Skip to main content

Maswali ya kujifunza Historia ya Kanisa

Maswali ya kujifunza Historia ya Kanisa 1

Zungushia duara jibu sahihi.

Neno la Kigiriki Ekklesia lina maanisha nini?

  1. Watu wa Mungu
  2. Wale walioitwa pamoja
  3. Wale waliooshwa kwa damu
  4. Wakristo

Kanisa la kwanza lilikuwa katika mji gani?

  1. Samaria
  2. Efeso
  3. Yerusalemu
  4. Yeriko

Nani aliyekuwa mchungaji wa Kanisa la Yerusalem?

  1. Yakobo, kaka yake Yohana
  2. Yohana, kaka yake Yakobo
  3. Yakobo, kaka yake Yesu
  4. Petro, Kaka yake Andrea

Yerusalem ilianguka lini?

  1. 67 BK
  2. 100 BK
  3. 70 BK
  4. 66 BK

Andika maana ya maneno mapya au yaliyokosekana.

I Wakorinto 12:13—"Kwa maana katika Roho mmoja wote tulibatizwa katika mwili mmoja…"

Paulo alifanya safari nyingi za kueneza injili na alianzisha makanisa huko Filipi, Thesalonike, Berea, Athene, na Korinto.

Huyu mtume Yohana alikuwa ndiye kijana mdogo kuliko mitume wengine wote.

Jibu kweli au sio kweli.

Kanisa lilianza Siku ya Upatanisho.

Sio kweli

Historia ya neno ina maana "lile tawi la elimu linalohusu matukio fulani katika hii dunia yetu. Somo au uchunguzi wa mambo ya wakati uliokwishapita."

Kweli

Kuna vipindi nane vya historia ya Kanisa.

Sio kweli

Wanachama wa mwanzo katika Kanisa walikuwa wote ni Wamataifa.

Sio kweli

Sadaka za kuteketeza wanyama zilikoma hekalu lilipobomolewa.

Kweli

Maswali ya kujifunza Historia ya Kanisa 2

Zungushia duara swali sahihi.

Ni tukio gani la mwisho kwenye kipindi cha Kanisa la mateso?

  1. Ukamilifu wa Agano jipya
  2. Siku ya Pentecoste
  3. Hati ya Kostantino
  4. Anguko la Rumi

Nani alikuwa kiongozi wa Kanisa la mateso?

  1. Paulo
  2. Diocletiani
  3. Inyasi
  4. Yohn

Nani alimfundisha Polycarp?

  1. Petro
  2. Inyasi
  3. Yohana
  4. Yesu

Kitu gani Wagnostics kwamba chaweza kutuokoa?

  1. Damu ya Yesu
  2. Ubatizo
  3. Maarifa ya siri
  4. Mateso

Andika maana ya maneno mapya au yasiozoeleka.

Simeoni alikuwa kiongozi wa kanisa la Yerusalemu baada ya Yakobo

Polikarpi alikuwa asikofu wa Smirna katika Asia ndogo.

Shahidi Yustini alikuwa mwanafalsafa aliyekuwa Mkristo baada ya kukutana na mtu mzee ambaye alielezea jinsi Yesu alivyotimiza unabii wa Agano la Kale.

Blandina alikuwa msichana Mkristo aliyekuwa mtumwa ambaye aliteswa tangu asubuhi hadi usiku kisha akatamka, "mimi ni Mkristo na kat iyetu hakuna uovu unaotendwa."

Inyasi alikuwa asikofu wa Antiokia huko Syria.

Jibu kweli au sio kweli.

Ukristo zilikuwepo kutokana na uwepo miungu wapya wakati ambapo Ibada za kipagani ulitambua kuabudiwa kwa Mungu mmoja tu wa kweli tu.

Sio kweli

Kanisa lilipitia katika vipindi kumi na mbili vya mateso makali chini ya utawala wa Ufalme wa Kirumi.

Sio kweli

Neno kanuni lina maana "ya fimbo, sheria, au kifaa cha kupimia."

Kweli

Kanisa halikutakaswa kutokana na mateso.

Sio kweli

Maswali ya kujifunza Historia ya Kanisa 3: Kanisa la Kifalme

Ni ishara gani ambayo Constantine kwa kudhani aliiona angani?

  1. Msalaba
  2. Njiwa
  3. Upanga
  4. Upinde wa mvua

Ni nini iliofanya kizuizi cha asili kati ya mashariki na magharibi ya utawala wa Roma?

