4: Soteriology: Mafundisho Kuhusu Wokovu
Sections for Soteriology: Doctrine of Salvation
1. UTANGULIZI
Mafundisho Tano Makubwa :
Wokovu – Mathayo 10 :22 ; Marko 10 :26 ; Matendo 2 :21 ; 16 :30 ; Waefeso 2 :8
Uponyaji – Mathayo 4:23; Mathayo 9:35; Luka 9:11; Matendo 4:22; 10:38
Ubatizon – Marko 1:4; Luka 3:3; Matendo 1:22; Warumi 6:4; Waefeso 4:5
Utakaso – Yohana 17:17; I Wakorinto 1:30; I Thesalonika 4:3-4; 2 Wathesalonika 2:13
Ujo wa Pili – Mathoyo 26:64; Marko 13:32; 14:62; Luka 21:27; Matendo 1:11.
Tumetumia matamko “Cardinal doctrines” kwa kufananisha na mafundisho makuu na yenye kuwa na msingi. Kwa ujumba, mafundisho makuu ni ungo kawaida na waaminifu wengi bila kutafakari dhehebu. Mafundisho mengi mengine imeweza kuwa kwa utaratibu haina ya chini ya moja ya hiyi matano tena.
Wokovu nitamko yenye kupatikana yote dani. Tamko wokovu maana ufungulivu- Usalama- Kutenzwa- Ubora- yenye kundi kwa halizambele- uponyaji.
Wokovu katika agano jipya ya kiyunani:
Majina- Sotaia; Sotaion (4991,4992) Luka 1:69; 2:30; Matendo 4:12
Verb- Sozo (4982) Mathayo 1:21; Yohana 10:9; Matendo 15:11.
Tamko na hali ya wokovu imeangaliwa katika wakati ipitayo (warumi 8:24); Katika wakati huu (I Wakorinto 15:2), na katika wakati ujao (warumi 13:11) wakati wa matumizi katika maandiko.
Kuokolewa ni kuachiliwa:
na laana ya sheria-Wagalatia 3:13
nahasira – I Wathesalonika 5:9
na kifo – II Wakorinto 7:10
na Uharibifu- II Wathesalonika 1:9
tulipotea, lakini tumeokolewa
tulifungwa, lakini tumekuwa huru
tulipofuka, lakini sasa tumeona.
Tulihukumiwa lakini sasa tumeachiliwa kwa hukumu. (Warumi 8:1)
Tutasungumzia nukta hiyi:
Nikitu gani kimekuwa wokovu? (ao) Hali za neema.
2. Haina za Wokovu
Haina tatu ya wokovu
Kuhesabuliwa kwa haki- Kuzaliwa upya – Utakaso
Kuhesabuliwa kuwa haki-
Tomko za sheria yenye kuleta kwa akili zetu mambo ndani ya chumba cha wamzi.
Kuzaliwa upya-
Kuzaliwa katika jamaa, yenye kuleta kwa akili zetu mambo dani ya nyumba
Utakaso
Niyenye kuambatana na kuabudu, yenye kuleta kwa akili zetu mambo ndani ya hekalu.
Mtu mwenye kwokolewa ni huyu ambae amehesabuliwa hakinbele ya Mungu (KUHESABULIWA KUWA HAKI) na kuzaliwa katika jamaa ya Mungu (KAZLIWA UPYA) na kutolewa kwa kazi za Mungu (UTAKASO).
àKuhesabuliwa kuwa haki,
àamefanywa kuwa haki kuzaliwa upya, amekuwa mtoto wa Mungu.
àKupata utakaso, amekuwa mtakatifu. (Kutakaswa).
Baraka hizi zinafuatana moja baada ya ningine ao zimezitokeza wakati moja?
Kweli, tumeona utaratibu huu:
kuhesabuliwa kuwa hati mbele ya sheria ya Mungu- Warumi 3:24 (kuhesabuliwa haki)
Hali mupya imepewa- Yohana 3:6 (kuzaliwa upya)
kutiwa katika maisha na kazi mpya- waefeso 2:10 (Kutakaswa)
Kumbe, hiyo matatu imezitokeza mara moja, tena imetengana tu kwa mafaa ya kuyallewa na kuyafunza kwa njia ya matumizi ya damu ya bwana Yesu yenye thamurni, haya yote yime pokelewa. Kwa mara, tumehesabuliwa haki, tumezaliwa upya, na tumetakaswa.
Japo utakason ni kazi fulani nyenye kutendwa wakati wa wokovu, utakason nitena kazi yenye kuendelea. Hali ya mwisho ya utakason timilifu ni ukamilifu (Tutasungumzia viguri kuhusu utakason katika mafungo ufwatayo).
Hiyo baraka zote zimetolewa kwa njia ya kifo ya christo. Tena, hiyo baraka matatu imetoka kwa ushirika wetu na christo.
II wakorinto 5:21—Yeye asiyejua dhambi alimfanya kuwa dhambi kwa ajili yetu, ili sia tupate kua haki ya Mungu katika yeye.
Waefeso 1:7—Katika yeye huyo, kwa damu yake, tunao ukombozi wetu, masamaha ya dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake.
