Skip to main content

KUPITIA BWANA WETU YESU KRISTO

Utawala wa Neema "KUPITIA BWANA WETU YESU KRISTO" (sura ya 5)

Utangulizi Introduction

Mtu akifanikiwa kuifikia Neema ya Mungu na kuhesabiwa haki kwa imani kwa kupewa na Mungu. Nafasi muhimu sana kwa imani kupokea huu utoaji inawezekana kama matokeo ya upendo wa Mungu na neema iliyoonyeshwa katika kifo cha Kristo. Tulinyamazishwa na sheria kwa hukumu yake juu ya dhambi, lakini uwepo na na ufahamu mzuri wa Mungu, ulipatikana kwa imani katika Yesu Kristo. Katika sura hii Paulo anasisitiza jukumu la Bwana wetu Yesu Kristo kwa waamini kuhesabiwa haki na kupata upendeleo kwa Mungu au "neema."

Hivyo ni nani atakayepata faida ya wokovuo? Yesu! Hakuwa mkuu bali kazi ya imani pekee ndiyo iliyompendeza Mungu, kwasababu hapakuwepo na nafasi kwa imani kufanya kazi hata ikawezekana bila Kristo. Alihusishwa kwa mpango wa Kristo ambaye Mungu alimpa kibali kwa mwanadamu ili kumwokoa kwa imani.

Tutapata nini kupitia kwa Yesu (mst. 1)

Wenye dhambi wako katika kifungo na hawezi kufurahia utimilifu wa Mungu uliotaka kuwabariki. Yeye aliyafanya kwa sababu ya dhambi. Ikiwa mtu ana nafasi yake katika Kristo na kwa kuawa kwake ni kwasababu ya dhanbi zao, yule mtu atapata mambo ya ajabu mengi kupitia hazina ya Yesu ambayo itamwezesha yeye kupata Neema ya Mungu kwa wingi. Yafuatayo ni baadhi ya Maandiko juu ya wingi: Mithali 28:20; Warumi 5:20; 15:13; II Korintho 8:7; 9:8; Wafilipi 1:9; 4:17; I Wathesalonike 3:12; 4:1; II Petro 1:5-8. Soma Warumi 5:1-5.

Kupitia Yesu:

  • Tumehesabiwa haki kwa damu yake (kuokolewa)
  • Tumekuwa na amani na Mungu (kupatanishwa)
  • Tumepatikana kwa neema
  • Tumepatikana kwa uwepo wa Mungu
  • Tunafurahia katika tumaini la utukufu wa Mungu
  • Tunafuraha katika dhiki (kama alivyofanya kazi kwa uvumilivu -> uzoefu -> tumaini)

Kupitia Yesu tunaye Roho Mtakatifu aliyetupa sisi (mst. 5)

Pia angalia II Kor. 1:22; Gal.4:4-7; Efes 1:13-14.

Kupitia Yesu tuna upendo wa Mungu uliopakwa NDANI ya mioyo yetu (mst. 5)

Tunapata nini kupitia upendo wa Mungu (mst. 6-10)

Yesu alihamishwa na upendo (mst. 6)

Baraka zote zilizotangulia (kuhesabiwa haki, amani, upatikanaji, n.k.) yaliwezekana kwasababu, "Hatukuwa na nguvu bado, mpaka wakati wa kufa kwake Kristo kwa ajili ya wenye dhambi." Ni damu ya Yesu Kristo iliyoishinda sheria na msukumo wa upendo wa matendo yake.

Ni upendo usio wa kawaida (mst. 7-8)

"Upendo" wa mtu humhusu yeye mwenyewe na una kikomo. Kwa wale ambao hufanya ya kidini na unaweza kumpata mtu kufa kwa ajili ya vitu vizuri na kwa wale wema na wakarimu, wanaweza kutapa mtu yeyote kwa urahisi zaidi kufa, lakini Yesu hakufa kwa wale waliokuwepo kupata thamani na utajiri, bali alikufa kwa ajili ya wahalifu, wavamizi. Yeye alikufa kwa wenye dhambi.

Kristo Alikufa kwa wenye DHAMBI, wale wakosaji na waliomkataa Mungu. Upendo wa Mumgu ulionyeshwa kwa wale wasio haki wala wema.

