ku wale ambaye walikuwa wametenda hiyo ambao mungu alichukia. Wale walikuwa, kama wote wamedhani dhehebu ya waonokikambae walifundisha mafundisho yenye kuwa ovu zaidi, na walifuata matendo yenye kuwa ovu zaidi wamedhamiwa kutoka kwa nikolai, mmoja wa mashemasi saba wenye kwandikwa katika Matendo 6:5 udhomi wa tabia ya asili na yenye kuwa wazi ni ya kuwa wanitolai wali fundisha mambo sawa sawa na hiyo balaamu alifundisha.

Wanitolai walifundisha shirika ya wake, ya kuwa uzingi na ufisadi yalikuwa mabo ya ubakili, ya kuwa kula nyama yenye kutolea kwa sanamu ilikuwa hahili, na walichanga mabo ya kimatorifa na mambo ya kikristo Augustini, Irenaeus, Clemens, Alexandrimis, na Tertulo, walisungunzia kuhusu mambo haya.

Nicolaus maana mwenye ushindi jua ya watu; (Nicolaus na Balaamu alikuwa kinyume katika makosa)

"nikos" yenye kuchukuliwa, ushindi "Nike" maana ya ushindi:

"Laos" Watu, lanky (kitungo) (NICOLAITANES Lao Mashemasi)

"Dike" haki (kama dhahiri pete yake) haki ya pekee, serkali yenye kuongozwa na watu.

Matendo na mafundisho ya wanikolai ili kuwa imetia nguvu aua.

Waichungaji kuwhunguza shirika kanisa imepashwa kuongozwa vizuri kuto kana na kweli katika biblia, walakini maongozi haipashwe kuchukuwa mahali pa mungu. Watu wamehitaji maelekeze na mafundisho piya, lakini kwa wakati hata moja hakuwezi kuwa mabwana juu ya imani ya mtu mwengine yule mungu ambae alikuokoa ameweza vizuri kuokoa na nakuchunga wengine! Usitafute kuongoza maisha ya mtu mwengine.

I Petro 5:3—Wala si kama wajifanyao mabwana juu ya mitaa yao, bali kwa kujifanya vielekezo kwa ile kundi.
2 Wakorintho 1:24—Si kwamba tunatawala imani yenu; bali tu wasaidizi wa furaha yenu; maana kwa imani yenu mnasimama. (I Wakorintho 9:12,18;10:33).
Yohana 7:17—Mtu akipenda kuyatenda mapenzi yake, atajua habari ya yale mafunzo, kwamba yatoka kwa mungu, au kwamba mimi nanena kwa nafsi yangu tu. Kueli imemfanya mtu kuwa huru.
Yohana 8:32—tena mtaifahamu kweli, moyo hiyo kweli itawaweka huru.

Roho mtakatifu imleta uhuru. - II Wakorintho 3:17; Wagalatia 5:1.

Yohana 16:13—Lakini yeye atakapokuja, huyo roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote, kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atatayoyasikia atayanena, na mambo yajayo atawapasha habari yake.

Kutenda kwa mungu siyo nguvu na uwezo wa mtu ambae hajali uhuru ya mtu peke yake katika kristo na uhuru wa uchaguzi, lakini ni kwa roho ya mungu. Roho ya mungu itaongoza watu na siyo kuwatembeza (Warumi 8:14; Wagalatia 3:18)

Zakana 4:6—…Siyo kwa nguvu wala kwa uwezo, bali kwa roho yangu, bwana mwenye uwezo wake amesema.

Tulimimiliwa kwa thamani

I Wakorintho 7:23—Mliminuliwa kwa thamani, msiwe watumwa wa mwanadamu.
I Wakorintho 6:19,20—Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la roho mtakatifu aliye ndani yenu, mliye pewa na mungu? Wala ninyi si mali yenu. Wenyewe. 20 maana mlimunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni mungu katika miili yenu.
I Petro 1:18,19- Nanyi mfahamu kwamba milihombolewa si kwa vitu viharibikavyo, kwa fedha au dhahabu, mpate kutoka katika mwenendo wenu usiofaa mlioupokea kwa baba zenu; 19 bali kwa damu ya thamani, kama ya mwana-kondoo asiye na ila, asiye na waa, yaani kristo.