II wakorinto: 5:17—Hata umekuwa, mtu akiwa ndani ya kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita; tazame! Yamekuwa mapya.
wokovu imekuwa haina mawili: YANJE na YA NDANI
Kuhesabuliwa kuwa kaki —
Mabadiliko kwa hali: ilikuwa katika dhambi “ndani ya kristo” II Wakorinto 5:17
Mabadiliko kwa hali: kutoka kwa hali mwenye dhambi kwa hali ya mwenye hali: Zaburi 51:5; I Wakorinto 6:11.
Maana yake kutiwa katika urafiki kamilifu na Mungu wakati tumehesabuliwa kuwa haki, tumefanywa kuwa wenye habi. Imetuwa sawa kamwe sija tenda dhambi.
Kuzaliwa upya kwa kiroho —
Mabadilikikalika- moumbile- “kiumbe kipya”
Alikuwa mtoto wa Ibilisi, sasa mtoto wa Mungu (Maumbile ya Kimungu).
Utakaso —
Mabadiliko katika mwenendo- “vitu vya kale vimekwisha kupita, kila kitu kimekuwa kipya”.
Kuwa na tunda za Roho na kuwa katika Kristo. Wagalatio 5:22-24.
Matengani za nje na utakaso wa ndami kwa dhambi. II Wakorinto 7:1.
Haliza Wokozu
Maana yake nini “Hali za wokovu”?
Mahitaji ya Mungu katika mtu ambae amekubali kwa faida ya Kristo na kwa ajili yake Ametoa katika uhuru baraka ya injili ya neema. Kwa hali gani Mungu ametoa kipawa cha bure cha wokovu? Juu kumekuwa maisha tu! (Warumi 8:16)
Wokovu ina mahitaji gani?
Maandiko imefumbua: Utubio—Imani—Kukiri
Marko 1:15; Matendo 22:16;16:31; warumi 10:9,10; Walbramia 11:6; Matendo 8:13,21.
Imani yenye akili itosha?
Yakobo 2:19—Wewe waamini ya kuwa Mungu ni mmoja; watenda vema mashetani nao waamini na kutetemeka.
Hamna. Imetupasa kuwa na zaidi kuliko mashetani ! wameaminia na kutetemeka na tena wameendelea kutenda kinyume ya mapenzi ya Mungu. D.L. Moody alisema, “Shakia shaka zako na amini Mungu.”
Matendo 8:13,21—Na yeye simoni mwenyewe aliamini akabalizwa, akashikamana na filipo, akahangaa alipoziona ishara na miujiza mitubwa inayotendeka. 21. Huma fungu wala huna sehemu katika jambo hii, kwa kuwa moyo wako si mnyofu mbele za Mungu.
Nitofauti gani imefuwa kati ya imani na usadiki?
Imani ni kazi ya kiroho. (waefeso 6 :17 ; yohana 6 :44 ; warumi 10 :17). Kusadiki ni tendo za kimutu. Mungu ametngoja tutoe jibu kwa imani ambao alitia kati yetu na ametuamuru kusadiki. (Marko 5:36). Wakati Mungu ameumba mtu, ametafuta ndani mwake kitu ili kusudi tusiweze kujibu sawasawa kwa Mungu, isipokuwa kama tuna imani. Waebrania 12:2- Tukimtazama yesu, mwenye kuanzisha na mwenye kutimiza imani yetu; ametusahidia to sadiki.
Yohana 1:1- “Tamko” logos (3056) – neno yenye kwandikwa, neno iliyo hai (chanzo ya asili) Biblia takatifu na Christo, ne lenye hai, ni logos.
Warumi 10:17 “Tomko” Rhema (4487)- neno yenye kunenwa (chanzo ya kiriho); Rhema umekumbusha neno tofanti yenye kunenwa kwako na roho. Ni neno la Mungu yenye kudhihirishwa.
Ni tofauti gani zimepatikana kati ya utubio na imani kuhusi wokovu?
Imani imeusika ma ahadiya Mungu. |
Utubio imeusika na dhambi. |
Imepokea wokovu. |
Imekatoa dhambi. |
Imani imepatikana katika Rehema ya Mungu. Waefeso 2:8,9; Luka 18:13; 13:3
Mungu aliamuru ni kwa watu?
Kila mtu amepashwa kutubu (na wale wamepatikana ndam ya kanisa). Matndo 17 :30 ; Ufunuo 2 :5 ;3 :3,19.
Kutubu ni kuacha kutenda kila kitu umetenda. Madhehbu zingine zimesaili kutubu dhambi zote wakati wa wokovumbele- leo na kesho. Vipi umeweza kutubu (hama kuacha) kitu ambao haukutende ? Tumeweza tu kutubu dhambi ya mbele na ya leo.
Kumeweza kuwa imani bila utubio?.
Hamna. No one can receive the promises of God without repentance. Mark 1:15; Jonah 3:5-10
Imani na utibio ni matayarisho tu kwa wokobu ?
Tumehitaji Mungu kwa kila hatua katika maisha yetu ya kikristo na tumemtegemea kwa yote. Imetupasa kuyapokea kila neema ya kikristo kutokea kwa Mungu na Mungu amejibu kwa imani, Waebrania 11:6; II Timotheo 2:25.
Ni roho mtakatifu imeleta hakikisho za dhambi imepeleka watu kwenye utubio.
Are faith and repentance simply preparatory to salvation?
Hamna. Imani na utubio imekuwa katika maendeleo katika maisha ya mwaminifu. Waefeso 3 :17 ; Ufunuo 3:19.
