Skip to main content

Wale walio katikla Kristo wamepokea Roho ya kuhuishwa

Wale walio katikla Kristo wamepokea Roho ya kuhuishwa (mst. 10-16)

Kuwa na Roho ya kuhuishwa, nimepokea kazi mpya (mst. 10-13)

Tunaweza kuona kazi muhimu ya matendo mema katika mstari wa 10 hadi wa 13.

Kwa sababu ya kazi ya Kristo, ninao uzima (mst. 10)

Kwa sababu ya dhambi, miili yenu inahesabiwa kufa, bali kwa sababu ya haki roho yako inahesabiwa uzima!

Kwa sababu ya kazi ya Roho Mtakatifu mimi ni hai (mst. 11)

Roho Mtakatifu alimfufua Yesu kutoka wafu. Mwili wa kufa unayo hesabiwa kufa utafanywa hai kwa Roho Mtakatifu.

  1. Roho hutupa uzima na kuwaokoa waamini kutoka kwenye dhambi na mauti.
  2. Roho hutupa uzima na kufanya kile ambacho sheria haikifanyi.
  3. Roho hutupa uzima na kuihukumu dhambi katika mwili.
  4. Roho hutupa uzima na Kristo anatugawia matendo mema kwetu.

Kwa sababu ni hai, nitafanya (mst. 12-13)

Kwa kuwa tumepokea roho wa uhuisho, nimekwisha kuwa katika familia mpya (mst. 14-16)

Je, sisi sote ni watoto wa Mungu? Watu wote ni viumbe wa Mungu, bali wale tu waliozaliwa mara ya pili ndio watoto wa Mungu. (Yoh. 1:12, 13; Gal. 3:26; Col. 1:16).

Roho atatupa mwomgozo (mst. 14)

Roho atatuhuisha (mst. 15)

Roho atatushuhudia (mst. 16)