Skip to main content

1: Maana, Haja na Mfumo wa Mafundisho

Sections

  1. Maana ya mafundisho
  2. Haja ya Mafundisho
  3. A System

Maana ya mafundisho

Ufasisiyo ya mafundisho kamusini (dictionary) —

mila, imani, soditio, maneno iliyo aminiwa kwa kila kanisa, dhehebu, ao chama

Tamko “doctrine” maona yake mafundisho, na tena imeweza kufasiriwa kama kweli ya ndani katika biblia yenye kutungwa katika utaratibu ya mbinu mafunzo hiyi imcitwa kwa ujumba “theology”, maana maarifa kamili kuhusu Mungu. Theology ao doctrine lime weza kufasiriwa kama maarifa kuhusu ufahamu wetu wa Mungu na kwambatana kwake Mungu na mtu.

Tumefasiria je theology ao doctrine kama marifa?

Maarifa ni utaratibu kamili na yenye kitungwaa mbinyay yene kuhakikishwa, mambo. Tumefasiria theology (doctrine kma maonifa, kwani imeambatana na maneno kuhusu mungu na vitu takatifu vyenye utaratibu kamili na yenye kufwata mbinu.

Ushiritka gain inayopatikana kati ya theology ne dini?

Theology ni ufahamu kuhusu Mungu, walakini, dini ni mazoezo za hiyo ambayo imefahamika. (John 13:17; james 1:27). Umeweza kuwa mwenye maarifa kamili kuhusu Mungu (theologian), lakini bado haujaambatana na dini-yani, badon haujapata ufahamu kamili za viroho.

    Tofauti gain inayopatikana kati ya doctrine na dogma?

    Dogma ni maneno ya kweli kutokea kwa mtu yenye kudhihirishwa kwa namna ya kusadiki, bali doctrine ni kweli wa ndani katika bibkia wenye kutungwa kwa ambinu. Kwa Mfano: kanisa ya katolika ya Rumi imeagiza watu kumwita pape “Baba Mtakatifu” (dogma), bali biblia imesema katika injili ya Mathayo Mtakaatifu sura yake ishirini na tatu, shairi ya tisa: Msimwite mtu Baba duniani. (doctrine). Maana kamili ya mafundisho ya kristo ni kuhusu kiburi na majivu ya watu ambaye wamepotonya ustahivu na shukrani isiyo kuwa ya kwao kwa kujipendelea wenyewe. Mwanza wetu siyo kwa mtu, bali kwa Mungu kwenye na fundisho ambayo Kristo ametetea. Mafundisho danganifu imetoa hiyo dogma kwamba Pape ndiye Kristo duniani. Pope Pius (ambae ali kuwako toka mwaka 1903 hadi 1914) aliiga kusema katika mafundisho kuhusu mamlakon ya Pope:

    Pope siye tu msimamizi wa Yesu Kristu. Lakini, ni Yesu Kristo mwenyewe, Katika mwili na kwa kuwa mtu kama watu ame fuliza kubimiza kazi zake myongoni mwa watu… </i><i>Pope amesema ? Ndiye Yesu Kristo amenena. Amefundisha ? Ndiye Yesu Kristo amefundisha. Ametoa neema ao laana? Ndiye Yesu Kristo mwenyewe ametoa laana na neema.

    Dogma ya kanisa za katolika ya Rumi umeketi juu ya mafundisho danganifu, na kumbe, imekuwa ya uongo. Mafundisho imesema &ldquo;na dogma kama neon la mwisho kutokea kwa mtu na yenye kupatikana katika maandikon takatifu. Dogma imeweza kwa kweli, balihaiwezi kwa mara yote kuwa kweli.

2. Haja ya Mafundisho

Ufahama ya mafundisho imeleta haja ya neon ya kweli inayo kuwa na mamlaka na mbinu (John 17:17)

Maneno ya mamlaka ni ya muhimu kwa kuwashinda wenye kupinga. (Titus 1:9). Ufahamu wa mafundisho imesaidia tena mwaminifu ili kusudi aelewe mambo matatu: 1) wenye dhambi/watakatifu/wenye kupendwa/ wenye kuhutumiwa, na kadhalika. 2) Mahali ambapo tulitoka (udongo, mfano wa mungu, na Kadhalika na tena. 3) Mahali ambapo tumeongozwa (mbinguni, jehanamu, baraka, laana, matdholita).

