Skip to main content

Lingo Binafsi Kwa Maibada

Kutomaa Rohoni

Motto rohoni hapashwi kubaki muda wa wakati mrefu katika hali ya utoto. Ni wakati ngumi kwa sababu ma ifada imepata kwa raisi nafsi juu yao. Mungu aliifanya kuwa au kuzubaa (hasa katika fitina kutokutu, shata au oga) itakuwa ya uharibifu kwa kutomaa kwao rohoni.

1 Petro 2 :2—Kama watoto wa chango waliozaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili yasiyoghoshiwa ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu.

Chamuhimu zaidi katika maisha ya mkristo mpya ni kukomaa rohoni. Funguo kwa maendeleo ya kukanisa kikristo ni kufunza neno la mungu.

1 Timotheo 4 :16—Jitunze nafsi yake, na mafundisho yako. Dumu katika mambo; maana kwa kufanya hivyo utajiokoa nafsi yako na wale wakusikiao pia.
2 Timotheo 2:15—Jitahidi kujionyesha kuwa umeombaliwa na mungu, mtenda kazi asiye na sababu ya kutahayari, ukitumia kwa halali neno la kweli.
Yohana 8:31-32—Basi yesu akawaambia wale wayahudi waliomwamini, ninyi mkikaa katika neno lango mmekuwa wanafunzi wangu kweli kweli. 32 Tena mtaifahamu kweli, nayohiyo kweli itawaweka humu.

Hekima ya kweli

Hekima ya kweli ni kitu gain? Hekima ya kweli ni utii tu kwa mungu na neno lake.Imetupasa tu kutafutisha hekima ambayo imetoka kwa mungu.

Kuyatia Biblia akilini

Kuyatia Biblia akilini imetumiwa kwa kushinda maibada. Tia tu kweli akilini, walakini usikase ufahamu wa hila ya Ibilisi.

Zaburi 119:104—Pata akili toka kanuni ya mweneindo wako; Basi mimechukia pitoyote mbaya.

Zaburi 119:128—Na kwa sababu nime yaana kanuni yote ya mwenendo wako kuwa bora, nimechukia kila pito mbaya.

2 Petro 1:3—Kwa kuwa uweza wake wa uungu, umetukirimia vitu vyote vipasavyo uzima na utauwa kwa kumjua yeye aliyekuita kwa utukufu wake na wema wake mwenyewe.(1 Petro 5:10; 2 Wathesalonike 1:12)

Kuyatia neno la mungu akilini

Thomani ya kuyatia andiko akilini haiwezikamwe kusemeka zaidi. Kamwe, kamwe siyo kamwe! Zaburi 119:9-11

Tia akilini neni kwa injili ya hekima na nguvu rohoni

Mathayo 4:4; II Wakorintho 3:6, 15-18; Yohana 1:1,5-9,12,14,17;3:15,16,36; 5:39;6:27,35,48,51,57-58,68; 14:6;17:3;20:31; Yohana 1:7;2:24-26;4:9;5:11-13,20; II Petro 1:2-11.

Tia neno akilini kwa ajili ya kweli kinyume ya uongo

I Timotheo 6:20; II Timotheo 2:16

Yohana 8:32—Tena mtaifanamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweta huru

Zaburi 119:11—Nilificha neno lako katika moyo wangu ili nisiwezi kutenda d'hombi kwake
Zaburi 37:3—Sheria ya mungu wake ni moyoni mwake; miguu yake haiterezi.
Waefeso 4:14—Ili tusiwe tena watoto wachanga, tukitupwa huku na hutu, kuchukuliwa na kila upepo, wa elimu, kwa hila ya waku, kwa ujanja, tukijifuata njia ya udanganyifu.
Wakolosai 2:8—Angalieni mtu asiwafanye makeka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya ya wanadamu, kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu, wala si kwa jinsi ya kristo.
Mithili 14:12—Kuna njia ambayo imeonekana sawa kwa mtu, lakini mwisho yake imeenda mantini.
Mithili 16:25—Kuna njia ambayo imeonekana sawa kwa mtu…
Akili ya kweli ya Biblia iliyokuwa wazi

