Skip to main content
Advanced Search
Search Terms
Content Type

Exact Matches
Tag Searches
Date Options
Updated after
Updated before
Created after
Created before

Search Results

1584 total results found

Major Assignments

Church History Additional Materials

Major Assignments DescriptionsMaandishi mengi ya uwasilishaji ONE: Written & Oral Report on any of the Early ApostlesMOJA: Taarifa ilioandikwa & Taarifa ya mdomo ya mtume yeyote kati ya mitume wa kwanza LIMITS: 3-6 minutes; 300-600 wordsVIKOMO: dakika3-6 manen...

Second Test

Church History Additional Materials

PERSECUTED CHURCH - TAKE HOME TEST .cs2E86D3A6{text-align:center;text-indent:0pt;margin:0pt 0pt 0pt 0pt} .csCF6BBF71{color:#000000;background-color:transparent;font-family:Times New Roman;font-size:12pt;font-weight:normal;font-style:normal;}...

History of the Christian Church in Tanzania

Church History Additional Materials

History of the Christian Church in Tanzania 1844 German missionary Johannes Ludwig Krapf arrived in Zanzibar as a worker of the British Church Missionaries Society [^3] 1871 David Livingston explores Tanganika 1887 German Lutheran missionaries open mission st...

Archived Textbook

Church History Additional Materials

Introduction to Church History This class will help the student to become familiar with the history of the church. The goal of this class is to give you a practical understanding of events that occurred throughout the history of the church. The church of Jesus...

Archived Swahili Textbook

Church History Additional Materials

romans-en code{white-space: pre-wrap;} span.smallcaps{font-variant: small-caps;} span.underline{text-decoration: underline;} div.line-block{white-space: pre-line;} div.column{display: inline-block; vertical-ali...

Kanisa la Baada ya Kisasa

Historia Ya Kanisa Saba: Kanisa la Baada ya Kisasa

Saba: Kanisa la Baada ya Kisasa (1950—leo) Kuanzia mwaka wa 1950 wa Kristo hadi leo Kanisa linaendeshwa kwa sanduku la kura Laodeshia maana yake utawala wa watu wenyewe. Makanisa mengi ya leo yanaendeshwa na watu wenyewe. Jina la kipindi hiki linaelezea serika...

Kanisa la Kisasa

Historia Ya Kanisa Sita: Kanisa la Kisasa

Sita: Kanisa la Kisasa (1678–c. 1950 BK) Kuanzia mwisho wa vita ya miaka thelathini ya mwaka 1678 hadi miaka ya 1950. Uamsho Mkubwa (wa miaka ya 1700) Uamsho mkubwa unahusishwa nakuanzishwa upya jitihada za kuieneza injili Uingereza na Marekani. Georgi Whitefi...

Kanisa lililotengenezwa upya

Historia Ya Kanisa Tano: Kanisa lililotengenezwa upya

Tano: Kanisa lililotengenezwa upya (1453–1678 BK) Tangu anguko la Konstantino mpaka mwishoni mwa Vita vya miaka Thelathini. Hawa ni wale waliokuwa wamebaki wakilipinga kwa ushupavu mafundisho ya uwongo. Hiki kilikuwa ni kipindi ambacho Mungu aliinua wanaume wa...

Kanisa la Zama za Enzi za Kati

Historia Ya Kanisa Nne: Kanisa la Zama za Enzi za Kati

Nne: Kanisa la Zama za Enzi za Kati (476—1473 BK) Toka anguko la Roma hadi anguko la Konstatinopo. Kanisa la Zama za Enzi za Kati lilifunikwa na giza Isaya 9:19—Kwa sababu ya hasira ya BWANA nchi hii inateketea. Kipindi cha karne ya 5 mpaka ya 15 huitwa kipi...

Kanisa la Kifalme

Historia Ya Kanisa Tatu: Kanisa la Kifalme

Tatu: Kanisa la Kifalme (313–476 BK) Tangu kutolewa Hati ya Konstantino mpaka angukola Roma. Konstantino Msalaba wa Konstantino Alipigana vita na Maksentiusi kugombea ufalme katika mapigano ya Daraja la Milviani na mwaka 312 BK. Jeshi lake lilizidiwa nguvu na ...

