DIBAJI
DIBAJI
Kitabu cha “Uhuru wa Kikristo” kilitungwa na Dk. Martin Luther kule witternberg mwaka 1520.
Karasa 5
Hakuna haja kutubu na kuacha dhambi kwa sababu dhambi zote zimelipwa kwa fedha! Kwasababu ya michafuko hii Marthin Luther alichukua hatua zake kama mchungaji wa usharika.
Karasa 6
Marthin Luther alichoma tangazo la Papa Leo X pamoja na kanuni mwaka 1520.
Karasa 10
Wakristo walipopata uhuru wa Neno la Mungu kuhusu utawala wa Papa, waliliacha tena kwa ajili ya ndoto, maono na fikira za kibinadamu.
Karasa 11
Tunao uhuru wa Kikristo tunapokuwa na Neno la Mungu kwa imani, kwa sababu hii tunaye Kristo mwenyewe.
Karasa 12
RATIBA YA MATENGENEZO YA KANISA
Mwaka 1517 Luther alipigilia tarehe 30 mwezi wa Octoba hoja zake 95 kuhusu vyeti vya
- Ndoa
- Uraia
- Upatanisho
- Biashara
Karasa 13
Papa Leo X alifariki dunia mwaka 1521
Karasa 14
Marthin Luther alifariki dunia Februari
- 1564
- 1531
- 1526
- 1546
Karasa 15
Hoja 95 za Marthin Luther zilipigiliwa kwenye mlango wa Kanisa la Ngome ya Witternberg.
Karasa 16
SEHEMU YA KWANZA
Ni dhahiri kuwa hakuna jambo lolote lile la nje linaloweza kumfanya mtu kuwa huru na kumcha Mungu, kwa kuwa uchaji na uhuru.
Karasa 20
Hakuna faida yeyote ya kukaa katika makanisani na mahali patakatifu.
Karasa 21
Kisto hakutumwa ulimwenguni kwa ajili ya huduma nyingine ile isipokuwa ile ya kulihubiri Neno la Mungu.
Karasa 23
Yohana 1:12 "Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake.
Karasa 28
Lazima Kristo ahubiriwe kusudi imani yetu, yaani imani yako na yangu, ikue na idumu kabisa.
Karasa 38
SEHEMU YA PILI
Katika nukuu maneno yaliyoandikwa kwa hati ya ulalo yanayoianza na, "Matendo mazuri hayafanyi mtu mzuri, bali mtu mzuri hufanya matendo maovu."
Karasa 44
Picha ya kanisa la Mtakatifu Petro, la Roma lipo ukurasa wa ngapi?
Karasa 59
Barua ya Martin Luther kwa Papa Leo wa Kumi
Luther alisema kwamba Leo alikuwa "Daniel huko Babeli."
(Karasa 61)
Luther alimwita nani "adui maalumu wa Kristo na ukweli"?
Yohana Eck (karasa 68)
Nani aliandika kitabu kuhusu Papa Eugenio?
Mt. Bernardo (karasa 77)
Siku gani Luther aliandika barua hii kwa papa?
Septemba 6, 1520 (karasa 79)
No Comments