Skip to main content

SQ: Utangulizi wa Biblia Maswali ya kujifunza 1

Bible Introduction Study Questions 1Utangulizi wa Biblia Maswali ya kujifunza 1

The Bible is _______ ______________ _____________ of His will to men.Biblia ni _______ ______________ _____________ wa mapenzi yake kwa wanadamu.

The Bible is God’s written revelation of His will to men.Biblia ni ufunuo wa Mungu ulioandikwa wa mapenzi yake kwa wanadamu ’.

The Bible’s central theme is ___________ __________ _________ __________.Dhamira ya katikati ya Biblia ni ___________ __________ _________ __________.

The Bible’s central theme is salvation through Jesus Christ.Dhamira ya katikati’ya Biblia ni Wokovu kwa njia ya Kristo Yesu.

The Old Testament was written in which language?Agano la kale liliandikwa kwa lugha gani?

  1. GreekKigiriki
  2. EnglishKiingereza
  3. LatinKilatini
  4. HebrewKiebrania

HebrewKiebrania

The Bible has ________ books: ________ in the Old Testament and ________ in the New Testament.Biblia inayo ________ vitabu: ________katika Agano kale na ________ katika Agano jipya.

The Bible has 66 books: 39 in the Old Testament and 27 in the New Testament.Biblia inayo vya vitabu 66: 39 katika Agano la kale na 27 katika Agano jipya.

What does the Greek word Biblios mean?Neno la Kigiriki Biblios humaanisha nini?

  1. Testament Agano
  2. BooksVitabu
  3. ScrollGombo
  4. ScriptureMaandiko matakatifu

BooksVitabu

Answer true or false. Proverbs is a book of Old Testament history.Jibu kweli au sio kweli. Mithali ni kitabu cha historia ya Agano la kale.

FALSESio kweli

The Bible was written that men might ______________, ______________, ______________, ______________, and ______________ Christ.Biblia iliandikwa ili watu wa weze ______________, ______________, ______________, ______________, na ______________ Kristo.

The Bible was written that men might believe, understand, know, love, and follow Christ.Biblia iliandikwa ili watu wa weze kuamini,na kufahamu na kujua na kupenda , na kumfuata Kristo.

Answer true or false. Ur of the Chaldees was the place where God called Abram.Jibu kweli au sio kweli. Uru ya Ukalidayo ndio mahali Mungu alimuita Ibrahim.

TRUEKWELI

Answer true or false. Moses received the Law on Mt. Ararat.Jibu kweli au sio kweli. Musa alipokea sheria kwenye mlima Ararati.

FALSESIO KWELI

What city is known as “the city of God” and “the holy city”?Ni mji gani unaojulikana kama “mji wa Mungu” na “mji mtakatifu”?

  1. BethlehemBethlehem
  2. BabylonBabeli
  3. JerusalemYerusalem
  4. SamariaSamaria

JerusalemYerusalem

Who was Adam’s third son?Mwana wa tatu wa Adamu alikuwa nani?

  1. CainKaini
  2. AbelAbel
  3. CalebKalebu
  4. SethSeth

SethSeth

Answer true or false. Philip was raised up to be the Apostle to the Gentiles.Jibu kweli au sio kweli. Filipo aliinuliwa kuwa mtume wa mataifa.

FALSESIO KWELI

What is the account of Israel possessing the Promised Land called?Ni nini hesabu ya mwisho ya Waisrael walio itwa kuimiliki Inchi ya ahadi?

  1. The conquest of CanaanUshindi wa Kanaani
  2. The Babylonian captivityUtumwani Babeli
  3. The ExodusKutoka
  4. The wilderness wanderingsKutanga tanga jangwani

The conquest of CanaanUshindi wa Kanaani

_______________ was the weeping prophet who lamented over the sins of his people._______________ alikuwa nabii aliaye alieomboleza juu ya dhambi za watu.

Jeremiah was the weeping prophet who lamented over the sins of his people.Yeremi alikuwa nabii aliaye na alieomboleza juu ya dhambi za watu.

Answer true or false. Mark wrote primarily for the Romans.Jibu kweli au sio kweli.Marko aliandika kimsingi kwa Warumi.

TRUEKWELI

Bible Introduction study questions 2Utangulizi wa Biblia maswali ya kujifunza sehemu ya 2

______________ is the one main theme of the Bible.______________ ni dhamira moja kuu ya Biblia.

Redemption is the one main theme of the Bible.Ukombozi ni dhamira moja kuu ya Biblia.Redemption.

Answer true or false. True historical record and archeological record are in complete agreement with the Bible.Jibu kweli au sio kweli. Habari za kweli za kihistoria na habari za akiolojia ni mapatano kamili pamoja na Biblia.

TRUEKWELI

What is the purpose of the Bible? Kusudi la Biblia nini?

  1. To reveal God's will to manKufunua mapenzi ya Mungu kwa mtu
  2. To condemn mankumhukumu mtu
  3. To teach scienceKufundisha sayansi
  4. To reveal historyKufundisha historia

To reveal God's will to manKufunua mapenzi ya Mungu kwa mtu

Each Testament is composed of three main divisions: _____________, ________________, and _________________.Kila agano limeundwa kwa sehemu tatu kuu: _____________, ________________, na _________________.