  1. Bahari ya Mediterania
  2. Bahari Nyeusi
  3. Bahari Nyekundu
  4. Bahari ya Adriati

Kweli au Sio kweli? Yohana Krisostomu anajulikana kama "mdomo wa dhahabu" kwa sababu aliweza kuongea kwa ufasaha wa ajabu.

Kweli

Elezea uhusiano wa ukristo na upagani tangu kipindi hiki?

  1. Kanisa liliingiliwa na Upagani
  2. Kanisa lilipingana na upagani
  3. Upagani ulikuwa umekomeshwa tangu kipindi hiki
  4. Upagani una ulinganifu na maandiko

Maswali ya kujifunza Historia ya Kanisa 4: Kanisa la zama za kati

Kwa nini kipindi hiki kinaitwa zama za giza?

  1. Hapakuwepo na demokrasia
  2. Hapakuwepo na elimu
  3. Hapakuwepo na uhuru
  4. Hapakuwepo na Biblia za lugha ya kawida

Jaza nafasi ilioachwa. Isaya 9:19 Kwa sababu ya hasira ya Bwana wa majeshi inchi inateketea kabisa.

Jaza nafasi ilioachwa. Mahakama maalumu iliundwa mwaka 1200 kushughulikia waasi.

Jaza nafasi ilioachwa. Vita hivi vilikuwa ni jaribio la kanisa Katoliki kuchukua nchi takatifu kutoka kwa Waislam.

Jaza nafasi ilioachwa. Yohane Wykliffe anakumbukwa kama nyota ya asubuhi wa mageuzi.

KWELI au SIO KWELI. Kwa imani tunapokea upatanisho wa kazi ya Kristo kwa sababu kwa kujitolea kufa ilitosha.

KWELI

KWELI au SIOKWELI. Waalbigenes waliwekwa katika Albi, Ujerumani.

Siokweli. Waalbigenes waliwekwa Ufaransa.

KWELI au SIOKWELI. Kila mtu katika kipindi hiki aliabudu na kuamini kama Kanisa la Romani Katholiki lilivyo fanya.

Siokweli. Kulikuwa na mabaki waliosimamaia maandiko kama mamlaka ya mwisho na sio neno la papa.

KWELI au SIOKWELI. Waaldensi waliteswa sana na uongozi wa Kanisa Katoliki.

Kweli

KWELI au SIOKWELI. Yohana Huss alikuwa amehukumiwa kama muasi na alitundikwa kutoka viunzi vya miti ya kunyongea watu na baraza la Kanisa la Romani Katholiki.

SIOKWELI. Alichomwa katika nguzo ya kuchomea watu.

Maswali ya kujifunza Historia ya Kanisa 5: Kanisa la Matengenezo

Ni nini kwa wazi ili ileta Ulaya inje ya zama za Giza?

  1. Habari za kuaminika
  2. Elimu bora
  3. Biblia za lugha za wenyeji
  4. Wanasiasa wazuri

Nani aliebuni mashine ya kuandikia katika 1456?

  1. Johann Gutenberg
  2. Leonardo da Vinci
  3. Johann Fust
  4. Martin Luther

Ni kitabu gani cha kwanza kuchapwa kwa ile mashine?

  1. Mkulima's Almanac
  2. Biblia ya kilatini
  3. Mkate wetu wa kila siku
  4. 95 Maelezo ya hoja ya Luther

Ni jina gani walilopewa wale walio kanusha mamlaka ya Papa ya watu wote ulimwenguni?

  1. Orthodox
  2. Wayesuit
  3. Waprotestant
  4. Wapentecoste

Jaza nafasi ilio achwa wazi. Martin Luther anachukuliwa kuwa ndiye Baba wa mageuzo.

Jaza nafasi ilio achwa wazi. Martin Luther aliweka tangazo lenye Hoja 95 katika lango kuu la kanisa la Askofu wa Wittenberg tarehe 31 Oktoba 1517.

Jaza sehemu zilizo achwa wazi. Waprotestanti wa Ufaransa waliitwa Wahuguenote.

Jaza nafasi ilio achwa wazi. Tahehe 24 ya Agosti 1572 Waprotestanti elfu ishirini waliuawa kwa siku moja siku ambayo inakumbukwa kama siku ya mauaji ya Mtakatifu Bartholomeo.

