Skip to main content

Muhtasari wa Kozi

Mafundisho ifwatayo haiko ndani ya mafunzo fulani katika urefu, kwa sababu yamekuwa kwa raisi ndani ya ma cosi zingine:

Mafundisho kuhusu Biblia imekuwa ndani ya (Bibliology)

UTANGULIZI KWA BIBLIA. Ime kuwa ndani ya MAFUNDISHO III (DOCTRINE III)

Mafundisho kuhusu kanisa (Ecclosiology) imekuwa ndanii ya LOCAL CHURCH&EPISTLES I, II & III.

Mafundisho Kuhusu Kristo na Mafundisho Kuhusu Mungu (Christology and theology) yamekuwa ndani ya Mafundisho III (DOCTRINE III)

Mafundisho kuhusu vitu vya mwisho (Eschatology) imetuwa ndani ya PROPHECY and REVELATION.

Mafundisho Kuhusu utubio (Expiatology) imetuwa ndani ya PENTATEUCH.