Kugeuka
Matendo 3 :19 ; Mathayo 18 :3 ; Luka 22 :32 ; Yakobo 5:20
Kugeuka imechukua utu uzima:
Katika akili Matendo 2:37,38 “Wamesikia”
Katika roho Matendo 2:37,38 “Kuchomwa moyoni”
Kwa matendo Matendo 16:27-31 “Tutafanya nini?”
Vipi kugeuka imetofauti na wokovu?
Kugeuka imeonyesha sehemu ya utu ya wokovu. Luka 19:8,9 : Matendo 9 :11 ;16 :33,34. wafilipi. 2:12,13
imekuwa ya kwanza- kuzaliwa upya ao kugeuka?
Moja haififi mbele ya ingine. Ni neno Kamilifu kusema kwamba kuzaliwa upya ni tendo la Mungu katika mtu na kugeuka ni tendo la mtu kwa Mungu. Kuzaliwa upya na kugeuka imetenda pamoja kwa mara moja.
“(sehemu moja) kati ya kiungo cha mwili ne chini kwa udongo, zaccheus aligeuka”—D.L. Moody.
3. Kuhesabuliwa haki
Asili ya kuhesabuliwa haki — Pato ya kiroho.
Kuhesabuliwa haki ni hali ya Makubalio na imani. (Warumi 4 2-8; 5:1)
Kuhesabuliwa haki ni kipawa cha bure kutokea kwa Mungu yenye Kufanywa kwa nji ya kristo. (Warumi 1:17; 3:21,22)
Kuhesabuliwa haki ni hali ya makubalio ambapo mwaminifu ameketi. (Warumi 5 :2)
Kuhesabuliwa haki ni hali timilifu na yenye usalama Kulinganishana na Mungu. Kuhesabuliwa haki” ni wamuzi wa Mungu. (Warumi 8-33,34)
Kuhesabuliwa hakini tendo la neema ya bure ya Mungu pamoja nayo amesamehe dhambi zote na kuko kubali sisi kama wenye haki (dhambi yapasa kukubaliwa)
Kuhesabuliwa haki imemutia Mkosaji katika hali ya mtu mwenye haki. Mungu amehesabu kuwahai anaye mpingu Mungu. Hakuna hukuna wa dunia umeweza kuyafanya hii. (Warumi 4:5)
Kuhesabuliwa haki ina haina mawili.
Kuondowa- Kuyafuta dhambi
Kuongeza- Maongezi ya uhaki
Kuyahitaji uhaki
Mtu amehutumiwa
Watu wote wameihitaji uhakiwa Mungu, kwana watu wote walitenda dhambi. (Yobo 9:2, Matendo 16 :30)
Wapagano wekon chini ya bukumu.
Hatua katika kuanguka kwao:
Mara moja walijua Mungu—Warumi 1 :19,20
walimtukuza, siyo kama Mungu—Warumi 1 :21
kamwe hawakukuwe na shukrani—Warumi 1:21
walikuwa bure katika mafikira yao—Warumi 1:21
akili zao ilikuwa giza—Warumi 1:21
upovu umepeleka kwenye ibada ya samamu—Warumi 1:23
ibada ya sanamu imepeleka ubovu wa mwenendo—Warumi 1:24-31
Hawana msamaha—Warumi 1:32
The Jews are under condemnation. (Warumi 3:19)
Sheri haiwezi okowa (Warumi 3:20)
Sheria ni mwalimu ya kutupeleka kwenye kristo. (Wagalatia 3:24) Ni fimbo tu za kupima ambao umefumbuwa ile ambao haina usaili lolote kwa shururisho ao mabadiliko.
sheria ni ufahamu wa dhambi—Warumi 3:20
uhaki ni bila sheria—Warumi 3:21
ilishuudiawa na sheria
mwanzo 3:15; 12:3; 22:4,13,14; Zaburi 32:1,2, wagalatia 3:6-8; yohana 8:56
Ilishuudiwa na wa nabï
Isaya 53:4-6; yeremia 23:6;31:31-34; Ezekieli 36:26.
Hii ni mpango wa kala wa wokovu wa Mungu Sheria iliongezwa: wagalatia 3:19-26
Warumi 10:3 wasiye jua haki ya Mungu”
Kuithibitisha haki yao wenyewe”
Hawa kujitia chini ya hakiya Mungu”
Wakati Kristo alikuja hawakumtaki (Yohana 8:32-34)
Hii ni kazi za Mungu” (Yohana 6:28-29)
Kristo ni mwisho wa sheria” Warumi 10:4.
Chemi-chemi ya haki — Neema
Kazi ya neema imeeleweka
Neema maana yote ya kwanza fadhili, ao hali ya wema akihini mwa Mungu
Neema iliitwa wema na fadhilisafi bila thsawabu” ao fadhili ambao haistailiwe”. Neema haiwegi kukopa deni. Ile Mungu ametoa, ameyatowa kama karama; hatuwezi kulipa kwa ajili ya hiyo. (warumi 6:23) Kazi ya kikristo siyo malipo kwa ajili ya neema la Mungu; Kazi ni njia ya kikristo ya kuonyesha utauwa na upendo kwa Mungu Tumemupenda, kwani yeye alitupenda mbele (Iyohana 4:19).
Neema ni jinsi ya Mungu kutumika kuhusu dhambi bagaire kabisa ya swaliza kustaili” hama kutokustaili”. Neema siyo kamwe kumtunza mtu jinsi amestaili, hama kumtunza vizuri zaidi kuliko amestaili.
