Skip to main content

2: Anthropology: Mafundisho kuhusu Mtu

  1. Mafundisho kuhusu Mtu
  2. Hali ya Mtu Yenye kuwa ya Mwanzo

1. Anthropology: Mafundisho kuhusu Mtu

Umbo wa tofauti “kwa mfano wake” Mwanzo 1:25

Kuumbwa kwa Mtu. Tamko “umbo wa tofauti” imeambatana na mafundisho ya kwamba viumbe vyote vyenye uhai viliumbya kutokana na ma haina Fulani na kwamba hiyo ma haina Fulani ina hali yenye mwendeleo ya ma haina ambayo ili kuako tangu awali. Kutokana na biblia, umbo wa tofauti (upekee) maana viumbe vyote vyenye uhai vitatoa uzao kwa mfano wake. Mfano mwepesi ya hiyo kamuni ni kwamba wakati umepanda punje za njimu, (mekuwa wazi kwamba mti wa njimu zita komaa kusi haina yake tu (kwa mbfano: apples, water melons, cucumber, na kadhalika) (Ndizi, hembe, mapela, muzeituni, na kadhalika).

Mfano Ufamruisho wa Mungu

Mwanzo 1:26 imesema kwamba aliumbwa kwa mfano wake Mungu. Ufananisho na mfano hii imeambatana na nini?

Kumekuwa ambatano na ujananisho wa murlikuna wengine wamedhani kwamba hiyo maandiko, kama Zaburi 17:15 zimefundisha kwamba ana hali yenye kuonekana, hivyo mtu kwenye bustani alichukua kwa mfano wake. Angalia tena katika Isaya 6:1 na Matendo 7:55,56.

Basi, afadhali ma tufanye angalisho ili kukumbuka kwamba Mungu ana uwezon ya kuivaa hali ya mtu. Undani wa hali yake ni Roho. (Yohana 4:24)

Imeambatana na ufananisho wa mwendo wa elimu. Maandiko ijayo imesungumzia “mfano” wa mungu kuhusu ufahamu na uhaki. (Wrefeso 4:23; Wakolosai 3:10; 2 Wakorinto 3:18)

Maendeleo kufika kwenye umbo za tofauti (upekee)

Kinyume za umbo za tofauti ni mafundisho za maendeleo, ambayo imefundisha halizote za maisha yenye kupata maendeleo tangu hali moja na hiyo na haina ya hali za juu zaidi, yenye kupata maendeleo kutoka kwa ma traina za chini zoudi. Ili kusudi, kwa mfano, ile iliyo kuwa gorogoro ili kwa samaki; ile iliyokuwa samaki, ilikuwa wanyama wenye kutamboa; ile iliyokuwa wanyama wenye kutamboa ilikuwa ndege, ne ile iliyokuwa apepe ili kuwa mtu.

Haini ni nini?

Haina za mapando na wanyama wenye kuwa na ufanonisho umoja na wamezorabila mwisho mahali pote bila mabadiliko lolote za haina.

Ni kwa mashindno gain tofauti ya haina ime julikana?

Ikuwa viumbe vyenye uhai vimeweza kumbatana pamoja na hivi bila mwisho uzao wenye kuwa najiusi ya kuzao; vinatawanyisha kumbe vimekuwa vya haina moja.

Maendelon zimehakikishwa ni mambo kwenye kuakikishwa katika manifa?Siyo (Hamma), ni mafundisho.

Sababu ya kuwako kwa Mungu na Mwendeleo ni Uongo

KUUMBWA KWA ULIMWENGU

Mpango bila mwenye kupanga? Vipi kulikuwako tupu na kiisha mara kumetuwako kitu? Kuwa, urembo, upana na utaratibu wa ulimwengu wetu ni akikisho yenye kutosha ya mwenye kuumba mwenye kuwa kwa kazi na siyo ubahatisho.

JUWA—10% Karibu, udingo unge sugulika ikawa juwa ilikuwa 10% Mbali ya udongo unge kuwa kama barafu. Juwa umekuwa kubwa zaidi hata kuwa 1.300.000 mara ya udongo.

MWEZI—Ikawa ilikuwa karibu, mawimbi yenye ukubwa zaidi ingetumeza.

