Skip to main content

The Preparation of the Personal Evangelist

@en

The Preparation of the Personal Worker

Matthew 4:19—“And He saith unto them, follow me and I will make you fishers of men.”

Dedication

We must be dedicated to the Lord.

We need complete and absolute devotion to the Lord. Samuel was devoted to every word of God and became a prophet. His cry was “Speak Lord, thy servant heareth.”

Samuel woke up to learn the voice of God

Samuel grew up to obey the voice of God

Saul went from a sinner to a servant of God. Saul of Tarsus became PAUL THE GREAT APOSTLE. He asked the question in Acts 9:6, “Lord, what wilt THOU have me to do.” Saul made his decision to serve God and God made him a choice vessel to bear His name. An instant’s decision was turned into a lifetime dedication. I Cor. 6:19, 20 tells us that we are the Lord’s. Because He bought us with His own blood, It is up to us to surrender and devote our lives to Him.

Dedicated to the task

Complete dedication to the work and service of the Lord is the second requirement. Our task and service is outlined in Matt. 28:19, 20: Go ye…Teach all…Baptizing…Teaching them to observe all things that I have…Lo, I am with you…

Acts 20:19-21—Serving the Lord with all humility of mind, and with many tears, and temptations, which befell me by the lying in wait of the Jews:20 And how I kept back nothing that was profitable unto you, but have shewed you, and have taught you publickly, and from house to house,21 Testifying both to the Jews, and also to the Greeks, repentance toward God, and faith toward our Lord Jesus Christ.

Acts 8:29 “Go near and join thyself to this chariot.” This is a special call to a specific place to meet a specific need in a particular person.

The Apostle Paul’s lifetime dedication is summed up in 10 charges from II Timothy 4:1-8:


Preach the Word

Be instant in season and out of season

Watch thou in all things

Endure afflictions

Do the work

Make full proof of thy ministry

Fight the good fight

Finish your course

Keep the faith

Love His appearing


We Must Go!

Jesus said, “Go” Matt. 28:19,20

The Spirit said, “Go” Acts 8:29

The apostle said, “Go” I Tim. 4:5 “Evangelist”

Dedicated to the person

Dedication is an unselfish love and a spiritual desire to help other people. Don’t be like a salesman, like you’re adding another soul to the collection. Don’t be counterfeit, be real. Remember the sad accusation –“Your actions speak so loud, I can’t hear what you are saying.”

Our demeanor and spirit must be – Pure – Genuine – Righteous. If you want to win them to God, love them. Do not be selfish, but righteous. We must be motivated by genuine empathy. We must be moved by compassion. Matt. 9:36

John 21:15,16,17 “Feed my lambs” – undeveloped

“Feed my sheep” – developing

“Feed my sheep” – until (Eph. 4:13)

Acts 20:28 Feed the church of God.

James 1:27 “Visit” but keep pure, undefiled and unspotted.

Purpose

The soul winner’s purpose is to please Christ (not man).

Luke 16:15; John 5:44; 12:42, 43

Live like it –

Rom. 12:2; Eph. 4:1; II Tim. 2:4; Heb. 11:24, 25; I John 2:15

Talk like it –

Eph. 4:29; II Tim. 4:12

Dress like it –

Deut. 22:5; I Tim. 2:9; I Peter 3:3;; Col. 3:12-17; I Cor. 11:1-15-34

MODEST – A limit; restrained by a sense of propriety; not forward or bold; impretending; bashful, diffident; free from anything suggestive of sexual impurity; pure; moderate; not excessive, extreme, or extravagant.

SHAMEFACEDNESS – Downcast eyes, bashfulness, modesty towards men, awe towards God, reverence.

BROIDED – To twine or braid – plait with costly array, concentrated rather than constrained.

The Personal Worker’s purpose is to present Christ.

“Ye are my witnesses saith the Lord.” Isa. 42:10; Acts 1:8

Remember you are presenting Christ to a sinner so build up in their mind the truth that Christ is the ONLY Savior.

Two important things in presenting Christ –
The Situation

First, let’s look at the Situation (preferably one-on-one). It decreases their boldness when you get them alone. Remember to be very careful in dealing with people, they are all different. When a person you’re dealing with has friends, or an audience with him, and it is disturbing. Get them alone. Situation is very important!