Neema ni upendo bila mwisho yenye kujionyesha katika wema usiyo kuwa na mwisho.
Kutokuelewa kumestaili kuepukika. Neema maana yake siyo kusamehewa dhambi, kwa sababu Mungu ni mwenye moyo mkuu kwa kusamehe adhabu. Wokobu ni kwa njia ya damu (warumi 3:24; waefeso 1:6-7). Kusamehe dhambi imeketi juu ya haki ngumu. Kwa kusamehe dhambi amekuwa mwaminifu na wa haki (Iyohana 1:9) Tumehesabuliwa haki tu kwa sababu Kristo alilipa deni.
Neema haitegemee matendo ya mtu walakazi zake. (Wagalatia 5:4)
Wakati mtu amekuwa chini ya sheria, hawezi kwa chini ya neema wakati amekuwa chini ya neema, hayuko chini ya sheria.
Sheria |
Neema |
Imelipa yote. |
Yote imelipwa. |
Kazi ya kutenda. |
Kazi yenyi kutendwa. |
Imezwa matnedo. |
Imebadilisha asili (maumbile). |
Imehukumu. |
Imehesabu kuwa. |
Vijakazi wametumika kwa ajili ya upira. |
Watoto wenye kupokea urithi. |
Makosa za kuhepuka
Kosherio- Haki yenye kuketi juu ya kuyaheshimu shena
Kutokuwana Sheria- Haki bila kujali matnedo (japo Hatarii hatupo ‘chini ya sheria’, hatupo tena ‘bila sheria’
Mafundisho ya Wagalatia - Hati yenye kupokelewa mbele kawa imani, lakini kiisha yenye kusaidiwa na kuiheshimu sheria.
Tomko Neema” imetumiwa kwa muda kwa maana ya ndani, kwa kuonyesha:
Kazi ya tendo ya kimungu
Matokeo ya tendo ya kimungu (Matendo 4:33;11:23; Yakobo 4:6)
Kazi ya Neema yenye kupangiliwa.
Neema yenye kutangulia
Kuvuta watu kwa Mungu.
Puvenient (maana : yenye kutangulia) Grace= Neema yenye kutangulia ni tendo la kimungu yenye kukabili kugeuka kwa mtu, ambao imesukuma utahidi wake kurudi kwa Mungu. Ni matokeo ya, fadhili ya Mungu katika neema yake hakufanye hatua ya kwanza kwenda kwa mtu, mtu hange fanya hatua kwenda kwa Mungu. Mtu amekwisha kupofishwa wa dhambi, walakini roho ya Mungu imekuwa kwenye kazi katika ulimwengu leo ambao imevuta kandoo zenye kutawamjika kwenye zizi la Mungu.
Yohana 6:44—Hakuna mtu awezaye kuja kwangu, asipovutwa na Baba aliyenipeleka; nami nitamfufula siku ya mwisho.
Kuonyesha utahidi kwa watokutii
Matendo 7:52—Ni jupi katika manabii ambaye Baba Znu hawakumwudhi? Nao waliwaua wale waliotabiri habari za kuja kwake yule Mwenye haki; ambaye ninyi sasa mmekuwa wasaliki wake, mkamwua:
Hata katika maisha ya mwovu mwenye kuwa na nia ya kutenda mabaya tu, Neema ya Mungu haitumiki? Mfano ya Mungu yenye kuonyesha utahidi kwa watokutii katika neema yake imepatikana katika maisha ya nabii Ezekieli.
Ezekieli 2:1,2—Na alisema kwangu, Mtoto wa Adamu, simama juu kwa miguu yako, na nitakweleza”. Hivi alikuwa akamzungumzia, Roho ikaja ndani mwangu na ikanisimanmisha kwa miguu, na nilimsikia amesema kwangu.
Mungu ana mpango na ametazamia kufurahi katika mpango wake na vijakazi vyaminifu. Hiyi ufunuo ni kwanjia ya Roho yaike na kwa neema. Vituo na ma kanisa imeweza kufahamu huduma wa watu, walakini ni Roho mtakatifu ya Mungu tu ambae imeweza kuita watu. Wache tuingizane ufahamu wake kule siyo tu nabii amesikia maneno ya Roho, bali Roho imeingizana ndani mwake na kumweka miguuni mwake. Hii siyo wakati wa kubaki mtoto; Nimekuwa na kazi ya ninyi kufanya”. Hatupase kulichukua neno la Mungu ambayo imelala udongoni. Wache tujiweke tayari ka wahudumu wa neema la Mungu.
Ezekieli 2:3-5—Na alisema kwangu, Mwana wa Adamu, nimekutuma kwa watoto wa Israeli, kwenye taifa yenye kukaidi ambayo iliminukia: wao na wa baba zao walikua katika uasi hadi siku za leo… watu kwenye nimekutuma ni wenye ukaidi . uwaambie, ya kuwa ni hiyi mwenyezi Mola amesema. 5. Na wakisikilize ao kutokusikiliza – kwani wao ni nyumba yenye ukaidi – watatambua ya kuwa nabii alikuwa myogoni mwao.
Neema ya Mungu yenye kutangulia imekuwa hapa kwenye kazi. Ikawa Israeli iposikia ao kutokusikia. Mungu alikuwa ameendelea kutuma mjumbe wake kwao. Mungu ameoliwa kwa mwobu. (Yeremia 3:14)
Neema Yenye Nguvu
Ephesians 3:7
Neema imekuwa na nguvu kwa kuzaa kugeuka, kama haipingwe na mtu, yohana 5:40; Matendo 13:46 Neema yenye nguvu” haiko namna moja na neema yenye kupingwa.
