Skip to main content

5: Angelology: Mafundisho kuhusu Malaika

  1. Asili (maumbile ) ya malaika
  2. Kazi ya Malaika
  3. Andiko kuhusu Malaika

Isaya 6:2; Mathayo 1:20,24; I Wathesalonika 4:16; yuda ; Ufunuo 12:7

Asili (maumbile ) ya malaika

Ishara Kuhusu hali

Mafasirio ya kebrania kuhusu malaika ni msimamizi wa Mungu wa hali juu ya mtu, kwa muda atoae mijumbe, kwa muda, alindae watu wa Mungu.

Waliumbwa viumbe

Malaika aliumbwa na wana mwanzo fulani. Haweko wa maisha la milele jinsi ya Mungu. Waliumbwa na Mungu na wana kuwa wa mfalme.

Idadi yao haijulikane kwa usahihi, walakini sababu hawazai wala kufa, idadi yao ya leo ni kama mwanzo wakati waliumbwa, waebrania 12 :2 imeonyesha idadi ya malaika kama “haihesabuliké” haihesabulike maana ni wengi kwa kuhesabuliwa. Katika maandiko ya Mathayo 26 :53, imesema ya kua angewaita legoni kumina wawili ya malaika kwa kumsaidia.

Legoni moja inna wa helfu sita ; lejoni kumi na wawili ingekuwa elfusabini na wawili ya malaika.

Luka 20 :36—Wala hawawezi kufa tena ; kwa sababu huwa sawa sawa na malaika, nao ni wana wa Mungu, kwa vile walivyo wa ufufuo.

Viumbe vya kiroho

Zaburi 104:4—Amewafanya malaika yake kuwa roho ; wahudumu wake kuwa moto yenye mwali:

Japo malaika wana majina ya wanawume, kama vile, Michael na Gabriel, malaika niviumbe vya kiroho na siyo wakiume wa kike. Malaika hawaai wala kuwa na jamaa. Katika maandiko ya Marko 12 :25, wametueleza ya kuwa wakati wakristo wataingizana mbinguni, watakuwa kama malaika kwa maana ya kuwa hawakaoa wala kupewa kwa ndoa.

Malaika kamwe siye watu, lakini waliumbwa kama malaika. Hakuna maandiko imeonyesha hata siku moja ya kuwa watu nao wamekuwa malaika. Tena, japo wameweza kuonekana kama watu, hawana miili ya kimutu. Kuna mifano mengi yenye kuandikwa katika Biblia kuhusu malaika wenye kuonekana kama watu.

Mwaloni ni Gideone malaika aliketi chini. Wamuzi 6 :11,12.

Zakaria malaika aliongea n zakaria. Zakaria 1 :9

Zakaria malaika alimtokea Luka 1 :11

Miriamu aliona katika malaika. Luka 1 :29

Tuliagizwa kupokea wageni kwa

sababu tuliweza kupokea malaika bila kufahamu. Waebrnia 13 :2

Wenye mamlaka, lakini yenye misho.

Malaika ni viumbe vyenye mamlaka, walakini mamlaka yao ina mwisho. Malaika moja aliua elfu mya moja ya assyriani katika usiku moja. (2 wafalme 19:35) Malaika mwengine alitumwa na Mungu kuiharibu gerusalemu, lakini akuyamaliza uharibifu katika Ikumbu kumbu la torati 21:15. Hiyo maandiko imeonyesha mamlaka na mwisho ya malaika. Walikuwa na mamlaka ya kuharibu muji mizima, walkin wakatin mungu aliwa ambia kuacha, wapshwa kuacha. Malaika hawezi kutenda bila kumtegemea Mungu. Haki shetani (‘malaika ambae alitupwa’ hama ‘Ibilisi’) alihitaji ruhusa tutokea kwa Mungu ili amtendee yobo na jamaa yake.

Malaika haweko mahali pote, hawana mamlaka zote, wala hawana ufahamu wote. Malaika watahutumiwa na watu wa Mungu (I wakorinto 6:3) Malaika walikuwa na nia ya kuyajua maana ya injili (I Petro 1:12), hii imeonyesha ya kuwa uelevu wao una mwisho.

Haina

Kuna daraja fulani ya malaika.

Malaika mkuu.

Malaika mkuu ni malaika wa hakwa ya juu zaidi. Michael ameitwa malaika mkuu katika maandiko ya Yuda 9. I wathesalonika 4 :16 imesema ya kuwa wakati kristo atarudi, atatanguliwa nasauti ya malaika mkuu.

Serafina

Waserafina wametajua tu katika kitabu cha Isaya 6 :2-6. Jina serafina imetoa picha ya mwali (sawa na rangi ya mutuba). Isaya amewafasiria kama wamekuwa na mabawa sita : mawili yenye kutanda uso, mawili miguu, na mawili ya kuruka nayo. Milango imetetemeka kwa sauti ya kulia kwao. « Mtakatifu, mtakatifu, ni mfalme wa majeshi : ulimwengu zima imejaa na sifa yako. Malaika moja ambae alitumia kamba, alichukuwa makaa yenye moto kwa madhobahu na aliyagua midono ya Isaya. Hiyi ni dalili ya maondolea ya dhambi ya Isaya.

