Skip to main content
Advanced Search
Search Terms
Content Type

Exact Matches
Tag Searches
Date Options
Updated after
Updated before
Created after
Created before

Search Results

1349 total results found

Sheria na Njema

Warumi

Sheria ni rahisi, rahisi, na njema (mst. 7-13) Katika Warumi 7:7-13, Paulo alianza na uzuri wa sheria ya Mungu na udhaifu wa dhambi. Paulo aliwaandikia Wayahudi, wale ambayo waliifahamu sheria (mst. 1), na kujua kujenga vizuri kusudi na asili la sheria. Idhini...

Paulo kifungoni kwa sheria ya dhambi

Warumi

Paulo kifungoni kwa sheria ya dhambi (mst. 14-25) Katika Warumi 7:14-25, Paulo anatuleta katika mzizi wa mapambano; kusudi letu la kushindana kwetu daima ni miili yetu wenyewe, "mwili wa mauti" (mst. 24). Kila muumini amependelewa, amewezeshwa na awajibike kui...

Sheria ya Roho ya uzima ni Kristo Yesu

Warumi

Sheria ya Roho ya uzima ni Kristo Yesu (sura ya 8) Utangulizi wa Warumi sura ya nane Dondoo Wale walio kwa Kristo hawako kwenye hukumu (mst. 1-9 ) Wale walio kwa Kristo wamepokea Roho ya kutwaliwa (mst. 10-16) Wale alio katika Kristo wanasaburi ya kusubiri ku...

Walioko katika Kristo hawako kwenye hukumu ya adhbu

Warumi

Walioko katika Kristo hawako kwenye hukumu ya adhbu (mst. 1-9) Wanatembea katika uhuru pasipo hukumu (mst. 1) Paulo alipiga kelele juu ya ukombozi katika 7:24 na kutangaza katika 8:1. Ubora wa maisha mbele ya vizazi vya kidini ni baadhi ya vitu vya kutisha, ba...

Wale walio katikla Kristo wamepokea Roho ya kuhuishwa

Warumi

Wale walio katikla Kristo wamepokea Roho ya kuhuishwa (mst. 10-16) Kuwa na Roho ya kuhuishwa, nimepokea kazi mpya (mst. 10-13) Tunaweza kuona kazi muhimu ya matendo mema katika mstari wa 10 hadi wa 13. Kwa sababu ya kazi ya Kristo, ninao uzima (mst. 10) Kwa sa...

Subiri kwa uvumilivu kutwaliwa

Warumi

Subiri kwa uvumilivu kutwaliwa (mst. 17-25) Muumini ana vitu vikuu vya kuangalia mbele kwa Mungu. Mungu amefanya mambo makuu na atafanya kwa waumini na bado ametupa ukombozi tulio usubiri kwa uvumilivu katika tumaini au imani! Kitu gani muumini anaweza kukiang...

Utatukuzwa kwa njia ya huduma ya Roho Mtakatifu

Warumi

Utatukuzwa kwa njia ya huduma ya Roho Mtakatifu (mst. 26-30) Roho Mtakatifu anatusaidia katika udhaifu wetu (mst. 26) Roho Mtakatifu ni msaidizi wetu wa Kiungu. Yesu ni mwombezi wetu (mst. 27) Waeb. 7:25; I Yoh. 2:1; I Tim. 2:5 Kusudi la Mungu litashinda (mst....

WARUMI SURA YA 9-11

Warumi

WARUMI SURA YA 9-11 Utangulizi kwa Warumi 9-11 Kiini The Theme Kumbuka muundo wa Warumi? Utangulizi — 1:1-17 MGAWANYO WA KWANZA: Mafundisho — 1:18-8:29 MGAWANYO WA PILI: Mpango ukweli — 9:1-11:26 MGAWANYO WA TATU: Kutenda kazi — 12:1-15:33 Hitimisho — 16:1-2 ...

Masikitiko ya mtume kwa ajili ya kukataa kwa Waisrael

Warumi

Masikitiko ya mtume kwa ajili ya kukataa kwa Waisrael (9:1-5) Warumi sura ya tisa inaongelea kuhusu masikitiko ya Paulo kwa ajili ya wayahudi. Tunapatakuwa sio wazao wote wa Ibrahimu walikuwa wana wa ahadi. Unyofu wa hisia yake (mst. 1) Masikitiko yake kwa wal...