Nukta ya nne ya Mafundisho ya calvin ni neema yenye kupingwa”. Hiyo ono kuhusu neema imeonyesha ya kuwa hatuna mtu awezaye kuyapinga neema ya Mungu, walakini yule yeyote mungu alichagua” kwa kuokolewa, aliokolewa bila kupinga hiyi neno zimekanusha mafundisho ya Biblia ya mapenzi huru na uchaguzi, na imekataa hitaiji lolote ya mtenda dhambi kushirikiana kwa namna zote na tendo la Mungu.
Neema ya biblia yenye nguvu” imedhihirisha uweza wa neema ya Mungu kwa kugenza nafsi yoyote ambae imechagua kujibu kwa tendo la Mungu. Neema ya Mungu haipingwe tu wakati imeshinda uweza wa dhambi na jehanamu na hakuna shida ambayo neema ya Mungu haiwezi kushinda. Neema ya Mungu imepingwa wakati Mfalme ameweka mbele yetu mlango wazi na atashurutisha mtu yeyote kutembea katika hiyo ambayo haikufanya uchaguzi ya mapenzi yao huru.
Yohana 12:32—Nami nikiinauliwa juu ya nchi, nitawavuta wote kwangu.
Ikawa neno la Mungu ilipingwa” ulimwengu mzima itaokolewa, lakini hatujuwe kwa maandiko kwamba sivyo.
Wache tuangalie mifano ya biblia kadhawa kadha kuhusu jinsi Mungu ametenda na watu. Mujuwe ya kuwa Mungu alifanya hatua ya kwanza na hivo ameomba tendo fulani kwa mtu kabla afanye ifwalayo.
Warumi 10:13—Kwa kuwa, kila atakayeliitia jina la Bwana ataokoka.
Mathayo 4:19—Akawaambia, Nifuateni, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa wahi.
Marko 10:51—Yesu akamjibu…akamwambia, watoka nikufanyie nini?
Waebrania 10:29—Mwaonaje? Haikumpasa adhabu iliyo kubwa zaidi mtu yule aliyembkanyaga mwana wa Mungu, na kuihesabu damu ya agano aliyo takaswa kwayo kua ni kitu ovyo, na kumfanyia jeuri Roho wa neema?
Neema yenye nguvu siyo hakikisha kwa mwenye kutafanyika . ambao imethibitisha uongo, Ikawa Mungu amenitaka mimi kuokoka, ataniokowa. Neema yenye nguvu ni hakikisho kwa mwenye kutubu ambao imethsibitisha kweli; ikawa nimetoka kweli kuokolewa, Mungu ameweza na ataniokoa!”
Neema ya sasa.
Neema imejuzu watu kuishi vizuri, kushinda majambu na kufanya kazi zao. Hivi tumesungumzia sala kwa ajili ya neema kwa kutenda kazi iliyo ngumu.
Neema kawaida
Neema ni matokeo ya Roho ambao imekuwepo, yenye maisha kuwa tunda za roho. Wagalatia 5:22,23.
Sababu ya Kuhesabuliwa Haki – Haki ya Kristo.
Vipi Mungu awezaye kuona mwenye dhambi kama mtu mwenye haki?
Mungu amemfanya Mwenye kutubu kuwa mwenye haki.
Kufanywa haki
Ni tu swali ya kutowa mwita ya wema” na kuwa mwenye haki” kwa mtu ambae haistahili? Bwana yesu Kristo aliipaka kwa ajili na kwa faida ya mwenye dhambi, amae amenenwa kuwa haki e kwa njia ya wokovu ambao imekuwemo ndani ya Yesu Kristo” Warumi 3:24.
Wokovu maana yake nini?
Wokovu maana kwachiliwa mzima baada ya kulipa bei.
Bei ya Haki
Kristo aliyapato ao kiyalipa hiyo Haki juu yetu na bei ni ni kifo chake cha utubio. Warumi 3:25 imesema:
Romans 3:25
Upatanisho ni ile ambayo imesalamisha fadhili ya Mungu kwa wale ambae hawastahili. Kristo alikufa ili kusudi tuepushwe kwa hasira ya Mungu yenyi haki na kusalamisha fadhili yake kwetu. Upatanisho maana kitu chenye rehema (Kutoka 26:34; Waebrania 9:5; I Yohana 2:2; 4:10).
haja ya Haki
Kama mwili imehitaji mavazi, kadhalika nafsi imehitaji moenendo, kama moja amepasa kuonekana mbele ya ulimwengu mwenye kuvaa vazi yenye kufaa, hivyo mtu amepasa kuonekana mbele ya Mungu and mbingu mwenye kuvaa vazi ya mwenendo mwenye haki kamilifu.Ufunuo 3:4, 7:13, 14; 19:8
Vazi ya mwenye dhambi ni naijisi na yenye kuchakaa zakaria 3:1-4. Na alijivika mwenyewe katika wema wake mwenyewe and staha na kutetea matendo yake mema, yataonekana kama viraka vyenye uchafu”. Isaya 64:6, yakobo 5:2; yuda 23.
Tumehitaji kujizuiza kwa unajisi wa mavazi zetu.Ufunuo 3:4; 16:15.