John 1:41, 42, 43, 45; 4:7; 7:10; 8:10; Luke 19:5; Matt. 9:25; Mark 5:40; Luke 8:54

The Person

Second, let’s look at the Person. It is necessary to know where they are—spiritually and mentally. Are they are sinner? Have they always been sinner? Are they a backslider?

If they are a backslider, help them to see why they backslid. You’ll never backslide over one experience, it is a process. If you neglect your Christian experience and things continues to happen, and you don’t pray enough to pray through, and get rid of those stumbling blocks by using them for stepping stones to lift you higher, you will backslide. Not just one incident or thing will cause anyone to backslide; it is a process of the enemy to destroy you. The devil secretly sets up these stumbling blocks to destroy but God can use them for good.

Strongholds - II Cor 10:4

Snares – Prov. 13:14; 14:27

Sieve – Luke 22:31; Amos 9:9

Isaiah 8:13—Sanctify the LORD of hosts himself; and let him be your fear, and let him be your dread. 14—And he shall be for a sanctuary; but for a stone of stumbling and for a rock of offence to both the houses of Israel, for a gin and for a snare to the inhabitants of Jerusalem.

The Personal Worker’s purpose is to produce a decision for Christ

You are after the decision, and not the winning of an argument. Win a soul, not an argument!
Three things a successful worker will produce:

Impression – must make an impression to gain their interest.

Expression – must give expression.

Two absolutes in a personal workers life –

(a) Word must be – vitally experienced in the heart

(b) Word must be – vitally expressed from the heart

Possession – get them to possess Christ

Must leave them with something – Leave them with a Possession:

The Word & Love of GodàTruth – Faith – Love

Remember – Impression without expression leaves NO Possession!!!

Who should do personal work?

Witnessing is the main work

Of the whole Church –

In the whole world – For the whole age –

To the whole man

Matt. 4:19; 16:24; Acts 1:8

We will not be effective without prayer.

Personal Prayer – Matt. 17:21; 21:22; James 5:17,18
Group Prayer – Matt. 18:19 Acts 4:24-31
Interceding Prayer (for the lost) – John 17:9, 15

Pray specifically. Mention their names, problems, need. (Luke 18:1-18) In preparation, you must be a man of prayer. The first thing you do in the morning is slip out of bed and pray.

@sw

IV. Maandalizi ya muhubiri

Matayo 4:19—“Naye akawambia nifuateni mimi nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu.”

Kumbukumbu

Tunapaswa kutengwa kwa ajili ya Bwana.

Tunahitaji kujitolea kikamilifu kwa Bwana.. Samweli alijitoa kikamilifu kwa kila neno la Mungu na akawa nabii. Kilio chake kilikuwa, “Ongea Bwana mtumishi wako anakusikia.”

Samweli alinyanyuka na kuisikiliza sauti ya Mungu

Samweli alikua na akaitii sauti ya Mungu.

Saulo aliondokana na dhambi na kugeuka mtumishi wa Mungu. Saulo wa Tarsus akawa PAULO MFUASI SHUPAVU. Aliuliza swali hilo katika Matendo 9:6, “Bwana wapenda nifanye nini?” Saulo alifanya uamuzi wake wa kumtumikia Mungu na Mungu akamfanya chombo cha kulibeba jina lake. Uamuzi wa ghafla uligeuka uamuzi wa kujiweka wakfu maishani.. I Wakor. 6:19, 20 tunaambiwa kwamba sisi ni wa Bwana kwa sababu alitununua kwa damu yake mwenyewe. Kwa kuwa alitununua kwa damu yake mwenyewe ni jukumu letu kukubali na kuyatoa maisha yetu kwake.

2. Jitume katika kazi ya Bwana

Kujituma kikamilifu katika kazi na huduma ya Bwana ni kitu cha pili kwa ulazima. Jukumu na huduma yetu imepangwa katika Mt. 28:19, 20: Enendeni …mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi …Mkiwabatiza …mkiwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru …tazama, mimi nipo pamoja nanyi…

Matendo 20:19-21—Nikimtumikia Bwana kwa unyenyekevu wote na kwa machozi na majaribu yaliyonipata kwa hila za Wayahudi ya kuwa sikujiepusha katika kuwatangazia neno lolote liwezalo kuwafaa bali naliwafundisha waziwazi, na nyumba kwa nyumba nikiwashuhudia Wayahudi na Wayunani wamtubie Mungu na kumwamini Bwana wetu Yesu Kristo.