Each Testament is composed of three main divisions: history, instruction, and prophecy.Kila agano limeundwa kwa sehemu tatu kuu: .

What does the word inspiration mean?Neno uvuvio linamaanisha nini?

  1. RedemptionUkombozi
  2. Jesus savesYesu anaokoa
  3. God breathedMungu alipulizia
  4. AuthorityMamlaka

God breathedMungu alipulizia

2 Peter 1:21—For the prophecy came not in old time by the ________ ______ ________: but holy men of God spake as they were moved by the ________ _______.2 Petro 1:21—Maana unabii haukuletwa po pote kwa _________ _________ _________ bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu

2 Peter 1:21—For the prophecy came not in old time by the will of man: but holy men of God spake as they were moved by the Holy Ghost.2 Peter 1:21—Maana unabii haukuletwa po pote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu

Answer true or false. Only parts of the Bible are inspired by God.Jibu kweli au sio kweli. Sehemu tu za Biblia zilizo vuviwa na Mungu.

FALSESIO KWELI

Approximately how many men wrote the Bible?Takribani watu wangapi walio iandika Biblia?

  1. 55
  2. 4040
  3. 100100
  4. 1515

4040

Answer true or false. We know the Bible is inspired because it produces spiritual growth.Jibu kweli au sio kweli.Tunajua Biblia imevuviwa kwa sababu huzalisha ukuaji wa kiroho.

TRUEKWELI

Answer true or false. Counsel and direction for every situation of life can be found in the Word of God.Jibu kweli au sio kweli. Mashauri na mwelekeo kwa ajili ya kila hali ya maisha unapatikana katika neno la Mungu.

TRUEKWELI

Bible Introduction study questions 3Utangulizi wa Biblia maswali ya kujifunza sehemu ya 3

What is canonization?Kanuni ni nini?

  1. The fundamental truths of the Bible arranged in systematic formUkweli wa Biblia uliopangwa kwa muundo wa utaratibu
  2. The art or science of religious discourse or preachingNi sanaa au sayansi ya mazungumzo ya kidini au mahubiri
  3. The process of placing writings in the biblical canonNi mchakato wakuweka maandishi katika kanuni za kiBiblia
  4. The written revelation of God's will to menNi ufunuo wa mapenzi ya Mungu kwa watu

The process of placing writings in the biblical canonNi mchakato wa kuweka maandishi katika kanuni za kiBiblia

Answer true or false. Man decided by himself which books would be included in the Bible.Jibu kweli au siokweli. Mtu aliamua mwenyewe kwamba ni vitabu gani ambavyo vitahusika katika Biblia.

FALSESIOKWELI

Who were the Masorites?Nani waliokuwa wamasoreti?

  1. Roman political leadersViongozi wa kisiasa wa kirumi
  2. Greek philosophersWanafilosofia wa kigirki
  3. Babylonian scientistsWanasayansi wa Babeli
  4. Jewish scribesWaandishi wa kiyahudi

Jewish scribesWaandishi wa kiyahudi

To whom did Moses give the Law to keep safe?Musa aliwapa akina nani kuilinda sheria?

  1. The carpentersMaseremala
  2. The priestsmakuhani
  3. The kingsWafalme
  4. The shepherdsWachungaji

The priestsMakuhani

Answer true or false. Augustine said that the Greeks were the librarians of the Christian church.Jibu kweli au siokweli. Augustine alisema Wagiriki walikuwa waangalizi wa makitaba ya kanisa la kikristo.

FALSESIO KWELI

The division of Scripture into chapters was first done by ___________ _____________ of Saint Cher in ___________ AD. Mgawanyiko katika sura ulifanywa kwa mara ya kwanza na _____________ __________ wa Mtakatifu Cher mwaka _________ BK

The division of Scripture into chapters was first done by Cardinal Hugh of Saint Cher in 1244 AD. Mgawanyiko katika sura ulifanywa kwa mara ya kwanza na Kadinali Hugh wa Mtakatifu Cher mwaka 1244 BK.

What were the first New Testament books to be assembled together?Ni vitabu gani vya Agano jipya vilithibitishwa kwa mara ya kwanza?

  1. The General EpistlesNyaraka mbalimbali
  2. The GospelsInjili
  3. The Epistles of PaulNyaraka za Paulo
  4. The ApocryphaApokrifa

The Epistles of PaulNyaraka za Paulo

Which book brought together the Gospels and the Epistles of Paul?Ni kitabu gani kinacho leta injli na nyaraka za Paulo pamoja?

  1. HebrewsWaebrania
  2. RevelationUfunuo
  3. ActsMatendo
  4. JudeYuda

ActsMatendo

Answer true or false. A book not written by an apostle that had apostolic approval was considered to be of divine origin.Jibu kweli au sio kweli. Kitabu kisicho andikwa na mtume yeyote kilichokuwa na idhini ya kitume kilikiriwa kuwa asili ya uungu.

TRUEKWELI

Answer true or false. The Apocrypha is a part of the canon of the Bible.Jibu kweli au siokweli. Apokrifa ni sehemu ya kanuni Biblia.

FALSESIOKWELI