Toleo ya haki
Haki zilininukiwa kwa kifo ya kristo chenye ukombozi.
Mungu alitolea vazi. Isaya 61:10; Isaya 53:5, 11; Warumi 4:6;5: 18, 19; II Wakorinto 5:21 kifo chake kilikuwa tendo ya haki, kwani ilishirikiana na sheria ya Mungu; ilikuwa tena tendo kamilifu ya utii. Na hiyo yote ili tendeka kwa farida yetu na kutiwa kwa ziada yetu. Tendo ambayo Mungu tiya hiyo haki kwenye faida yetu imeitwa utiliwa” (imputation),
Haki ilitiliwa kwenye faida yetu
Utiliwo ni hesabu kwa mtu matokeo ya tendo la mukugine kwa mfano, matokeo ya dhambi ya adamu ilihesabuliwa kwa uzao wake. Matokeo ya dhambi ya mtu ilihesabuliwa kwa mwaminifu. Alivaa vazi yetu ya haki. Amefanywa kwetu haki,” I wakorinto 1:30. Amekuwa mfalme wa haki yetu”, Yeremia 23:6
Kristo aliandoa hatia yetu, alitimiliza mapashwa ya sheria, kwa njia ya utii na mabeso, na alikuwa mkombozi wetu, ili kusudi, wakati tumeungana naye kwa imani, kifo chake kimekuwa kifo chetu, haki yake imekuwa haki yetu, utii wake umekuwa utii wetu. Mungu kumbe ametukubali, siyo kwa ajili ya kitu chochote ndani mwenu, wala kwa ajali ya matendo – warumi 3:28; wagalatia 2:16 – ao kustahili, walakini ni kwa ajili ya haki kamilifu na yenye kutosha ya kristo yenye kutiliwa upande wetu. Kwa farida ya Kristo, Mungu ameangalia mtu mwenye hatia, wakati ametubia na kusadiki, kama mwenye haki.
Haki imetolewa kwa maisha yetu.
Kuhesabuliwa haki ambao imeokowa ni kitu cha njem a ni kuhusu upamuzi wa mutenda dhambi, walakini hakuna madiliko lolote katika hali?
Imegusa utu wake, lakini ni nini kuhusu mwenendo wake?
Haki imetiliwa, lakini imetolewa tena?
Katika kuhesabuliwa kuwa haki kristo ni upande wetu, lakini amekuwa tena ndani mwetu?
Maana, imeonekana ya kuwa utilia inge chafua sheria ikawa haikuambatane na usalama wa haki ijao.
Jibu ni kwamba hiyo imani yenye haki ni tendo la kwanza ya maisha ya kikristo, na hiyo tendo la kwanza, wakati imani ikohai, imefwatwa na mabadili ya kiroho ya ndani yenye kujulikana kama kuzaliwa upya kwa kiroho (regeneration).
Kaki imetiliwa katika kuhesabuliwa kuwa haki na imetolewa katika kuzaliwa upya kwa kiroho (regeneration). Kristo ambae amekuwa upande wetu amekuwa kristo ndani mwetu. Kristo ameishi ndani muangu”, Wagalatia 2:20
Mabadiliko ya uamuzi- wakati ndani ya Kristo.
Warumi 8:1; II wakorinto 5:17 Iyohana 2:5-6
Mabadiliko ya mwenendo – Kristo ndani mwako.
Kristo ndani mwako wakolosai 1:27, waefeso 3:17; wagalatia 4:19; waefeso 4:13. Kuwa ndani ya kristo na kridto ndani mwetu imeenda sasa pamoja. Yohana 15:4; 14:23, I yohana 3: 24; 4:13 wokovu halisi zimeomba maisha yenye matumizi ya utkalifu. Wale ambae wamevaa haki yake wakafanya iwezekanavyo kujitakasa wenyewe. I Yohana 3:3
Vyombo vy kuhesabuliwa kuwa haki – Imani
Kuhesabuliwa kuwahaki ni kwa imani. Kwa sababu sheria haiwezi kuhesabu kuwa haki, taraja tu ya mtu ni Haki bila shema” (warumi 3:21). Hiyo siyo kutokuwa haki bila kutokea kwa sheria, ao dini ambayo imetujuzu to tenda dhambi, lakini ni kuhesabuliwa kwoa haki ambao kumebadili uamuzi wetu na Mungu yenye kuketi juu ya staha ya kristo. Hiyo ndiyo Haki ya Mungu” (Haki ambao Mungu ametolea), na imekuwa kipawa kwa sababu mtu amekosa mamlaka ya kuikomalisha ao kuitimiza. (waefeso 2:8-10). Kazi matatu ya imani ni hiyi ifwatayo:
Imani imejichulia
Kipawa kimepasa kukubaliwa. Vipi sasa kipawa cha haki kimekubaliwa? Ni chambo gani kimejichukulia haki ya kristo. Ni imani.
Galatians 2:16
Imani imetenda
Psalms 51:7
Imani haichukuwe tu yale yote Mungu ametoa, lakini yameikabizi kwenye nafsi.
Imani imeamusha.
Imani haripokee tu bila kutenda, lakini imetumia kwa kutenda ile ambayo mungu ametoa. Imani ni tena yenye kutegemea roho (angalia katika warumi 10:9,10; linganisha mathayo 15:19 na Mathali 4:23)
Imani imeamba matendo. Maandiko yamezungumzia kuhusu kazi za imani.”
wagalatia 5:6 – Imani itendayo.