Wakristo wamejifanya kuwa watamishi kwa mungu kwa uchaguzi. Warumi 1:1.

doulos- Mtumwa wa mapendo, mtu ambae alichagua kwendelesha utumwa wake.
Yohana 12:26—Mtu akinitumikia, na anifuate; nami mlipo, ndipo mtumishi wangu atakapokuwapo. Tena mtu akimnitumikia, baba atamheshimu.
Wafilipi 2:22—… Kama mwana na babu yake, ametumika pamoja nami kwa ajili ya injili.
Warumi 1:1—… Paulo, mtumwa wa kristo yesu, aliyeitwa kuwa mtume, na kutengwa aihubiri injili ya mungu.
Matendo 27:23—…Mungu yule ambaye mimi ni wake, naye ndiye ni mwabuduye.
  • Mwenye kujitolea kwa bwana yesu kristo kwanjia ya uwezo war oho mtakatifu
  • Mwenye kujitolea kwa injili
  • Mwenye kujitolea kwa tendon a kazi ya mungu
Ap-os-tol-os ("aliyeitwa") aliye chaguliwa, (aliyetengwa) mpendwa na mwenye kutumiwa.

Myumbe; kwa upekee, balozi wa injili, kwa mamlaka mwenye kuusika na kazi ya kristo ("Mtume") (Mwenye uwezo wa kufanya myujiza): Mtume, Mjumbe, Mwenye kutimiwa. Mathayo 22:14; yohano 15:16, Matendo 9:15; wafeso 1:4; yakobo 2:5; I Petro 2:4,9; Ufunuo 17:14.

Bidii Kwa Mambo Yasiyo Kuwa Bora

Wamuzi 17:6, 18:1; 19:1; 21:25

Hii wakati wa kanisa imekuwa bila taraja imelegemea au kufuata jinsi mpya ya kuishi. Hii shida iliendelea kwa hatua ya kuwa watu hawajali tena jinsi mambo ni ya asili ya rohoni au siyo maadamu ni "mpya'. Hii majibu mara na mara kwa uzao wa au utahidi kwa jinsi ya fikira ya mtu ambayo isiyo ambatana na andiko, lakini ni inyo kuwa bora kwa ujumba. Jusi nyingi mpya ya siku yetu haiwezi kuwa mbaya kwa Biblia katika kunena, lakini mbinu yao imeposhwa kulinganisha na neno.

I Wakorintho 2:15—Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu.
  • Siyo — "Kutembezwa na mpango" — Tumehifaji kuongozwa na roho mtakatifu.
  • YASIYO BORA KWA BIBLIA: kumtia mungu kwenye kubweta cha fikira ya mtu.

    "Kwa mwisho ya safari (siku arubaini ya kujitahidi kusoma kitabu chake) utajua mpango wa mungu kwa ajili ya maisha yako na utaelewa picha kubwa-vipi viungo vyote vya maisha yako vimeambatana".--Rick Warreu katika Maisha Yenye Kutembezwa Na Mpango.
  • Siyo —"Wenye kuyatimiza ahadi" — Tumehitaji kujazwa na roho mtakatifu.
  • YASIYO BORA KWA BIBLIA: Umoja kwa uharibifu ya injili ya kweli

    "Ni yenye kufumuliwa na…. sana, hauwezi kupata mazuri kwa hiyo".--Mshirika wa kwanza wa wenye kutimiza ahadi.