Matendo 8:29 “Sogea katibu na gari hili, ukashikamane nalo.” Huu ni wito maalumu kuhusu mahali maalumu kwa mahitaji maalumu kwa ajili ya mtu maalumu.

Maisha ya Mtume Paulo yalitengwa na kujumlishwa katika madai 10 kutoka 2 Timotheo 4:1-8 ambayo ni:


Kuhubiri Injili

Kuwepo mara katika msimu na nje ya msimu

Kulinda

Kuvumilia mabaya

Ifanye kazi ya Injili

Lihubiri neno uwre tayari wakati ukufaao na wakati usiokufaa

Pigana vita vilivyo vizuri

Timiliza huduma yako

Ilinde Imani

Kupende kufunuliwa kwake


Ni lazima Tuende!

Yesu alisema, “Nenda” Mt.. 28:19,20

Roho alisema, “Nenda” Matendo 8:29

Mtume alisema, “Nenda” I Tim. 4:5 “Mwinjilisti”


3. Iliyotolewa kwa mtu

Kutolewa ni kuondolewa ubinafsi katika upendo na kuwa Roho ua kupenda kusaidia watu wengine. Usiwe kama bwana mauzo, kama unayaongeza roho nyingine katika mkusanyiko wako. Usiwe mlaghai uwe mkweli. Kumbuka shutuma za kusikitisha – “matendo yako yana kelele kiasi kwamba siwezi kuelewa unachesema.”

Mwenendo wetu na dhamira ni lazima ziwe – safi – ya kweli – Nyoofu. Iwapo unataka uwaokoe kwa ajili ya Mungu wapende. Usiwe mchoyo ila uwe mnyoofu.

Tunapaswa kupata hamasa kutokana na uwezo wa kweli wa kuhisi maono ya wengine. Inatupasa tusukumwe na hamu ya kutenda wema. Mt. 9:36

Yohana 21:15,16,17 “Lisha kondoo zangu wachanga” – Wachanga

“Lisha kondoo zangu” – Wanaokuwa

“Lisha kondoo zangu” – Hadi (Waef. 4:13)

Matendo 20:28 Lisha kanisa la Mungu.

Yakobo 1:27 “Tembelea” ila waweke katika hali ya usafi, bila kunajisiwa na wasiwe na mawaa.

Lengo

Lengo la muokoaji wa Roho ni kumfurahisha Kristo (sio mwanadamu).

Luka 16:15; Yohana 5:44; 12:42, 43

Ishi kama lilivyo neno –

Warumi 12:2; Waefeso 4:1; II Tim. 2:4; Waebr.11:24, 25; I Yohana 2:15

Ongea kama lilivyo neno –

Waefes. 4:29; II Tim. 4:12

Vaa kama lilivyo neno –

Kumbukumbu la Torati. 22:5; I Tim. 2:9; I Petro 3:3; Wakol. 3:12-17;

I Wakor. 11:1-15-34

KIASI – Kwa kipimo, kwa kujizuia kwa kutokuwa mbinafsi kwa kujiweka mbele au kwa kuwa shupavu kwa kutojifanya kujua, kulazimisha mambo kujivuna uwe mbali na wazo lolote la kumsujudia mtu kimapenzi, safi; mwenye kujua kiasi; asiyezidisha wala kupunguza; asiyepindukia wala kuwa mtapanyaji

KUAIBIKA – kujinyenyekesha, kulazimisha mambo, kuwa na kiasi kwa wenzako, muogope Mungu, jua kutambua wengine.

MSUKO WA NYWELE – Kusuka kwa nyuzi au msongo – kusuka nywele kwa gharama kubwa kwa ustadi badala ya kwa kujizuia.

Jukumu la mtumishi binafsi ni kumwakilisha Kristo.

“Nanyi mtakuwa mashahidi wangu asema Bwana.” Isa. 42:10; Matendo 1:8

Ukumbuke kwamba unamwakilisha Kristo mbele ya mdhambi, kwa hiyo jenga katika akili yake kwamba Kristo ndiye mkombozi wake pekee.

