Skip to main content

WARUMI SURA YA 9-11 9-11

WARUMI SURA YA 9-11 9-11

Uchunguzi wa Muundo wa warumi 9-11

  1. Sikitiko la mtume kwa ajili ya kukataa kwa waisrael (9:1-5)
  2. Ukataaji wa waisrael na utawala wa Mungu (9:6-29)
  3. Ukataaji wa waisrael na jukumu la binadamu (9:30-10:21)
  4. Ukataaji wa waisrael na kusudi la Mungu kwa ajili ya msitakabali wao (11:1-32)
  5. Maneno ya mtume ya sifa za Mungu (11:33-36)

Kukataa kwa wa waisrael na kusudi la Mungu na msitakabali wao (11:1-32)

Kukataa kwa waisrael sio kitu cha kidunia (11:1-10)

Ukataaji ni KUTOKUAMINI kwa wayahudi (Mdo. 14:2; Ufu. 21:8).

Upofu ulikuwa kwa kusudi na sio kitu cha kudumu (11:11-21)

Mapenzi ya Mungu ni kuwa na huruma juu ya wote (11:22-32)

"Kwa kukataa injili, na kwa hasira yao katika kuhubiriwa injili kwa mataifa, wayahudi walipata kuwa maadui wa Mungu.
—Matthew Henry

Rehema ya Mungu (Zab. 13:5; 89:2; Yak. 5:11).