Jaza nafasi ilio achwa wazi. Watawanyishi walikuwa ni wale waliotaka kujitenga na kanisa la Anglikana.

Jaza nafasi ilio achwa wazi. Watakasaji walikuwa ni wale waliotaka kanisa la Anglikana litakaswe.

KWELI au SIO KWELI. Yohane Knoksi aliongoza matengenezo katika Uskochi.

Kweli

KWELI au SIO KWELI. Wapilgrim's walikuja katika dunia mpya (Amerika) ku laghai pamoja na wahindi.

Sio kweli. Walikuja kwa uhuru wa kidini kutoka mipango ya kanisa la Uingereza.

KWELI au SIO KWELI. Mapatano ya Mayflower yaliwekewa msingi juu ya kanuni kisayansi.

Sio kweli. Mapatano ya Mayflower ya liwekewa msingi juu ya kanuni za kiBiblia. (mapatano ya Mayflower ya likuwa katiba ya kwanza ya serikali ya dunia ya kwanza.)

KWELI au SIO KWELI. Waislamu waliongoza idadi ya matengenezo dhidi ya Waporostant.

Sio kweli. WaYesuit waliongoza idadi ya matengenezo dhidi ya Waporotestant.

Maswali ya kujifunza Historia ya Kanisa 6: Kanisa la kisasa

Ni maneno yapi katika kundi la maneno yafuatayo ambayo ni maelezo bora kwa kipindi cha kanisa la kisasa?

  1. Umasikini, ibada
  2. Sanamu, uchoyo
  3. Wamishionari, uamsho
  4. Viwanda, pesa

Katika inchi gani mbili mwuamko kuu ulitokea mapema mnamo miaka ya 1700?

  1. Ufaransa na Uingereza
  2. Uingereza na Amerika
  3. Sweden na Amerika
  4. Ujerumani na Amerika

Ni akina nani ambao walikuwa viongozi wa mwuamko mkuu wa pili?

  1. Finney, Moody, na Spurgeon
  2. Knoxsi, Zwingli, na Smith
  3. Calvin, Erasmu, na Luther
  4. Wesley, Whitefield, na Moody

Kuelekea kwenye kipindi cha kanisa la kisasa ni mfumo gani wa imani kwa majivuno ulizuia uinjilisti kwa mataifa ya kipagani?

  1. Ibanda ya jumapili
  2. Ibada ya watoto wachanga
  3. Ekaristi ya Wakatoliki
  4. Nadharia ya Kalivini

Jaza nafasi ilio achwa wazi. William Carey ni baba wa Umisionari wa kisasa.

Jaza nafasi ilioachwa wazi. David Livingstone alikuwa ameitwa mtafuta njia barani Afrika.

Jaza nafasi ilioachwa wazi. Uamsho wa mtaa Azusa wa 1906 ulikuwa umwagikaji wenye nguvu wa Roho Mtakatifu katika Los Angelas California.

Jaza nafasi ilioachwa wazi. Billy Sunday na Smith Wigglesworth walikuwa wahubiri wasio weza wa kipindi hiki. (majina yao walikuwa nani?)

Kweli au sio kweli. Adoniram Judson alikuwa mmishonari wa Afrika.

Sio kweli

Kweli au Sio kweli. Hudson Taylor alikuwa mmishenari mkuu ila kamwe hakuanzisha wa mishenari wengine zaidi yake mwenyewe.

Sio kweli. Hudson Taylor alipanda wamishenari 849

Kweli au sio kweli. Billy Sunday alisimama imara kupinga ulevi.

kweli

Kweli au sio kweli. Smith Wigglesworth alikuwa Mtume wa Imani ambaye alikuwa na huduma kubwa ya uponyaji.

Kweli

Maswali ya kujifunza Historia ya Kanisa 7: Kanisa la Baada ya Kisasa

Jaza nafasi ilioachwa wazi. Vuguvugu la ukarismatiki lilianzia ndani ya Kanisa Katoliki.

Jaza nafasi ilio achwa wazi. Injili ya mafanikio imeshaiondoa injili ya Yesu Kristo katika makanisa mengi ya kisasa.

KWELI au SIOKWELI. Kanisa la Baada ya Kisasa lilikuwa limeshinda.

SIOKWELI

KWELI au SIOKWELI. Kanisa la Baada ya Kisasa linaendeshwa kwa sanduku la kura.

KWELI