Skip to main content
Advanced Search
Search Terms
Content Type

Exact Matches
Tag Searches
Date Options
Updated after
Updated before
Created after
Created before

Search Results

1349 total results found

No Longer Condemned

Book of Romans Chapter 8

(Romans 8:1-9) Those in Christ are no longer condemned. They walk in liberty with no condemnation (v. 1) The deliverance Paul cried for in 7:24 is announced in 8:1. The quality of life before regeneration of the religious has some gruesome parallels, but the n...

The Spirit of Adoption

Book of Romans Chapter 8

(Romans 8:10-16) Those in Christ have received the spirit of adoption. Having received the spirit of adoption, I have received a new work (v. 10–13) We can see the importance works of righteousness in verses 10 through 13. Because of Christ's work, I have life...

The Promises of Adoption

Book of Romans Chapter 8

(Romans 17-25) What hope does this Spirit of Adoption bring us? Patiently wait for the adoption The believer has great things to look forward to in God. God has done great things in and for the believer and there is yet a redemption that we patiently wait for ...

Glorification

Book of Romans Chapter 8

(Romans 8:26–30) Saints will be 'glorified' through the ministry of the Holy Ghost The Holy Spirit helps our weaknesses (v. 26) The Holy Spirit is our divine helper. Jesus is our intercessor (v. 27) Hebrews 7:25; 1 John 2:1; 1 Timothy 2:5 God's purpose wins (v...

Utangulizi kwa somo la Warumi

Warumi

(Utangulizi) Waraka wa Warumi ni hazina ya kweli ambayo hupaswa kueleweka kwa watakatifu wa Mungu. Somo hili litakusadiwa kuelewa mafundisho yake ya muhimu. Umamlaka wa Waraka wa Warumi Ushahidi wa milele wa waraka wa Warumi inaunga mkono mamlaka ya waraka wa...

Utangulizi wa Paulo kwa Warumi

Warumi

(Warumi 1:1-7) Salamu za Paulo 1:1-7 Mtume ni mtu ALIYETUMWA KWENDA kama mjumbe au mwakilishi wa mamlaka halisi ya mtumaji; mjumbe au balozi (Mdo. 9:3-9, 15-22, 28). Wito wa kitume wa Paulo haukuwa wa kidunia. Wala hakuwa mgombea kwa wale waliopigiwa kura kat...

Dhamira ya Paulo: Injili

Warumi

(Warumi 1:16-17) Dhamira ya Paulo: Injili (1:16-17) Mistr ya 16 na 17 ni mistr ya ufunguo wa waraka huu na vifupusho vingi vya waraka. Injili ni uwezo wa Mungu kwa ajili ya wokovu Wote waminio wanaweza kubadilishwa na nguvu ya Mungu Maandiko matakatifu hutanga...

Wote Wana Hatia

Warumi

(Warumi 1:18-32) Wote wanahatia na wako chini ya dhambi (1:18-32; 2:1-29) Warumi 3:9—...Kwa maana tumekwisha kuwashitaki Wayahudi na Wayunani ya kwamba pia wamekuwa chini ya dhambi; Wote wana hatia Mahitaji ya wanadamu wote ni kuhesabiwa haki kwanjia ya Yesu...

Hatia ya kidini/ya kiyahudi

Warumi

(Romans 2:1-29) Warumi sura ya pili inazungumzzia juu ya myahudi mwenye hatia au hatia ya mtu wa kidini. Myahudi aliyekataa nuru ya Ufunuo. Katika sura hii tunaona wayahudi wakiwalaumu wengine, kama mafarisayo walivyofanya. Vilevile sura hii inazungumzia kuhu...

Sheia ni taswira sahihi

Warumi

(Warumi 3:1-2) Sheia ni taswira sahihi (sura ya 3) Kuhesabiwi haki ni kwa imani pasipo matendo ya sheria. Sheria ni: faida kwao wanaoijua (mst. 1-2), kwa uhalisi katika asili yake (mst. 3-8), pasipo kupinda katika mamlaka yake (mst. 9-19), kuna kusudi tofauti ...