Kunakuwapo kweli ya ukristo

Ni neno ya kweli ya kuwa kuna mungu halali na aliye hai ambae aliumba ulimwengu na ambae ametupenda na ana mupango kwa ajili ya maisha yetu. Katika ya ulimwengu yenye machafuto na uharibifu ambayo imevuta kila kiku kilicho hai chini kaburini ya mauti, kunakuwapo kweli ambayo mungu ni hiyo na mungu amependa. Ni dhambi ya mtu ambayo ilileta machafuko na kifo ulimwenguni. Ukristo imesungumzia upendo wa mungu kwa ajili ya ulimwengu. Siyo mungu wa chuki ambae amemwacha mtu gizani, aliye papasa hutu na hutu, na kujaribu kufumbwa kweli kuhusu maisha na mwanzo yake, shabaa na muisho. Ni mungu wa upendo ambae alituma mutwa wake wa pekee ili kutatua mashida ya mtu.

Njia ya mungu ni waratibu kweli ya maisha. Yohana 1 :1-5 ; 3 :16-21 ; 8 :32 ; 36 ; 14 :6 ; 1 wathesalonite 1 :9

Uungu kweli na utu kweli

Uzima wa mungu katika kristo kama mtu.

Sikuzote uangalie kristo toka andiko sikuzote uangalie kusimama kwako katika kristo toka andiko.

Shule ya Biblia ya Kufunguliwa

Kumuona Masiya katika andiko

Kristo ametia nguvu kwa uongozi wa maandiko. Kristo na mwana wa mungu, Bwana na mutu kama mwamna wa Davidi. Yesu kristu ni Masiya, Mungu na mtu, mwenye uungu na utu. Yesu aliwaswali kuhusu mambo wengine walikuwa wamesema kuhusu yeye ili kusudi apate kujua mambo wamefikiria wenyewe- kupanda au kushuka. Christo nakuanze kuwaeleza tu ya kuwa alikuwa masiya, lakini alikuwa ametafuta wao kupata hiyo ufunuo toka kwa mungu sawa vile Petro alifanya katika Mathayo 16:17. Walikuwa wamekwisha kukirimiwa maandiko ambayo imeshuhudia ya kuwa masiya atakuwa mwenye uungu na utu, bwana na kristo na walikuwa na wajibu kwa ajili ya hayo (Mathayo 22:45, 1 Yohana 4:1-3, Wakolosai 2:9,10)

Matendo 2:36 — Ba

Mungu mwenye nafsi tatu

Matendo 10:38; 2 watorintho 13:14; Luka 4:18, waebrania 1:9; Mathayo 3:16-17

Ushuhuda wa Petro Matendo 4:25-27

Ushuhuda wa Paulo Matendo 13:33

  • Ushuhuda wenye nafsi tatu
  • Mungu mwongozi
  • Mungu Msimamizi

Mungu Mwenye Kufanfi sauti ya Roho Mtakatifu zaburi 10-12 "Umwaminie"

Luka 24:49; yohana 2:22; 8:17-18, 42; 12:16; 14:16; 15:26; 16:7; 13; 17:1,3,5, 21-26; 14:26; Warumi 15:30; Wagalatia 4:6; Yohana 2:20, 23,27;5:7; 2 Yohana 1:9; 2 Wakorintho 13:14- Nama ya Bwana yesu kristo, na pendo la mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote (Waefeso 2:5-7,10,13,14,18)

Baba ni Mungu — Mwana ni Mungu — Roho Mtakatifu ni Mungu.

1 yohana 5 :7- Kwa maana wako watatu washuhudiao mbinguni, baba, na neno, na Roho Mtakatifu, na Watatu hawa ni umoja.

Yohana 8 :13,14 ; Yohana 5 :2,15,18,19,20

1 Yohana 2 :18-24-22 Ni nani aliye mwongo ila yeye akanaye ya kuwa yesu ni kristo ? huyo ndiye mpinga kristo, yeye amkanaye Baba na Mwana. 23 Kila amkanaye Mwana, hanaye Baba ; amkiriye Mwana anaye Baba pia.
1 Yohana 4:1- Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijoribuni hizo roho, kwamba zimetokana Mwana kuwa mwokozi wa ulimwengu.
1 Yohana 2:26- Nimewaandikia haya katika habari za watu wale wanaotaka kuwapoteza.
1 Yohana 4:6- Sisi twatokana na Mungu yeye amfuaye Mungu atusikia; yye anyetokana na Mungu hatusikie. Katika hili twamjua roho wa kweli, na roho ya upotevu.