Awathesaloni 1:3 – Kazi ya imani
-Imani imezoa–Yakobo 2:26 -Imani imehakikishwa kwa matendo—Yakobo 2:18 -Imani imelindwa na matendo–Yakobo 2:22
Ni hivyo, imani ni mila yenye nguvu; na hali ya kuwa tayari kwa kupokea. Kumbe imani ni sabubu fulani kwa utii na kwa tendo lote lililo bora. Imani imeomba mapenzi na imeambatana na machaguzi na metendo yote mema. (Warumi 14:23) Imani ina ndani yake uchaguzi ara kutafutisha kweli. ( II Wathesalonike 2:12) Imani imeonyesha utii kwa haki ya Mungu (Warumi 10:3).
4. Kuzaliwa upya kwa kiroho.
Asili (Maumbile) ya tendo la kuzaliwa upya kwa kiroho
Kuzaliwa upya kwa kiroho ni tendo la kimungu ambayo imetolea kwa mwaminifu mwenye kutubia maisha mpya na ya hali ya juu katika kuunga kwa mwenyewe na kristo. Agano jipya imefasiria kizliwa upya kwa kiroho kama :
Tendo la kuzaliwa
Tenddo la kuzaliwa upya kwa kiroho (siyo ubatizo – kuhudhuna kanisa – mabadiliko). Mungu Baba ni yule ambae “alizaa” na mwaminifu ni mwenye “kuzaliwa” kwa Mungu (Iyohana 5:1), “Kuzaliwa kwa roho” (Yohana 3:8) na “kuzliwa kutoka juu” (mafasirion kamlifu ya Yohana 3:7).
Hiyo matambko imekumbusha tendo ya neema yenye kuumba ambayo imemfanya mwaminifu kuwa mtoto wa Mungu.
Utakaso
Tumeokoliwa siyo kwa “ushwa kutokea kwa kuzaliwa upya kwa kiroho.” (Tito 3:5). Nafsi iliashwa mjima kutoka kwa imajisi wa maisha ya mbele na kufanywa kuishi maisha mapya. – Hii ni picha ya ubatizo kwa maji. (Matendo 22:16).
Tendo la kuharakisha
Tuliokolewa siyo tu kwa « tendo la kuoshwa ya tendo la kuzliwa upya kwa kiroho » lakini tena kwa tendo la kuifanya upya Roho Mtakatifu (Tito 3 :5 Lingamisha Zaburi 57 :10 ; Warumi 12 :2 ; Waefeso 4 :23 ; Wakolosai 3 :10)
Tendo la Kuumba
Yule ambae alimuumba mtu katika mwanzo na kumvuvia pumzi ya uzima puani, ame muumba upya kwa tendo ya Roho Mtakatifu. II wakorinto 5 :17 Waefeso 2 :10 wagalatia 6 :15 waefeso 4 :24 Linganisha Mwanzo 2 :7 – Jibu kwa hiyo ni mabadiliko kuu katika maumbile, mwenendo, tamaa, na shaba za mtu.
Kuyma ya wafu
Hivi Mungu ali… Udongo usiyo na maisha na aliufanya kuwa hu kwa ulimwengu, ni hivyo hivyo atau … nafsi ambayo ilitufa katika dhambi na kuifanya kuwa ha kwa ukweli wa ulimwengu wa kiroho. Tendo hiyi ya kiyama kutoka kwa kifo cha kiroho imekuwa picha ya ubatizon kwa maji. Kwa kusema kwa hekima, tendo la kuzaliwa upya kwa kiroho ni « hiyo mabadiliko kuu ambao Mungu ametenda katika nafsi wakati amenpata uhai ; wakati ameuamusha kutoka kifo cha dhambi kwelekea kwenye maisha yenye haki ».
Hiyo matambko imekuwa tu hali nyingine ya fikira moja kuu na ya msingi ya Tendo la kuzaliwa upya kwa kiroho, litwayo, matoleo ya kimungu ya maisha mpya kwa maisha ya nafsi ya mtu. Na mambo matatu kwenye maarifa yenye kweli kwa maisha ya asili imetumiwa tena kwa maisha ya kiroho, imekuja kwa rafla, imeonekana yenye fumbo na imeedeleaa habi kwa hatua.
Warumi 6:4,5 ; Wakolosai 2:13; 3:1 ; Waefeso 2:5,6
Kuihitaji tendo la kuzaliwa upya kwa kiroho.
Yohana 3:7 – Usistaajabu kwa kuwa nilikuambia, hamma budi kuzaliwa mara yapili.
Katika yohana 3, Yesu amejibu kwa haja ya roho badala ya maneno ambayo Nikodema aliyasema.
Kutokuwa maisha “Hiyo mwijiza”
Nikodema alikuwa amekufa kwa kiroho. Maneno ya mwanzo ya Nikodema imeonyesha mashida kadha wa kadha ambayo iliawa imepambana moyoni mwake…Hiyo mwujiza… alipungikiwa na maisha ya kiroho ange sema “Nime choka na makazi bila maisha ya sinagogi ambayo sifa imekwisha kuondaka kwenye Israeli. Hakuna ano na watu wameangania. Nafsi yangu ina njaa ya ukweli. Nafsi yangu ni tupu! Mwijiza yako imehakikisha kwangu ya kuwa wewe ni Mungu ambae alitumwa kama mualimu”.