Makerubi

Haina ya malaika imeandikwa kila mara. Materubi wametoa huduma yao mbele ya Mungu na wameihinda myumba ya Mungu. Makerubi walichukuliwa picha kwenye sanduku la Agano na kwenye kiambaza ya hekalu ya sulemane kama ni wenye kusimama kwa upande ambili ya Mungu kando kando ya kiti cha rehema.

Kazi ya Malaika

Viumbe vya kiroho vyenye kutoa huduma.

Kwa Mungu

Kazi kuu ya Malaika ni ku sujudu kuabudu and kuhudumia Mungu. Malaika wenye kuabudu na kuhudumia Mungu wamechuliwa picha mara myingi katika Biblia na hasa katika kitabu cha ufunuo. Malaika wameabudu na kutimiliza amri za Mungu.

Waebrania 1:6—Hata tena, amletapa mzaliwa wa kwanza ulimwenguni, asema, na wamsujudu malaika wote wa Mungu.

I Petro 3:22—Naye yupo mkono wa kuume wa Mungu, awekwenda zake mbinguni, malaika na enzi na nguvu zikiisha kuhishwa chini yake.

Ufunuo 5:11—Nikaona nikasikia sauti ya malaika wengi pande zote za kile kiti cha enzi, na za wale wenye uhai, na za wale wazee, na hesabu yzo ilikuwa elfu kumi mara elfukumi na elfu mara elfu.

Ufunuo 14:10— Yeye naye abakunywa katika mvinyo ya ghadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.

Kwa mtu

Malaika walipewa kazi na Mungu ya kumudumia watu wake.

Waebrania 1:14—Je! Hao wote si roho watumitao, wakitumiwa kuwahudumu wale watakao urithi wokovu?

Wenye kulinda

Zaburi 34:7—Malaika wa Mfalme wamekuja kwa wale ambae wamemwogopa, na wamewaokowa.

Kutoka 14:19—Na Malaika wa Mungu, ambae walienda kwenye kambi ya Israeli, waliondoa na kwenda nyuma yao; na nguzo ya wingu zilienda kutoka mbele ya nyuso zao, na kusimama nyuma zao;

Zaburi 91:11,12—kwani atawapa malaika wake kazi juu, yako kwa njia yako yote 12. watakunyanyawa mikononi mwao ili kusudi husigonge mguu wake kwenye jiwe.

Wenye kufunua na Kuongoza.

Malaika Gabrieli alimuagiza Danieli kuhusu maana ya ndoto na maono yake. (Danieli 18:16; 9:21). Wakati nyingi katika Biblia, Malaika walitoa jumbe kutoka kwa Mungu kwelekea kwa watu. Malaika alimweleza zakaria ya kuwa atapa mtoto na atamwita Yohana (Luka 1:19) Ujumbe kuu ambao ili chukulia ilikuwa ujumbe wa Gabrieli kwelekea kwa Miriamu ya kuwa atachukuwa mimba na ataikwa kwa jina la Yesu.

Wametuonya katika wagalatia 1:8 ya kuwa hata kama malaika wa mbinguni wameubiri injili lolote nyingine, wamestahili kuhainiwa.

Hata kama ujumbe wa malaika itashundwa na neno.

Yenye Kutolea

Mungu alitumia Malaika ili kutolea mahitaji ya kimwili kama vile chakula kwa ajili ya hagar (mwanzo 21:17-20), Eliya (1 wamuzi 19:6), na Kristo baada ya majaribu yake (Mathayo 4:11).

Wenye Kuokowa

kuwaepusha watu wa Mungu kwa hatari wakati wamepatikana katika hali hiyo. Malaika waliwaokowa wakume kwenye Gereza katika Matendo 5, na walirudiria kazi hiyo kwa ajili ya Petro katika matendo 12:7-9. Katika Danieli 6:22, Malaika laiwafumba wa sima vinywa kwa ajili ya Danieli.

Wenye kutia nguvu na kuhimiza (kuthibitisha)

Malaika walimbia nguvu yesu baada ya majaribu (Mathayo 4:11), wali thibilisha wamitume kufuliza kuubiri ya kokoka kwenye gereza (Matendo 5:19-20), na walimweleza Paulo ya kuwa mtu yote kwenye merikebu atasalamika kwa hatari ya merikebu (Matendo 27:23-25).

Wenye kujibu kwa sala

Mungu kila mara ametumikisha Malaika kama chombo cha kutoajibu kwa sala ya watu wake (Danieli 9:20-24; 10:10-12; Matendo 12:1-7)

Wenye kushururikia waaminifu wakati wa kifo

Katika adithi la Lazaro na mtu mtafiri, tulisoma kwamba malaika waliyachukuwa Roho ya Lazaro kwenye kufua cha Abrahamu wakati alifariki (Luka 16:22)

Siyo wa Kuabudiwa

Japo wa mungu ni viumbe vitakatifu, siyo wa kuabudiwa. Shetani alijaribu kumsukuma Yesu ili amsujudu, walakini Yesu alimueleza wazi ya kuwa Mungu tu Mungu tu amestahili kuabudiwa. Malaika walifanywa ili kumsujudu Mungu na siyo wakuabudiwa kamwe.