Upendo hufanya kazi ya upatanisho (mst. 9-10)

Tuliuwa wa ajabu kwa Mungu. Tulikuwa:

  • hatuna nguvu - wa kufa -wadhaifu.
  • wasimcha Mungu - Hakuna Mungu ndani yao.
  • Wenye dhambi - wakti wote kwa lengo, lakini kwa kukosa chapa.
  • Maadui - chuki dhidi ya Mungu na Utakatifu wake.

Yesu alisukumwa na upendo, na alituokoa kutoka kwenye laana na akatupa kuhesababiwa haki kupitia damu yake.

Upatanisho maana yake "huja kwa maneno; makubaliano." Nilipopatanishwa kwa Mungu, alirekebisha maneno na kunibadilisha. Soma II Wakorintho 5:17 na Isaya 1:18-20

Upatanisho ni lazima kufanyika kwa mahusiano ya mtu na Mungu. Tunatakiwa kupokea huduma ya upatanisho (II Wak. 5:16-21). Mungu humbadilisha mtu vizuri kupitia upatanisho, na haya mabadiliko ni kazi ya Mungu. "Vitu vipya" huumbwa na Mungu, kama vile katika uumbaji Mungu alisema na iwepo dunia. Dunia katika chanzo chake. Wokovu ni Mungu aliupatanisha ulimwengu Mwenyewe.

Tumekuwa mabalozi wa ofisi ya upatanisho (War. 5:19-20). Dhambi ya mtu humtenga yeye kutoka kwa Mungu, lakini hutufanya sisi tukubali maneno ya upatanisho (War. 5:21).

Kupitia upatanisho wa Kristo neema ilitawala (mst. 11-21)

Tunafuhi katika Mungu kupitia Yesu, mleta upatanisho (mst. 11)

Ukweli ni kwamba Mungu ni pendo na Kristo atabaki mwenye Haki haitoshi peke yake kumhesababia mtu haki. Gharima lazima ilipwe kwa ajili ya dhambi na Kristo ndio aliyolipa hiyo gharama kwa damu yake mwenyewe (upatanisho). Katiak msitari wa 11 hadi 18, Paulo aliandika tofauti ya Utawala wa Dhambi na utawala wa Neema.

Dhambi imethibitishwa na utawala wa dhambi (mst. 12-14)

Karama ya bure (mst. 15-21)

Hitimisho — "kwa Yesu" (mst. 19-21)

Kama vile dhambi ilivyo tawala mpaka kifo, neema imetawala kupitia haki mpaka uzima wa milele. Kama vile sheria ilivyokuwa na mamlaka juu ya wale waliovunja sheria, Hivyo neema ina nguvu na mamlaka juu ya haki. Kama vile muumini alivyo na nguvu na mamlaka kutawala katika uzima, watakuwa na nguvu na mamlaka kutawala katika umilele. Dhambi ya Adam iliendelea kwa hukumu ya sheria na kumtawala mpaka kifo. Utawala wa neema ya Mungu uliongezeka kwa kuendeleza haki kwa Yesu Kristo Bwana Wetu mpaka uzima.

Neema ni upendo, kama inavyoonekana katika kifo cha Kristo kwa wasio mcha Mungu na katika maisha ya Yesu alivyoyatoa kwa wale ambao Yeye aliwaokoa kwa njia ya kifo chake. Hukumu ni utumwa kupelekea mauti kupitia Adamu. Kuhesabiwa haki ni kutawala katika uzima kwa njia ya Yesu Kristo. Kwa Kristo watu wote watafanywa hai.

Paulo aliandika tofauti yenye nguvu sana ya utawala wa dhambi na utawala wa neema:

Tofauti katika Warumi sura ya tano
Dhambi Haki
Kifo Uzima
Sheria Neema
Maadui Upatanisho
Kutotii Utii
Kuhesababiwa Haki
Hukumu: Kuwahukumu watu ni utumwa wa kifo kwa Adam. Kuhesabiwa haki ya Uzima: Kuwahesabia watu haki ilitawala katika uzima kwa Kristo.
Hasira Amani
Wenye dhambi Walio okolewa
Utawala wa dhambi Neema imeongezeka