Skip to main content

DAZENI YA KILA SIKU YA KIONGOZI (SWA)

[ENGLISH =>]

  1. WEKA THAMANI YA KIWANGO CHA JUU KWA WATU

Viongozi wengi husisitiza juu ya vitu viwili: maono na sehemu ya ndani. Maono kwa kawaida ndio kile kinachotuchochea mara nyingi, na kuujali msitari wa ndani hutuweka katika jitihada dhidi ya vikwazo. Lakini katikati ya maono na msitari wa ndani ndio watu wote walioko katika kusanyiko lako wako pale.

Hatuwezi kuwa na kanisa bila watu wengine.

Toa heshima na shukurani kwa wasaidizi wako.

  1. FANYA MASHAURI KUENDELEZA WATU

Watu wengi hawafanyi chochote kwasababu hawajui cha kufanya.

Wape habari kwamba wanatakuwa kufanya kazi.

  1. WEKA DHAMANI YA JUU KWA UONGOZI

  2. TAFUTA VIONGOZI WENYE KUJALI WAJIBU

Sio kila mtu ni kiongozi.Tafuta miongoni mwa watu wa kusanyiko lako wenye sifa za uongozi.

  1. WAJUE NA UWAHESHIMU WATU WAKO.

Mfumo wa mahusiano mema na watenda kazi wako.

Fanya vitu pamoja nao inje ya kazi. Waalike kwenye chakula nyumbani mwako.

  1. ANDAA WATU WAKO KUWA NA UZOEFU WA UONGOZI

Moja ya sehemu ambazo viongozi wengi hukosa furusa za maendeleo ambayo huja katika kile tunacho wakilisha. Mwelekeo wetu wa asili ni kuwapa wengine kazi za kufanya zaidi kuliko shughuli za uongozi za kutimiza. Tunahitaji kufanya zamu. Kama hatuta wakilisha uongozi— pamoja na mamlaka kama ilivyo manufaa ya kufikiria-watu wetu hawatapata uozefu, Wanahitaji kuongoza vizuri.

Kama una watoto,kutakuwa na siku utawaacha waondoke nyumbani na kuanzisha makwao.Huwezi kila siku kuwaambia kitu cha kufanya.Ni kile kile sawa na uongozi.Kama unampa mtu jukumu,lazima utamwacha afanye maamzi.Baadhi ya maamzi yao hayatakuwa sawa na yale ambayo wewe ungefanya,bali unahitaji kuwaacha wafanya makosa yao wenyewe.

  1. ZAWADI YA UONGOZI WENYE ARI

Watu wengi hawajaribu kufanya mambo mapya kwa sababu wanaogopa kwamba watakuja kusahihishwa.

Kama mtu fulani anajaribu kufanya kitu kipya mtie moyo na kumshukuru kwa ajili ya kuwa na maono.

  1. ANDAA MAZINGIRA SALAMA MAHALI AMBAPO WATU WATAULIZA MASWALI,SHIRIKISHA MAWAZO, ONDOA MASHAKA

Unapaswa kuwa na mawasiliano mema na watenda kazi wako.

Usifanye watu kujisikia wapumbavu wanapouuliza maswali.

Uwe na hiari ya kusikiliza mawazo yao.

  1. TEKELEZA MAMBO PAMOJA NA WATU WAKO

  2. VUTA WATU KUJA KWENYE MAJUKUMU MENGI YA JUU KWENYE MDUARA WAKO WA NDANI

Miongoni mwa wanafunzi 12,Yesu alimchagua Petro,Yakobo,na Yohana kuwa viongozi maalumu.

Tunahitaji kupata watu wenye uwezo na kuwa weka mahali pa kuongoza.

Wanahitaji kuwa watu unaoweza kuwatumainia.Utawaambia hawa watu mambo mengi kuliko wengine ambao unaweza kuwaambia.

  1. JIKABIDHI MWEYEWE KATIKA KUENDELEZA TIMU YA UONGOZI

  2. FUNGULIA MNYORORO WA VIONGOZI WAKO KUONGOZA