Mambo mawili muhimu katika kumuwakilisha Kristo:-
Hali ilivyo

Kwanza, tuangalie hali ilivyo (ikiwezekana iwe ni mtu mmoja kwa mmoja). Unapokuwa na mtu mmoja ukaidi hupungua na ni rahisi zaidi kumshauri. Kumbuka kuwa mwangalifu sana unapojishughulisha na watu kwani kila mtu ni tofauti na mwingine. Unapokuwa na mtu ambaye yuko na marafiki au watu wengine wako naye kwa hiyo kuna usumbufu fulani mtenganishe. Ni muhimu kutambua Hali ya mahali ulipo! Yoh. 1:41, 42, 43, 45; 4:7; 7:10; 8:10; Lk. 19:5; Mt.. 9:25; Mk. 5:40; Lk. 8:54

Mhusika

Pili, tumuangalie. Ni lazima kufahamu mtu aliko kiroho na kiakili. Je, ni mdhambi ? Je, ni mdhambi mzoefu au ni mtu anayerudi rudi nyuma?

Iwapo ni mwenye tabia ya kurudi rudi nyuma msaidie ili aone kwa nini hurudi nyuma. Huta kuwa umerudi nyuma kwa sababu ya tatizo la mtu mmoja, huu ni mchakato. Kama utadharau uzoefu wako wa Kikristo ukaacha mambo yaendelee kutokea na usiposali vya kutosha mpaka ukaondoa vikwazo vilivyopo na kuvitumia kama mawe ya kuvukia kwenda ngazi ya juu zaidi na wewe utarudi nyuma! Siyo kitu kimoja au tukio moja tu linaweza kumfanya yeyote arudi nyuma bali ni utaratibu wa yule adui muovu kukuharibu. Shetani huweka vizuizi kwa siri ili kuharibu lakini Mungu anaweza kuvitumia katika kufanikisha kazi nzuri.

Ngome kali - II Wakor. 10:4

Mitego – Methali. 13:14; 14:27

Chekecheo – Lk. 22:31; Amos 9:9

Isay. 8:13—BWANA wa majeshi ndiye mtakayemtakasa; na awe hofu yenu, na awe yeye utisho wenu. 14—Naye atakuwa ni mahali patakatifu; bali ni jiwe la kujikwaza na mwamba wa kujikwa kwa nyumba za Israeli zote mbili, na mtego wa tanzi kwa wenyeji wa Yerusalemu.

Huduma binafsi ya mtumishi ndiyo itakayomwezesha Kristo kuamua

Lengo lako ni huo uamuzi, na siyo ushindi katika ubishi. Okoa Roho siyo kushinda katika ubishi!
Mambo matatu huzalishwa na mtumishi mwenye mafanikio:

Muonekano – Ni lazima kuwa na muonekano wa kuwavutia.

Maelezo – Inabidi uwapatie maelezo.

Mambo mawili muhimu katika maisha ya mhudumu binafsi –

(a) Maneno yanapaswa – Yawe yanaonesha uelewa wa kutoka moyoni

(b) Maneno yanapaswa – yanaelezea ukweli ulioko moyoni.

Umiliki – Wafanye wajisikie wanammiliki Kristo

Inabidi uwaachie kitu fulani – Waachie umiliki:

Neno + Upendo wa Mungu = Ukweli – Imani - Upendo

Kumbuka – Muonekano usiokuwa na maelezo hauachi Umiliki wowote!!!

Nani anapaswa kufanya huduma binafsi?

Kushuhudia ndio kazi yenyewe

Ya kanisa zima –

Ulimwenguni mwote – Kwa kizazi chote –

Kwa mtu mkamilifu

Mt.. 4:19; 16:24; Mdo. 1:8

Hatutaweza kufanikiwa bila kusali.

Sala ya mtu binafsi – Mt.. 17:21; 21:22; Yakobo 5:17,18
Sala ya kikundi – Mt.. 18:19 Matendo 4:24-31
Sala ya kuombea (kwa roho zilizopotea) – Yohana 17:9, 15

Ombea; wataje kwa majina, taja matatizo, mahitaji (Luka 18:1-18) katika maandalizi yako ni lazima uwe mtu wa sala. Kitu cha kwanza utakachofanya kila siku asubuhi kabla ya kutoka kitandani ni kusali.