Kanisa la Mateso

Historia Ya Kanisa Mbili: Kanisa la Mateso

Mbili: Kanisa la Mateso (100—313 BK) Kuanzia kukamilishwa Agano Jipya hadi kutolewa Hati ya Konstantino. Hii inazindua kipindi ambacho kanisa liligandamizwa chini ya utawala wa kipagani wa Roma. Kinyume na mategemeo hayakutokeza marashi matamu kwa Mungu kwa ku...

Kanisa la Mitume

Historia Ya Kanisa Moja: Kanisa la Mitume

Moja: Kanisa la Mitume (30–100 BK) Kutoka siku ya Penstekoste hadi kukamilishwa Agano Jipya Maelezo ya kanisa la kwanza Nguvu za kanisa Walipokea nguvu siku Roho Mtakatifu alipowashukia (Mdo. 1:8) Makazi asilia ya Kanisa Kanisa lilianzia katika mji wa Yerusale...

Ukurasa wa Jalada

Historia Ya Kanisa Utangulizi

Mwaka la Kwanza Vitabu vya Kiada Historia Ya Kanisa

Utangulizi kwa Historia ya Kanisa

Historia Ya Kanisa Utangulizi

Somo hili litamwezesha mwana funzi kuifahamu vizuri historia ya kanisa. Zipo tarehe zitakazotolewa kuhusu matukio ya Historia ya Kanisa. Hutalazimika kukariri matukio wala tarehe nyingi. Lengo la somo hili ni kumpatia mwanafunzi uelewa wa matukio yaliyojiri ka...

Ufafanuzi wa Historia ya Kanisa

Historia Ya Kanisa Utangulizi

Ufafanuzi wa Historia ya Kanisa Kanisa Neno la Kigiriki la kanisa ni ekklesia lenye maana "wale walioitwa pamoja au wale walioitwa mbele." Darasa hili litasoma kuhusu kanisa la Yesu Kristo. Neno kanisa kama linavyotumika siku hizi humaanisha majengo ambamo wat...

Kwanini tujifunze Historia ya kanisa?

Historia Ya Kanisa Utangulizi

Kwanini tujifunze Historia ya kanisa? Historia ya Kanisa inatusaidia kuelewa kile tunachoamini Ukiingia kanisa la Kiprotestanti popote ulimwenguni, utasalimiwa na huduma inayofanana na nyingine yeyote uliyowahi kuhudhuria. Kutakuwa na tofauti za mtindo, lakini...

Utunzaji wa Kimungu

Historia Ya Kanisa Utangulizi

Divine providence. How does God interact with humans? Does He manipulate the course of history? Do men have a choice in what they do? If God controls everything, why is there evil in the world? God hardened Pharoah's heart. He removes kings and sets up kings ...

Vipindi saba vya historia ya kanisa

Historia Ya Kanisa Utangulizi

Vipindi saba vya historia ya kanisa KANISA LA KITUME MWANZO: Tangu siku ya Pentekoste (30 BK) MWISHO: Hadi kukamilishwa kwa Agano Jipya kwenye (100 BK) KANISA LA MATESO MWANZO: Kuanzia kukamilishwa Agano Jipya kwenye (100 BK) MWISHO: Hadi kutolewakwa Hati ya K...

archived textbook

Historia Ya Kanisa Maneno ya Ziada

Mwaka la Kwanza Vitabu vya Kiada Historia Ya Kanisa Utangulizi kwa Historia ya Kanisa Somo hili litamwezesha mwana funzi kuifahamu vizuri historia ya kanisa. Zipo tarehe zitakazotolewa kuhusu matukio ya Historia ya Kanisa. Hutalazimika kukariri matukio wal...

Ziada

Historia Ya Kanisa Maneno ya Ziada

1st_year_church_history.csv Kiswahili 1st_Year_ChurchHistory_Workbook.docx Test.docx Sardis qs.pages kiswahili.zip