Waefeso 2:1—Nanyi mlikuwa wafu kwa sababu ya makosa na dhambi zenu.
Kutokuwa hakikisho “ Mwalimu”
Nikodema aliona haja, ya mwalimu badala ya Mkombozi “wewe ni mwalimu”. Imekupasa kuona ya kuwa ni mtenda dhambi. Kabla ahitaji kufundishwa, amehitaji kuokolewa.
Kutokuwa na ufahamu “Vipi”
Yohana 3:9—Yawezaje kuwa mambo haya?
Yohana 3:10—Wewe u mwalimu wa Israeli, na mambo haya huyafahamu?
Yesu alionyesha haja ya ndani na ya kawaida ya watu: madiliko ya asili (maumbile) na mwenendo mzima. Maumbile mzima ya mtu imepatikana katika dhambi. Mtu hawezi kubadilika mwenyewe; kumbe, madiliko yapsa kutoka juu.
Yesu hakujaribu kufasiria “Vipi” ya tendo la kuzaliwa mari ya pili, lakini alifasiria “Sababu gani ya mambo: Mwili na Roho yameviwa ua imoùwe,gp tofauti.
Vyombo vya tendo la Kuzaliwa upya kwa kiroho.
Tendo la kiroho. Roho Mtakatifu ni chombo tofauti katika tendo la kuzaliwa upya kwa kiroho, ambayo hivi imetenda kwa mtu ili kuzaa mabadiliko. Yohana 3:6; Tito 3:5.
Kila mtu wa utatu a kimungu amepatikana katika tendo la kuzaliwa upya kwa kiroho:
Baba amezaa (Yakobo 1:18) Kutokona na mapenzi yake alituzaa.
Mtoto ni mwenye kutolea maisha (Yohana 5,6) kula mwili na kunywa damu.
Roho ni tendo (Yohana 3:6) kuzaliwa kwa Roho (Yohana 6:53).
Tendo la kutengeneza kwa kimutu. Matengenezo ya kimutu yenye kuambatana na tendo la kuzaliwa upya kwa kiroho ni ma swali ya utii kwa amri za Mungu: utubio na imani hayanunuwe tendo la kuzaliwa upya kwa kiroho, lakini ni mapashwa chini yake Mungu ameomba kutenda.
Matokeo ya Tendo la kuzaliwa upya kwa kiroho
kuhusu uamuzi – watoto wa Mungu.
Tamko “ kufanya kuwa” (adoption) maana “kufanya kuwa watoto”. Kutokana na mafundisho, “adoption” “kufanya kuwa” na “ regeneration” “Tendo la kuzaliwa upya kwa ksroho yapasa kuwa tofauti. Kufanya kuwa “ adoption” ni tamko ya kisheria. Regeneration ni mabadiliko ya ndani ya kiroho. Ma budi mtu kuzaliwa katika jamaa ya Mungu (hii ni Tendo la kuzaliwa upya kwa kiroho), na hakufanye kuwa wa jamaa ya Mungu.
“Watoto” (tekua) maana “wenye kuzliwa” imeonyesha tendo la kuzaliwa upya kwa kiroho.Yohana 1:12-13; warumi 8:15-16; yohana 3:1
“Tendo la kufanya kuwa watoto” (huiothesia) maana” “Tendo la kuweka tama mto” wagalatia 4:5.
Mtoto (huios) imeonyesha kuwa mtu mzima (warumi 8:14,19; waebrania 2:10) tumezaliwa kama watoto wachanga katika tendo la kuzliwa upya kwa kiroho. Tendo la kufanya kuwa ni mwisho yako kazi tofauti na tendo la kuzaliwa upya kwa kiroho.
Spiriti – Ungano na Mungu wa kiroho
II Wakorinto 6:16-18; Wagalatia 4:4,6; I Yohana 3:24; 4:13; Wagalatia 2:20.
Majibu ya ndani ya kimungu katika hali mpya ya maisha
upya wa maisha – warumi 6:4
moyo mpya – Ezekieli 36:26
Roho mpya – Ezekieli 11:19
Mtu mpya – waefesa 4:24
Asili (maumbile) mpya – II petro 1:4
Maisha yenye haki kwa matendo
Mtu mwenye kuzaliwa na Mungu ataonyesha hiyo mambo kwa :
kuchukia kwake dhambi – Iyohana 3 :9 ;5 :18
matendo yake yenye haki – Iyohana 2 :29
Upendo wake wa kindugu – Iyohana 4:7
Ushindi wake kwa duma – Iyohana 5:4.
Mazidisho mawili ya mestabili kuepukika katika kuweka hatua kwa ajili ya maisha yenye haki:
ya kwanz, kui fanya hatua chini zaidi – mabadiliko ya asili
ya pili, kuifanya hatua juu zaidi – waminifu wadogo wata kua.
Linganisha I Yohana 3:9 na I Yohana 2:1
I Yohana 3:9—Kila mtu aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi, kwa sababu uzao wake wakaa ndani yake; wala hawezi kutenda dhambi kwa sababu wamezaliwa kutokuwa na Mungu.
I Yohana 2:1—Watoto wangu wadogo, nawaandikia haya ili kwamba msitende dhambi. Na kama mtu akitenda dhambi tunaye Mwombezi kwa Baba, Yesu Kristo mwenye haki.
No Comments