Skip to main content

KUFAULU MAFUNZO HAYA

KUFAULU MAFUNZO  HAYA

Vigezo vya mafunzo kwa ujumla:

  • Kuhudhuria kila somo.
  • Kufanya kazi za kuandika na nadharia.
  • Kujifunza kwa kukariri: Maandiko.
  • Orodha ya majina ya vitabu vya Biblia kama vilivyopangwa.
  • Kutimiza kazi kwa wakati  uliopangwa ikiwa ni pamoja na maswali ya kujifunza na mambo mengine ya kufanyia nyumbani kwa maagizo ya Mwalimu.

Jinsi daraja litakavyopimwa:

Asilimia kwa daraja la mwaka

  • MAHUDHURIO 30 %
  • KAZI ZA KUFANYIA NYUMBANI 20 %
  • MASWALI YA KUJIFUNZA 15 %
  • CHEMSHA BONGO 25 %
  • MTIHANI WA MWISHO 10 %
  • Daraja la kufaulu 80%+
  • Daraja la mwisho wa mwaka la 80% au juu zaidi litahitajika ili kufaulu mafunzo haya.

Kazi zitakazo kabidhiwa kwa kuchelewa zitaadhibiwa angalau kwa alama tano.