Ufahamu kamili za mafundisho zimeitojika kwa wokovu

1 Timotheo 4: 16—Jitunze nafsi yako, na mafundisho yako: duma katika mambo hayo; maana kwa kufanya hivyo utajiokowa nafsi yako na wale wakusikia pia.

Kila ufahamu tunayo ya mungu imetegemea imani (Imani chanzo chake nikusikia, na kusikia huja kwa NENO LA MUNGU. Warumi 10:17). Paulo mtume ameuliza swali moja yenyi maana na yenyi kuhudhuru nukta yetu kwenye shauri 14 ya warumi 10 “Basi wamwiteje yeye wasiyemwamini?”. Ufahamu kamili ya mafundisho imeitajika, kwani haitoshi kuaminia kitu, lakini twapashuwa kuwa na kweli. Mungu hajibu kwa toraja .-hivi, ao walieleza kwamba…, lakini Mungu amejibu kwenye mani kupitia kwa neon lako.

KWA MFANO: Matendo ya mitume 17:22-34. Watu wa athene walijenga madhabahu iliyoandikwa: “Kwa MUNGU ASIYEJULIKANA”. Paulo akasimama katikati ya Areopago, akasema, Enyi Watu wa Athen, katika mambo yote naona ya kuisa minyi ni watu wa athene walipata wokovu kwa njia ya kwabudu bila kunijua, lakini wale waliyoyapata ufahamu ya Yesu Kristo ambaye alisulubiashwa na kufifuta katika wafu hawakuyapate wokovu! I timotheo 4:16 ametetea kwamba ikiwa hautunze mafundisho yote, hatuitunze mafundisho yetu, tutapotea.

Ufahamu wa mafundisho umehitajika kwa kujenga mwenendo ya kikristo, na imesaidia kwa kuelimika Katika haki. II Timotheo 3:16,17.

II Timotheo 3:17 — ili mtu wa Mungu awe kamili, …

Kamili, ni maendeleo timilifu. Kuna maendeleo katika maisha ya kiroho vile imekuwa katika maisha ya kimwili. Kuna hatuwa za ukamilifu. Mtoto mchanga ni mtamilifu? Kama motto mchanga, ndiyo! Lakini kukomoa kumefaa kwendelea ao kama sivyo, tumesema kuna shida. I Petro 2:2 amesema, “ Kama vile watoto wachanga wanavyotamani maziwa, nanyi pia mnapaswa kuwa na hamu ya maziwa halisi ya kiroho, ili kwa nguvu yake mpate kukua na kukombolewa.”

Niyamulimu kuishi katika haki badala yakuyafahamu mafundisho, walakini hatutaishi katika haki bila mafundisho kweli ya kweli maishani walakini kweli katika kunena yamefaa kwa kuishi katika kweli (Galatia 2:17; Tito 1:16; I Petro 1:22, Waefeso 2:5, 8-10; Wafilip 2:12,13; Waebrania 12:14; I Petro 1:16).

Waweza kweli kumpenda Jesu bila ufahamu wa neon la Mungu? Kuelewa mafundisho kumehitajika kabla ya kukomaa katika mwenendo ya kikristo. Ilisemeka vizuri kwamba, “Mwenende ya kikristu ni tuda zimekomaa tu kwenye mafundishio ya kiktristo.” Mafundisho kamili. Haivai kifuwani, walakini, bila hiyo amekuwa mkristu kijongo hama samaki asiye na hali majini. Kuambatana kwa mwisho na kristo kumehitaji utahidikwa kweli. Tumehitaji mfupa wa mgongo wenye nguvu mafundisho.

Yesus ni mfano wetu kubawa na tena alikuwa na mafundisho:

Mathayo 7 ;28,29—…Makutano walishangao mno kwa mafundisho yake: 29 kwa maana alikuwa akiwafundisha kama mtu mwenye amri, wala sikama waandishi wao. (Mark 1:22; Luka 4:32; yohana 7:16)

Ufahamu wa mafundisho imeepusha makosa. (Mathayo 22:29; WAGALATIA: 1:6-9; Timotheo 4: 2-4).

Sababu gain mafundisho imehitajika?

