Advanced Search
Search Results
1349 total results found
Kanisa la Zama za Enzi za Kati
Nne: Kanisa la Zama za Enzi za Kati (476—1473 BK) Toka anguko la Roma hadi anguko la Konstatinopo. Kanisa la Zama za Enzi za Kati lilifunikwa na giza Isaya 9:19—Kwa sababu ya hasira ya BWANA nchi hii inateketea. Kipindi cha karne ya 5 mpaka ya 15 huitwa kipi...
Kanisa la Kifalme
Tatu: Kanisa la Kifalme (313–476 BK) Tangu kutolewa Hati ya Konstantino mpaka angukola Roma. Konstantino Msalaba wa Konstantino Alipigana vita na Maksentiusi kugombea ufalme katika mapigano ya Daraja la Milviani na mwaka 312 BK. Jeshi lake lilizidiwa nguvu na ...
Kanisa la Mateso
Mbili: Kanisa la Mateso (100—313 BK) Kuanzia kukamilishwa Agano Jipya hadi kutolewa Hati ya Konstantino. Hii inazindua kipindi ambacho kanisa liligandamizwa chini ya utawala wa kipagani wa Roma. Kinyume na mategemeo hayakutokeza marashi matamu kwa Mungu kwa ku...
Kanisa la Mitume
Moja: Kanisa la Mitume (30–100 BK) Kutoka siku ya Penstekoste hadi kukamilishwa Agano Jipya Maelezo ya kanisa la kwanza Nguvu za kanisa Walipokea nguvu siku Roho Mtakatifu alipowashukia (Mdo. 1:8) Makazi asilia ya Kanisa Kanisa lilianzia katika mji wa Yerusale...
Ukurasa wa Jalada
Mwaka la Kwanza Vitabu vya Kiada Historia Ya Kanisa
Utangulizi kwa Historia ya Kanisa
Somo hili litamwezesha mwana funzi kuifahamu vizuri historia ya kanisa. Zipo tarehe zitakazotolewa kuhusu matukio ya Historia ya Kanisa. Hutalazimika kukariri matukio wala tarehe nyingi. Lengo la somo hili ni kumpatia mwanafunzi uelewa wa matukio yaliyojiri ka...
Ufafanuzi wa Historia ya Kanisa
Ufafanuzi wa Historia ya Kanisa Kanisa Neno la Kigiriki la kanisa ni ekklesia lenye maana "wale walioitwa pamoja au wale walioitwa mbele." Darasa hili litasoma kuhusu kanisa la Yesu Kristo. Neno kanisa kama linavyotumika siku hizi humaanisha majengo ambamo wat...
Kwanini tujifunze Historia ya kanisa?
Kwanini tujifunze Historia ya kanisa? Historia ya Kanisa inatusaidia kuelewa kile tunachoamini Ukiingia kanisa la Kiprotestanti popote ulimwenguni, utasalimiwa na huduma inayofanana na nyingine yeyote uliyowahi kuhudhuria. Kutakuwa na tofauti za mtindo, lakini...
Utunzaji wa Kimungu
Divine providence. How does God interact with humans? Does He manipulate the course of history? Do men have a choice in what they do? If God controls everything, why is there evil in the world? God hardened Pharoah's heart. He removes kings and sets up kings ...
Vipindi saba vya historia ya kanisa
Vipindi saba vya historia ya kanisa KANISA LA KITUME MWANZO: Tangu siku ya Pentekoste (30 BK) MWISHO: Hadi kukamilishwa kwa Agano Jipya kwenye (100 BK) KANISA LA MATESO MWANZO: Kuanzia kukamilishwa Agano Jipya kwenye (100 BK) MWISHO: Hadi kutolewakwa Hati ya K...
archived textbook
Mwaka la Kwanza Vitabu vya Kiada Historia Ya Kanisa Utangulizi kwa Historia ya Kanisa Somo hili litamwezesha mwana funzi kuifahamu vizuri historia ya kanisa. Zipo tarehe zitakazotolewa kuhusu matukio ya Historia ya Kanisa. Hutalazimika kukariri matukio wal...
Ziada
1st_year_church_history.csv Kiswahili 1st_Year_ChurchHistory_Workbook.docx Test.docx Sardis qs.pages kiswahili.zip
Mtihani
.cs2E86D3A6{text-align:center;text-indent:0pt;margin:0pt 0pt 0pt 0pt} .csE1B23F0B{color:#000000;background-color:transparent;font-family:Times New Roman;font-size:24pt;font-weight:bold;font-style:normal;} .cs216DDB64{color:#333333;backgro...
Maswali ya kujifunza Historia ya Kanisa
Maswali ya kujifunza Historia ya Kanisa 1 Zungushia duara jibu sahihi. Neno la Kigiriki Ekklesia lina maanisha nini? Watu wa Mungu Wale walioitwa pamoja Wale waliooshwa kwa damu Wakristo Kanisa la kwanza lilikuwa katika mji gani? Samaria Efeso Yerusalemu...
Church History Study Questions - Singida
Church History Study Questions 1 Circle the correct answer. What does the Greek word Ekklesia mean? The people of God Those called out Those who are washed in the blood Christian In what city was the church originally located? Samaria Ephesus Jerusalem ...
DIBAJI
DIBAJI Kitabu cha “Uhuru wa Kikristo” kilitungwa na Dk. Martin Luther kule witternberg mwaka 1520. Karasa 5 Hakuna haja kutubu na kuacha dhambi kwa sababu dhambi zote zimelipwa kwa fedha! Kwasababu ya michafuko hii Marthin Luther alichukua hatua zake kama mchu...
HISTORIA YA KANISA LA TANZANIA KUANZIA KIPINDI CHA UKOLONI MPAKA UHURU
HISTORIA YA KANISA LA TANZANIA KUANZIA KIPINDI CHA UKOLONI MPAKA UHURU UTANGULIZI David Livingstone-Msafiri wa Mungu. Katikati ya karne ya 19 wavumbuzi wengi waliofika kutoka sehemu mbalimbali huko Ulaya katika bara la Afrika. Rebman alikuwa Mzungu wa kwanza k...
List of New Testament Apocrypha
Infancy gospels Infancy Gospel of James Infancy Gospel of Thomas Syriac Infancy Gospel History of Joseph the Carpenter Life of John the Baptist Jewish Christian gospels Gospel of the Ebionites Gospel of the Hebrews Gospel of the Nazarenes Non-canonical gos...
List of New Testament Apocrypha
Infancy gospels Infancy Gospel of James Infancy Gospel of Thomas Syriac Infancy Gospel History of Joseph the Carpenter Life of John the Baptist Jewish Christian gospels Gospel of the Ebionites Gospel of the Hebrews Gospel of the Nazarenes Non-canonical gos...
Overview of Old Testament History
1