    "Mafundisho ya wenye kutimiza ahadi ni muchangamjiko yenye kuleta mshangao ya kweli na makosa. Mbinu yake kwa ajili ya kuendelesha hiyomafundisho ni yenye kushakiwa. Mambo bora kadha wa kadha katika maandiko yamefundishwa… yamechangamama na maarifa kuhusa hali ya kufikiri na ina nguvu…, maadamu imetangaza, matendo Mmoja ya shabaa yenye kunenwa ya wenye kutimiza ahadi ni kuvunja vizuizo vya majina, pamoja na katoliki, libemblo, charismatics and neo-evangelicals chini ya kutokuruhusu kwao. Imeonya washirika wao kubomoa viambaza ambayo imetutenga, kuwa mjenzi wa kilalo, na kuomba siku kwa siku kwa ajili ya umoja myongoni mwa wa kristo katika shirika yako".--Shurusha ilipita undugu wa makanisa ya Biblia ya

  • Siyo- "Maisha yako bora sasa" — Tumehitaji kuwa katika Roho mtakatifu…
  • YASIYO BORA KWA BIBLIA: kuwaambia watu tu yale ambao wametaka kusikia

    Siyatumie (tamko Mtenda dhombi) Sikufikirie kamwe kwa hiyo lakini, ni sawa siku fikirie kwa hiyo lakini wengi wamekwisha kujua makosa ambao wametenda. Wakati nimewapata kanisani mmetoka kuwaambia ya kuwa imeweza kugeuka… hivi siende chini zaidi ya nja ya kuhukumu".--Joel Osteen katika mchezo wa "Larry King Live".
  • Siyo- " Shamba la vita ya akili- Tumehitaji kulishwa na roho mtakatifu"
  • YASIYO BORA KWA BIBLIA: kutumia Biblia ili kupata mlango wazi.

    Hali kujibu swali:"Kulitukia nini toka msalaba hadi kwenye kiti cha luzi…?" "Biblia haiwezi hata kupata jinsi ya kufasiria hiyo haiwezi kweli. Ndiyo sababu imetupasa kuipata kwa ufunuo. Hakuna tambo ili kufasiria hiyo ambayo nimikwambia. Imenipasatu kumwaminia mungu ya kuwa aitie rohini mwako jinsi aliitia mohini mwangu".--Joyce Meyer, mwenye kwandika shamba la vita ya akili

    Hii kizazi kwa ujumla hakitaki mambo ambao imeambatana kweli na kumtumikia mungu na yenye kweli kuifuata injili ya yesu kristo kwa kuachana wote na dhombi. Watu walijitolea mahali pa hiyo. Kwa watu. Kwa vitu. Kwa kuongoza serkali yenye kumtosehsa mut peke yake kutimiza wajibu. Mipango ya wakali. Vitungo

    Yohana 12:26—Mtu akinitumikia, na anifuate; nami nilipo, ndipo na mtumishi wangu atakapo kuwapo. Tena mtu akinitumikia, Baba atamheshimu.

    Yenye Kutupa Wengine

    Maibada imekuwa yenye kutupa wote wengine

    Wale ambaye wamekuwa nje ya kuridi wame angaliwa sawa maadui. Wamekuwa wao wenyewe na majibu. Kundi yao ni njia moja tu ya wokovu.

    Washahidi wa yehova wamesema ya kuwa kundi yao ndiye njia tu ya kwenda kwa mungu

    wamormors wamedhani ya kuwa kundi yao ndiyo njia

    wakatoliki wamedhani ya kuwa dini yao imewaokoa

    Yesu ndiyo njia tu ya wokovu (Matendo 4 :10-20, Warumi 10:13)

    Wokovu, uponyaji na kuachiliwa kumekuwapo kwa wote ambae amekyja kwa Yesu.

    I Petro 2 :24—Yeye mwenywe alizichukua dhombi zetu katika mwili wake juu ya mti, ili, tukiwa wafu kwa mambo ya dhombi, tuwe hai kwambo ya haki, na kwa kupigwa kwake mliponywa.