Ukataaji wa Israel kwa utawala wa Mungu

Warumi

Ukataaji wa Israel kwa utawala wa Mungu (9:6-29) Mwisraeli wa kweli ni kulingana na ahadi (mst. 6-10) Wengi wa waisrael wamekosea lengo. Kristo ni ukamilifu wa sheria, lakini waisrael wamejikwa kwake kama kwenye jiwe na kjishikisha kwe sheria na dini. Wanadhan...

Ukataaji wa wanaisrael na jukumu la mwanadamu

Warumi

Ukataaji wa wanaisrael na jukumu la mwanadamu (9:30-10:21) Kujikwaa na kushinda: Hitimisho la sura 9 (9:30-33) Haki kwa njia ya imani (9:30) Mataifa hawafuati haki (haki kwa sheria), hupatikana kwa imani. Imani imetofautishwa katika kifungu kwa njia hii: Kutaf...

WARUMI SURA YA 9-11 9-11

Warumi

WARUMI SURA YA 9-11 9-11 Uchunguzi wa Muundo wa warumi 9-11 Sikitiko la mtume kwa ajili ya kukataa kwa waisrael (9:1-5) Ukataaji wa waisrael na utawala wa Mungu (9:6-29) Ukataaji wa waisrael na jukumu la binadamu (9:30-10:21) Ukataaji wa waisrael na kusudi la...

Maneno ya Mtume ya sifa za Mungu

Warumi

Maneno ya Mtume ya sifa za Mungu (11:33-36) Dini inayostahili kuabudiwa kwa hekima, furaha, na haki ya Mungu. —Matthew Henry

Dhabihu iliyohai

Warumi

Dhabihu iliyohai (sura ya 12) Utangulizi Warumi sura ya 12-16 kamilisha mwisho wa sehemu ya kitabu hiki. Hii sehemu ni ya vitendo zaidi katika maelezo yake. Tunaona Haki ya Mungu inatumika katika maisha ya kila siku ya Muumini. Warumi sura ya kumi na mbili ina...

Utii wa Mkristo

Warumi

Utii wa Mkristo (sura ya 13) Pitio la sura ya 13 Warumi sura ya 13 inaelezea kazi yetu katika amri na sheria, vilevile kazi za kiraia. Ndani yake tunaona kwamba upendo ni utimilifu wa sheria na kwamba hatuhitaji utoaji wowote kwa ajili ya mwili (mst.14). Kwa k...

Maoni tofauti miongoni wa Wakristo

Warumi

Maoni tofauti miongoni wa Wakristo (sura ya 14) Utangulizi Warumi sura ya kumi na nne inaongelea kuhusu jinsi ya kumtendea ndugu mdhaifu.tunapaswa kuwasaidia wale ambao ni wadhaifu katika imani yao. Tunaona hitaji la kuwa na upendo. Tunapaswa kumishia Mungu, n...

Kufanya kazi kwa ajili ya umoja

Warumi

Kufanya kazi kwa ajili ya umoja (sura ya 15) Utangulizi Waamini ni wakukaribishana wao kwa wao, kama Kristo alivyo wapokea mataifa—kwa utukufu wa Mungu. Sehemu ya kwanza ya sura hii inaelezea mahusiano ya Kikristo, Kristo akiwa kama mfano wao mkamilifu. Ujumbe...

Hitimisho la kitabu cha warumi

Warumi

Hitimisho la kitabu cha warumi (sura ya 16) Utangulizi Utata wa kifungu hiki Inavutia kukumbuka kwamba kuna kiasi cha utata juu ya kitabu hiki cha Warumi 15:14–16:27. Swali ni kwamba "wapi warumi waliishia kiasili? je ni kwenye 15:13 kwa asili ni katika mstari...

Census of Believers Mentioned in Romans 16

Book of Romans Chapter 16

(Romans 16) General listing: Phoebe female - deacon - probably a business woman - has social position, independence - was a great help to Paul and others - is entrusted to take the letter from Paul to Rome - from Corinth. Priscilla and Aquilla Prisca (Pris...

Assignment: Memorize Romans 1:18-20

Book of Romans Review and Conclusion

Memorize Romans 1:18,19,20 A helpful tip while memorizing Romans 1:18,19,20 is to include the verse in prayer. When you pray, include elements of the verse. Pray that God will help you understand and apply the verse to your life. Making God's word a part of yo...