AIR — hewa kamili za pumzi zimkuwamo katika hewa ili kusudi kamazingine ziméongeka ao kupungugwa maisha inge shindikana udongoni.

NYOTA —Ulimwengu wetu wa jua na jua yake, na ma udongo mbali mbali, imekuwa na billioni miya mojo ya nyota, na kila mmoja na ulimwengu yake ya udongo. Kumbe ulimwengu imejulika kuongezeka bila mwisho.

UDONGO— Yobo 12:8 “Sungunza na udongo, na itakufundishwa”. Udondo imezunguka katika njia nne kwa mara moja ao zaidi yake.

Mwituni

Uwa— Rangi— harufu; yote katika punje ndogo bila kamwe kuchangamana.

The RADISH— Punje nyeusi—Majani ya kijivu—jivu—ngozi nyekundu—Munyofu nyeupe.

THE WATERMELON— punje zimezaa pekeyke mara milioni moja.

THE ACORN— Mti wa Oak—Mtunga shairi alisema “Mungu tu ndiye mwenye kuumba mti”

MWILI WETU WA UTU

Mwili wa utu ni bila shaka ngumu na yenye kuleta mshangao. Imeanza na ambatano wa mbego mbili na imechukua binafsi trilioni ishirini na moja ya mbego nyingine (yote umeeda mahali kamili).

ROHO—Ina uzito wa 3lbs., na imetoa mkazo yenye kutosha ili kusudi kunyanyua merikebu mojaza vita ao kusukuma ma gari miya moja yenye shehena kuteremka kwenye barabara.

BONGO—Kombpyuta yenye ukubwa mno— shehemu kubwa yenye kazi katika bongo letu alipate matumizi.

MASIKIYO— Kipimo cha sauli— kuna masauti hewani ambayo hatusikie, na japo sikiyo ina ndomi mwake uwezo wa kusikia sauti zote.

Kwa mfano— Mbwa atajibu kwa pyororo ambayo hatuzi kusikia.

JICHO—imetoa ono Kyenye bongo ili kusudi iyabadili mapicha kusimama sawa.

DNU—Kitu kigumu kwa kuelewa. Masehemu za damu zimefumbua ubaya na kuponbansha adui.

MISHIPA NDOGO— Kuna mishipa ndogo zaidi ya bili moja (Mishipa kubwa, viugo na mwisho yao) Katika mwili wa mtu yote yenye kuongozwa na bongo moja.

UMBO LA MAIFA

Vipi maisha ilianza? Wengi wameshuudia kwamba ni tuda za maendeleo. Wenye kutelea maendeleo wametafuta kuambatanisha mtu na wanyama, walakini Yesu alikuja duniani ili kuambatanisha mtu na Mungu. (Yohana 1:12; Waefeso 2:15; II Petro 1:4; I Yohana 3:2)

Maisha haitoki kwa maumbile ya uutu yenye kuambatana na umungu, bali imetoka kua ya Umungu yenye kunigizana katika uutu.

NADHARIA YA MAENDELEO

Kun swali mengi ambayo imekosa jibu na udhani wengi kuhusu maendeleo ambayo haiwezi kuxhukuliwa kama maarifa halisi. Hiyo ma swali mbali mbali bila jibu imejulikana kama maungano yenye kutoweka. Ime kua fikira yenye kuzidi mno na mafundisho, lakini siyo mambo ambayo imeonekana kwa macho. Kueli, Maendeleo imeomba imani kubwa yenye kuwa bila macho kutokea kwa wafwashi wake ye kwamba imekuwa kuitaja kama dini. Kwenyi USA, imeduwa dini za serkali chini ya uficho ya “matengano kati ya kanisa na serkali”

Tutazame kwanza matendo ya badhi ya mbinu ya maarifa kama bile bwana Darwin alitumia! Tafakari kama umeweza kuwafahamu wazazi wako fuluni ambaye wamekuisha katoweka kama ulipewa hakikisho ndoyo kama hivyo tumeyaona katika mafundisho ifwatayo. MAUNGANO YENYE KUTOWEKA.:

Hesperopithecus— Harold Cocki— Mtu wa Nebroska— Hiyi mfano ili undwa kutokea kwa jino moja amboyo ili fumbuliwa na kuhakikisha kutokea kwenye nguruwe.
Homo neanderthalensis— Mtu wa Neanderthal— Katika nshi Germany— aliundwa kutokea kwa sehemu ya mfupa wa kichwa mfupa wa paya, na sehemu moja ya ubavu. Watu wenye elimu hawakuweze kukubali hiyo amboyo ili fumbuliwa ingawa walikuwa kwa mwili moja.
Pithecanthropus erectus— “Mtu……ape? Alikuwa ametembea myenye kusimama”. Mwenye kujulikana kama mpu wa JAVA— Hiyo mfano mzima iliundwa kutokea kwa sehemu moja ya mfupa wa kichwa, meno mbili na mfupa moja wa paya. Watu kumu wenye elimu walisema ilikuwa mufupa za …..? an ape; saba walisema ilikuwa mifupa ya mtu. Saba wengine walisema ilikuwa ungano yenye ku toweka “katika mnyororo za maendeleo!
Eoathropus dawsoni— Mtu wa altdown— Kutokea kwa sehemu kimoja cha mfupa wa kinwa, sepremu kimoja cha mfupa wa kichwa, jino moja ya mbele, meno mbili ya mwisho, na mfupa moja wa pua. Wakati ili hunzwa kar njinya laboratory ilionyesha kwamba hiyi mfupa wa kinwa haikumbatane vizuri na mfupa wa kichwa.
Homo erectus— Mtu wa Heidelberg— Tena picha mzima ya umbo ngumu ya miya ya sehemu yenye kutikisika na kuundwa kutokea kwa tabu ya kupata mfupa wa kinwa ambayo ilipatikana kwenye mchanga wanchi Germany.

2. Anthropology: Hali ya Mtu Yenye kuwa ya Mwanzo

Mtu mliumbwa mkamilifu.

Kitabu cha maandiko kimeonyesha waza kwamba akuumbwa koma mwili ndogotu ambayo ziliendelea ao mafundisho ile lolote, walakini aliumbwa kwa ukamilifu wanye kutesha hamma kosa lolote mwenye mpango la Mungu.

Mtu aliumbwa mwenye Uhuru ya uchaguzi Dhambi kwenye bustani ilikuwa mapenzi ya mtu.

Ilikuwa kweli kwa kutaka, kwani walikuwa na uhuru za uchaguzi.

Mtu aliumbwa na fikira za kutafakari mamba za dini, ambayo ilimifanya kuwa na ufahamu wake wa wajibu ya kiroho mbele ya Mungu, na Kufanya ushirika na Mungu.

Mtu wa mwanzo aliumbwa bila dhambi (mwanzo 1:31) na bila hatia za ubaya (mwanzo 2:17; 3-5-7).

Mwanzo 1:31:· Very-mead (Kiebrania) Kuzidi Mwenye, very || Good-towb (Kiebrania) Mwema, mwenye uzuri, mrembo.

Mtu wa mwanzo alipewa elimu kubwa. Mwanzo 2:14,20; Waebrania 2:6-9.

Mtu aliumbwa na elimu yenye kutosha ili kuleta jina kwa biumbe vyote vyenye uhai na kuvitawala. Mafundisho mpya ya maendeleo, ambayo imejaribu kufasiria maendeleo ya mtu tangu hali ya chini ya utu ni tunda mbovu za fikira isiyo na msimamo.

Mwanzo 3:7 harifundishe kwamba Adamu na Eva waliumbwa bila elimu lolote. Jambo kuhusu hali ya uchi na kutokuyajua imeonekana kufundisha ukosefu wa elimu Jibu kwa muthili hiyi ni kwamba waliumbwa katika kutokuwa na hatia, bali siyo katika kutokujua. Nikigumu kwetu kwelewa ulimwengu bila hatia na bila ubaya. Walakini ndiyo hiyo hahi kamili ya bustani ya Edeni ambapa Adamu na Eva walikuepo . Hakuwe fikira mbaya wala chanzo yake, hakuwe njia ya fikira mbovu wala mambo kama haya. Hadi kwanguka hakukuepo hadi miza dhambi. Walikuwa na utukufu na uzuru wa utakaso wa Mungu yenye hali ya? Pristine — yenye kupepukana na uchafu wa dhambi.