Waefeso 4:14—Ili tusiwe tena watoto wa changa, tukitupwa huku na huku, na kuchukuliwa na kila upepo wa elimu, kwahila ya watu, kwa ujanja, hikizifuata njiaza udanganyifu.

Tumehitaji mafundisho bora na ukubalisho kwa ajili ya hiyo kweli Tumehitaji kitu tumeaminia na sababu tumeaminaa mkristo mwenye kukosa ufahamu kamwe hamtishi ibilisi. Watu wenge wamehatarika na kuanguk katika makosa, siyo tu sababu ya kukosa mafundisho kamuli, bali wamekosa ukubalisho wa kweli ambayo womejuwa. Uchaguzi umeweza kabaedilishwa bila hosanna lolote inayo onekana, walakini ukubalisho kamwe kwubadilishwi bila hosanna kubwa.

UKUBALISHO: umeyaona kama neon la Mungu, aminia hiyi kuwa kweli, na ishi katika kweli (na tena ikiwezekona ufe kwa ajali ya hiyo!). HAKUNA USIYA NO LOLOTE.

KUTAKA: umeyasikiya, ulielezwa ao hata ulifundishwa, lakini haukwaminie ukubwa na mamlaka ya mafundisho. KUNA USIYANO.

Kwaminia kwa nazi kuleta Ukubalisho wa wazi??

Fanya Angalisho kwa Mafundisho Danganyifu

1 Timotheo 4:1 — Basi Roho amena waziwazi, ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani,

Kila siku, uyafwate neon. Tumehitaji Kutaribisha kila shida na swali hiyi “ maana maandiko? Yasemaje? (Warumi 4:3). Ikawa ulimwaungu mzima imeshirikiona kinyume ya neon la Mungu, hivi ulimwengu mzima itakuwa katika makosa! Tia hiyo kichuani: Shikamana katika neon twajuaji ya kuwa ni kweli katika hiyo isiyo kweli? (Yohano 8:31,32) dumu katika neon.

Ni kwa ajili ya mamba mabaya, maubiri yote umekosa kweli (mathayo 16:12), Kila mkristo amestahili kushikama mzima katika neon la Mungu. Kweli imehitajika sana! (wacolosai 2:8; waebrania 13;9) imetupasa kujifunza neon la Mungu.

2 Timotheo 2:15 — Jitahidi Kujionyesha kuwa umekuboliwa na Mungu, mtenda kazi asiye na sababu ya kutahayari, ukikumia kwa halali neon la kweli.

Imewaposa wanafunzi wa biblia kuwa wenye saburi, busara na ujosiri. Kwa mafunzo ztu za neon la Mungu tumelinganisha maandiko na maandiko, kwani hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendovyo mtu Fulani tu (2 petro 1:20). Makosa mengi zimetukia, kwani watu wamechukuwa maandiko wame fasiriya hivyo na womepiga mbio moyo. Wame fasiriya maandiko kwa maandiko.

Kwa MFANO: kuzaliwa upya maana yake nini katika injili ya yohana Mtume 3:3? Bwana Yesu ona nia za kusema: rudi humboni ya mama yakon mona ya pili? Siyo. Jibu siyo: Siyo sababu ya mwenyene ameifasiriya viziri katika shairi ya 6-8- Kuzaliwa kwa maji na kwa roho… Angalia tena katika Johana 1:13; Yakobo 1:18; I Petro 1:23.

Katika njia yetu ya kijifunza na kutafuta kweli imetupaso kujikumbusha wenyewe kuwa na hekima ya katika yoyote yiliyo njema na mwepesi kuhusu mabaya (warumi 6:19). Hatutaki kuwa na ufahamu tele ya mabaya, bali tumehipati kuelewa tele yoyote yliyo njema.

Ufahamu ya mafundisho umetoka kwa utie wa neon la mungu.

Johana 7:17—Ikawa mtu yeyote ameshika mapenzi yake, yule atapata ufahamu katika mafundisho ya kuwa ni ya Mungu hama nimesema kuhusu mwenyewe.