    Yakobo 5 :13-16 ; Mathayo 10 :1 ; Marko 6 :12 ; Luka 9 :2 ; Zaburi 103 :2-5 ; Yeremia 33 :6 ; 46 :1- (Usome Waebrania 4 :15-16) ; Kutoka 15 :26 ; Zaburi 107 :20,

    Marko 9:23—… Ukiweza ! Yote yamewezekana kwake aaminiye.(6:56; Yohana 11 :40, 2 Mambo ya siku 16 :12 ; Zaburi 147 :3 ; Luka 6 :19 ; Luka 7 :21 ; Mathayo 13:58)

    2 Mambo ya siku 36 :16—Lakini waliwadhaki wajuombe wa mungu, walidharau maneno yake na kudhiati manabii hadi ghadhabu ya bwana iliwaka juu ya watu wake hadi hakukuwepo upinyaji.

    Luka 17:5— Mtume wakamwambia bwana, Tuorigezee imaniumaini

    Hisiyo kuwa na hakikisho Maibada imezaa kutokuwa na hakikisho badha ya yenye kuhakikishwa-imewezekana, labohna kadhalika…

    Yeremia 18:12—Lakini watajibu, hayana mafaa tutaendelea na mpango yetu ; kila mmoja wetu atafuata ugumu wa moyo wake mbaya.

    Mungu hakumwache mtu bila tumaini ya wokovu

    I Petro 3 :15-.. Mwe tayari sikuzote kumjibu… habari ya tumaini lililo ndani yenu…
    Warumi 8 :20-…Si kwa hiari yake, ila kwa sababu yake yeye aliyevitusha katika tumaini,
    Waebrania 6 :19- Tumaini tuliyo moyo kama nanga ya roho…

    Yenye kutambulisha kyongozi mpya (Ibada ya mtu)

    Hawaamimie yesu kristo. Wanafunzi wao wanaongozwa na kutembegwa nje ya upende wa kristo na uongozi wa watu. Hawaaminiye yesu kristo kwa sababu nguvu imetiliwa juu ya uongoziwa watu.

    Yohana 12:26- Mtu akinituenikia, na anifuate… (Mathayo 4:19; 12:3)

    Wale ambaye hawaaminie nafsi tatu ya umungu

    Kunakweli mungu moja. Munu ni watu watatu. Baba, Mwana na Roho mtakatifu. Baba, Mwana na Roho mtakatifu weto sawasawa na weko wa milele.

    Waefeso 2:18—Kwa maana kwa yeye sis sote tumepata njia ya tumkaribia Baba katika Roho mmoja. (Mathayo 3:16, 17; I Wakorintho 8:6; 12:3).

    Mapunjo ya Fedha

    Kuchunza ujumbe, wakati umepashwa kulipa sikuzote hela ya kuwa mshirika ili uingizane (II Petro 2:1-3) Maibada mengi ina faida na fedha tu. Hii imetia ndani hata vyongozi. Ni habari ya haya jinsi watu wametumika kuma wadhisi wa injili wamedanganya watu ili kupunja fedha. Watu wametoa fedha kwa kudanganywa ili waweze kununuwa wokovu, fadhili au baraka ya mungu, Afya na raha, au arabuni ya kundia kwa utarimu. Wakatoliki w aroma wamedanganywa kutaa fedha kwa kuokolewa kwenye Matowarami au kupata jinsi ya kuhesabuliwa haki.

    Wokovu imekuja kwa bure kwa sababu ya damu ya yesu kristo ambayo ilimwagika kipawa cha mungu ni maisha ya milele — Warumi 6:23 yenye kuhesabuliwa haki kwa neema yake — Warumi 3:24 Baraka ya Mungu haiwezi kuminuliwa na fedha — Matendo 8:18-24 lakini sikuzote utumbuke thamani yesu alilipa msalabani. Thamani ya deni ya dhambi letu ililipiwa yote yohana 19:30 "Imekwisha"—Utombozi imetimilizika.