Uhalisia wa Sheria

Warumi

(Warumi 3:3-8) Uhalisia wa sheria (3:3-8) Kuhesabiwa haki ni kwa imani pasipo matendo ya sheria. Sheria ni: faida kwa wale ambao wanaijua (mst. 1-2), ni halisi katika asili yake (mst. 3-8), kutopindika katika, mamlaka yake (mst. 9-19), inakusudi dhahiri (mst...

Mamlaka yasiyopindika ya sheria

Warumi

(Warumi 3:9-19) Kuhesabiwa haki ni kwa imani pasipo matendo ya sheria. Sheria ni: faida kwa wale ambao wanaijua (mst. 20-30), haijafanywa kama kitu cha kuepuka bali inathibitishwa kwa imani yetu. (mst. 31) Dunia yote iko chini ya hukumu. Shitaka limetozwa d...

Kusudi la kweli la sheria

Warumi

(Warumi 3:20-30) WARUMI 3: Kuhesabiwa ni kwa njia ya imani sio kwa matendo sheria. Sheria ni: faida kwa wale wanaoijua (mst. 1-2), ni halisi katika asili yake (mst. 3-8), haipindiki katika mamlaka yake (mst. 9-19), inayokusudi la pekee (mst. 20-30), sio kitu...

Kuthibitishwa kwa sheria

Warumi

(Warumi 3:31) Kuhesabiwa haki ni kwa imani nasio matendo ya sheria. Sheria: ni faida kwao wanaoijua (mst. 1-2), uhalisi katika asili yake (mst. 3-8), haipindiki katika mamlaka yake (mst. 9-19), inakusudi la kipekee (mst. 20-30), haiepukiki bali imethibitishw...

Imani, Neema, na kuhesabiwa haki

Warumi

Imani, Neema, na kuhesabiwa haki (sura ya 4) Utangulizi Kazi ya sheria katika kuhesabiwa haki ni ile inayoleta kuijua dhambi. Mtu haihesabiwa haki kwa njia ya matendo sheria. Kwasababu kuhesabiwa haki inachukua nafasi katika muumini "kwa neema kwa njia ya iman...

Mungu atatimiza ahadi yake

Warumi

Mungu atatimiza ahadi yake (4:18-25) Ahadi kwa Ibrahimu (mst. 18-22) Abrahamu alipewa ahadi ya Mungu. Mungu alimwahidi kuwa atakuwa na mwana. Pia Mesiha angekuwa mwana wa Ibrahimu. Yesu alitimiza unabii na aliziwa kulingana na ukoo wa mababu wa Abrahamu. Ahadi...

KUPITIA BWANA WETU YESU KRISTO

Warumi

Utawala wa Neema "KUPITIA BWANA WETU YESU KRISTO" (sura ya 5) Utangulizi Introduction Mtu akifanikiwa kuifikia Neema ya Mungu na kuhesabiwa haki kwa imani kwa kupewa na Mungu. Nafasi muhimu sana kwa imani kupokea huu utoaji inawezekana kama matokeo ya upendo w...

Utawala wa neema katika utumishi wa haki

Warumi

Utawala wa neema katika utumishi wa haki (sura ya 6) Katika surta ya sita, Paulo alianza kwa kuweka wazi mahusiano ambayo waumini waliokuwa na dhambi na kuhitimisha kwamba dhambi haitaendelea kutawala juu ya waumini na wale waumini wasiendelee katika dhambi. P...

Sheria ilitawala juu ya mtu aishiye katika dhambi

Warumi

Sheria (torati) ilitawala juu ya mtu aishiye katika dhambi (sura ya 7) Utangulizi Sheria kwa amri zake za hukumu zilitawala juu ya mtu yule anayeishi ndani ya dhambi. Maisha ya haki hayawezekani kwa kupitia kazi ya sheria kama wenye dhambi walivyofungwa dhambi...

Dhambi imekufa na tuko huru kuoa mwingine

Warumi

Dhambi imekufa na tuko huru kuoa mwingine (mst. 1-6) Maana ya mfano Afanyaye dhambi yuko katika kifungo cha mahusiano ya dhambi yake, kama vile mke aliyefungwa na mme wake. Kama wataendelea kuwa hai wote wawili, mme na mke wamefungana kila mmoja chini ya Mungu...