Imetupasa kuijaribu neon la Mungu. Kumjaribu Mungu ili kuona kama atakuwa mwaminifu Mfalme Daude alisema : “O jaribu ili kuona kama Mfalme ni mwema” (Zaburi 34:8). Maadomu tumetembea katika mapenzi ya bwana, tutapokea na kushudia kweli na ukweli ya maneno bwana yesi alishuudia. Mungu akutuamuru kusadikia kitabu kilicho wazi, bali ame fungua ukurasa wamaandiko kwa uelebu wetu na kutualika kuishi katika kila neon. Ni katika kuishi katika hiyi tumepata ufahamu wa mafundisho wa ndom.

3. Mfumo ya Mafundisho

Below is an example of Systematic Theology that we will use in this study.

Anthropology — Mafundisho Kuhusu Mtu

Mwanzo 1:26-27; Yobo 4:17;33:4; Zaburi 8:5;31:5;139:14; Marko 10:6

Harmartiology — Mafundisho Kuhusu Dhambi Kumbu Kumbuz

Torati 29:19; Isaya 1:18; Mathayo 12:31; warumi 3:23, yakobo 1:14,15

Soteriology—The Doctrine of Salvation C. Soteriology — Mafundisho Kuhusu Wokovu

Numbers 21:2-9 (John 3:14,15); Psalm 18:2; John 6:37; Romans 1:16; Ephesians 2:8Hesabu 21: 2-9 (Jahana 3:14,15); Zaburi 18:2; yahana 6:37 warumi 1:16; waefeso 2:8

Bibliology—The Doctrine of the Scriptures Bibliology — Mafundisho Kuhusu Maandiko

Exodus 17:14; Jeremiah 30:2; John 7:32; II Timothy 3:16; Revelation 1:11 Kutoka 17:14; yeremia 30:2; yahana 7:34; II Timotheo 3:16; Ufunuo 1:11

Theology—The Doctrine of God Theology — Mafundisho Kuhusu Mungu

Genesis 1:1; Deuteronomy 6:4; Psalm 135:5; John 1:1; Ephesians 4:5 Mwanzo 1:1; Kumbu kumbu za torati 6:4; Zaburi 135:5; yohana 1:1; Wuefeso 4:5

Angelology—The Doctrine of Angels Angelogy — Mafundisho Kuhusu Wamalaika

Isaiah 6:2; Matthew 1:20,24; I Thessalonians 4:16; Jude 9; Revelation 12:7Isaya 6:2; Mathayo 1:20,24; I watheslonikia 4:16; Yuda 9; Ufunuo 12:7

Christology—The Doctrine of Christ Christology — Mafundisho Kuhusu Kristo

Matthew 16:16; 19:3-12; Mark 1:21-28; Luke 2:1-7; John 2:1-12; 6:1-5; Hebrews 13:8Mathayo 16:16; 19:3-12; Marko 1:21-28; Luka 2:1-7; Yohana 2:1-12; 6:1-5; Waebrania 13:8

Expiatology—The Doctrine of Atonement Expiatology — Mafundisho kuhusu Utuhio

Exodus 12:21; Leviticus 4:5,6,17; 17:11;Matthew 20:28; Hebrews 9:6-22-28; 11:28Kutoka 12:21; Walawi :.5,6,17; 17:11; Mathayo 20-28; Waebrania 9:6-22-28;11:28.

Pneumatology—The Doctrine of the Holy Spirit Pneumatology — Mafundisho kuhusu Rohomtakakifu

I Thessalonians 1:5; John 14:16; 16:13; Acts 1:8; 2:1-4; Romans 5:5; 8:16I Wathesalonika 1:5; Yohana 14:16;16:13; Matendo ya Mitume 1:8; 2:1-4; Warumi 5:5;8:16

Ecclesiology—The Doctrine of the Church Ecclesiology -Mafundisho kuhusu Kanisa

Matthew 16:18; Eph 1:22,23; Col 1:24; Hebrews 12:23; Revelation 1:20Mathayo 16:18; waefeso 1:22-23; wakolosori 1:24; waebrania 12:23; Ufunuo 1:20

Eschatology—The Doctrine of Last Things Eschatology - Mafundisho kuhusu Mambo ya Mwisho

Isaiah 2:2; Daniel 12:9; Micah 4:1; Matthew 24; Acts 2:17; 2 Timothy 3:1; 2 Peter 3:3Isaya 2:2; Danieli 12:9; Mika 4:1; Mathayo 24; Matendo 2:17; 2 Timotheo 3:1; 2 Petro 3:3.