Luka 4:8—Yesu akajibu akamwambia, imeandikwa; Msujudie Baba Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.

Waebrania 1:6—hata tena,… na wamsujudu malaika wake wa Mungu (Yesu).

Wakolosai 2:18—Mtu aiswanyanganye thawabu yenu, kwa kunyenyekea kwa mapenzi yake mwenyewe tu, na kuabudu malaika, akijitia katika maono yake na kujivuna vure, kwa akili zake za kimwili.

Warumi 1:25—watakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya muumba anaye himdiwa milele.

Hatustahili kukisujudia kiumbe chochote, hata malaika. Ibada yote yafaa kumwelekea Muumba. Ni upuzi wenye hatari kwa wengi kutegemea malaika. Isipokuwa tu jina matatu ambayo imeletwa katika maandika yenye kutoka kwa idadi isiyo hesabulika ya jeshi la mbinguni vime kuwa mbinguni; hiyi ni ishara kwetu ili tusitie akili yetu kwenye Malaika. Shaba yetu yafaa kuwa juu ya kristo na hali tumeonzwa na Roho Mtakatifu.

Andiko kuhusu Malaika

Jeshi la Mbinguni

Luka 2:13 – Mara wali kuwapo pamoj na huyo malaika, wingi wa jeshi la mbinguni, wakimsifu Mungu, na kusema,

Yobo 38:7 – wakati (nyota za asubui) Alfajiu waliemba pamoja, na watoto wote wa Mungu walilalamika kwa furaha.

Malaika wa Mfalme

Kuna malaika ine ambae ina majina katika Biblia. Andiko ya kwanza kuhusu malaika katika Biblia ni katika Mwanzo 16:7. “Malaika wa Mfalme” alimweleza Hagar kurudi kwenye Sarah.

Mwanzo 16:7—Na aalaita wa Mfalme alimkuta Hagaa kando kando ya chemi-chemi ya maji…

Hiyi ndyo ya kwanza katika mara nyingi Malaika wa mfalme alitoa jumbe:

Alisema kwa Musa wakati kijiti ili kuwa imeungua. Kutoka 3:2

Alisema kwa Manoah na mkewake kuhusu samsoni Wamuzi 13:2

Alimkataza Balaamu. Hesabu 22:22

Alimonekania Gideoni. Wamuzi 6:12

Lucifero

Lucifero maana nyota za mchana, yenye kunga’a, ao yenye mwangaza. Katika kuinuka kwake kwa Mungu, Lucifero aliangutka katika hutumu ya Ibilisi kuwa mkuu wa malaika ambae walianguka na tuwa maadui ya Mungu. Kuanguka kwa Lucifero kumefasiriwa katika Isaya 14:12-14 na Ezekieli 28:12-15. Kabla ya kuanguka kwake, lucifero alikuwa malaika mrembo huyu katika maji veno yake alijitukuza mwenyewe kuwa juu ya Malaika wengine kuwa sawa sawa na Mungu. Aliumbwa katika hali ya ukuu, walakini alianguka mbali ya hiyo.

Yohana 8:44—… Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendozo kuzitenda…

I Timotheo 3:6—… asige akajiaina akaanguka ktka hukumu ya Ibilisi.

Katika kwanguka kwake, Lucifero alivuta theluthi ya malaika wa mbinguni kwake. Katika vita kuu mbinguni, shetani na wafuasi wake walitupwa nji ya mbinguni (Ufunua 12:4).

Michaeli

Michaeli ni malaika moja tu mwenye kuwa mkuu wa malaika, wajibu wake kuu imeonekana kuwa kulinda kwa vita watoto wa Mungu.

Danieli 12:1—Kwa wakati hule, Mikaeli amesimama, Mtoto mkuu wa mfalme ambae amesimama kwa ajili ya watoto wa watu wake: na kutakuwapo masumbufu, kama vile bado haija kuwapo: na kwa wakati huu watu wako wtaokolewa, na kila mmoja atkuwapo ameandikwa katika kitabu.

Tamko mto wa Mfalme Katika shairi hiyi maana. Mwenye kuongoza, akida, Mkuu. Yuda 9 amefasiria mapambano katika Mikaeli na shetani. Mikaeli amedhihirishwa kama malaika mpiganaji.

Ufunuo 12:7—Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na Malaika zake wakapigana na yule joka, na yule. Joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake.

Gabreli

Gabrieli ni mjumbe katika mara ine ametajwa katika Biblia. (Danieli 8:16;9:21; Luka 1:19,26) Wengine walifikiri ya kuwa Gabrieli ni malaika mkuu, walakini hakuna shairi katika maandiko imethibitisha hiyo.