Skip to main content

Mbona Watu Wamevutwa Na Ma Ibada

Walitupa Injili.

Sababu walitupa injili na wengi wamejifungua tu kwa kila mambo na hasa yenye kuwa sawa ma Ibada.

Watu wengi wametohaa kuamini injili kwa sababu imefumbua dhombi na ime ita kwenye utubio na hakuna oga ya Mungu mioyoni niwo. Davidi na Paulo wa lisema ili kuwa kwasababu hakukuepo oga ya Mungu mbele ya macho yao.

Zaburi 36 :1—> Dhambi ya mwenye uovu imesema moyoni mwangu, ya kuwa hatkuna oga wa Mungu mbele ya macho yao.
Warumi 3 :18—Kumcha Mungu hakupo machoni pao.
2 Petro 3 :5—Maana hufumba macho yao wasione, neno hili ya kuwa zilikuwako mbingu tangu zamani…
Yohana 3 :19-20—… Kwa maana matendo yao yalikuwa maovu.
Waebrania 6:4-6—Kwa maana hao walio kwisha kupewa nuru… 6. Wakaanguka baada ya hayo, haiwezekani kuwafanya upya tena hata wakahubu…
Matendo 13:46—Paulo na Bounaba watowena twa ushujaa watasema, ili kuwa lazima neno la Mungu line niwe kwanza; lakini kwa kuwa mnalisukumia mbali, na kujona nafo znu kuwa hamjustahili uzima wa milele, angalieni, twawageukia mataifa.

Wengi wanatupa ana tuchukia kweli sababu ya kutokuamini.

2 Wathesalonike 2:1-12—Basi, ndugu, tunakusihi ni… Kwamba msifadhaishwe upesi hata kuiacha nia yenu, wala msisitushwe, kwa roho, wala kwa neno, wala kwa waraha unaodhaniwa kuwa ni wetu, kama kwamba siku ya bwana imetwisha kuwapo. 3) Mtu awaye yote asiwadanganye kwa njia yoyote… 12) Ili wahukumiwe wote ambao hawakuamini kweli, bali walikuwa wakijifurahisah katika udhalimu.
I Timotheo 4:1-2—Basi roho anena wazi wazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani wakisikiliza roho zidanganyao, na mafundisho ye mashetani; 2) Kwa urafiki wa watu wasemauo uongo, wakichamwa moto dhamiri zao wenyewe.

Wamependa giza.

Yahona 1:11—Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea
Yohana 3:11-21— Na hii ndiyo hukumu; ya kuwa nuru imekuja. Ulimwenguni, na watu wakapenda giza kuliko nuru, kwa maana matendo pao yalikuwa maovu. 20 Maana kila mtu atendaye mabaya huichukia nuru, wala haji kwenye nuru, matendo yake yasije yakakemewa.
Wakolosai 1:13—Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa mwana wa pendo lake:
Ufunuo 16:10—… Ufalme wake ukatiwa gizi; wakatafuna ndimi zao kw sabau ya maumivu.

Siyo watu wazima kirohoni.

Waebrania 5:11-14—kwa maana kila mtu atumiaye maziwa hajui sana neno la haki, kwa kuwa ni motto mchanga.
2 Timotheo 3:16,17—Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaanya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza na kwa kuwaadibisha katka haki 17 ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema.
1 Watorintho 3:1—Lakini, ndungu zangu, mimi sikuweza kusema nanyi kama na watu wenye tabia ya rohoni, bali kama na watu wenye tabia ya mwilini, kama na watoto wachanga katika kristo.

Imani yao ili haribishwa na kugeuka kwa tabia ya rohoni

Wagalatia 1:6-9—Nastorajabu kwa kuwa mna mwacha ujoshivi yeye aliyewaita katika neema ya kristo, kugeukia vijili ya namna nyingine 7. Wala si nyingine; lakini wapo watu wawataabishao na kutaka kuigeuza vipili ya kristo. 8. Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi nijili ya yote isipokuwa hiyo owahubiri, na alaaniwe. 9. Kama tulivyotangulia kusema, na sasa nasema tena, mtu awaye yote akiwahubiri ninyi vijili yo yote isipokuwa hiyo mliyopokea, na alaaniwe.
Wagalatia 3:3-4—Je! Mmekawa wajingo namnahii? Baada ya kuanza katika roho, mnataka kukamilishwa sasa katika mwili ? Mmepatikana na mateso makubwa namna hii bure ? Ikiwa ni bure kweli.
2 Wakorintho 11:13-15,20—Maana watu kama hao nimitume wa wango, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawo mfano wa mitume wa kristo 14) wala si ajabu maana shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru 15) Basi si neon kubwa watu mishiwake nao wakijigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao. 20) Maana mwachukuliama na mtu akiwatia utumwani, atiwameza, akiwateka nyara, akijikuza, akwapiga usoni.

Wagalatia 4:15-17; 5:1; Waefeso 4:14

Wana majivuno ya usomi

2 Wakorintho 11:3-4—Kakini nachelea; kama yule nyota alivyomdanganya howa kwa kila yate, asije atawahambu fikira zenu nikauacha unyofu na usafi kwa kristo, 4) Maana yeye ajaye akihubiri yesu mwingine ambaye sisi hotukumhubiri, au mkipokea roho nyungine msiyapokea, au nijili nyingine msiyoitubali, mnatenda vema kuvumilionia naye!
2 Wakorintho 1:2—…. Si kwa hekima ya mwili, bali kwa neema ya mungu.
1 Wakorintho 1:19-21— Kwa kuwa imeandikwa, nitaiharibu hekima yao wenye hekima, na akili zao! Wenye akili mitazikatoa. 20. Yu wapi miletahoja wa zamani hizi? Je! Mungu hakuifanya hekima ya dunia kuwa ni upumbavu? 21. Kwa maana katika hekima ya Mungu, dunia isipopata kumfua Mungu kwa hekima yake, Mungu alipenda kuwvokoa waaminio kwa upuzi wa lile neon linalohubiriwa.
Yobo 28:28—Na alimwambia mtu, kumchi Bwana ndiyo hekima na kukimbia uovu ni akili.