Advanced Search
Search Results
1584 total results found
Kusudi la kweli la sheria
(Warumi 3:20-30) WARUMI 3: Kuhesabiwa ni kwa njia ya imani sio kwa matendo sheria. Sheria ni: faida kwa wale wanaoijua (mst. 1-2), ni halisi katika asili yake (mst. 3-8), haipindiki katika mamlaka yake (mst. 9-19), inayokusudi la pekee (mst. 20-30), sio kitu...
Kuthibitishwa kwa sheria
(Warumi 3:31) Kuhesabiwa haki ni kwa imani nasio matendo ya sheria. Sheria: ni faida kwao wanaoijua (mst. 1-2), uhalisi katika asili yake (mst. 3-8), haipindiki katika mamlaka yake (mst. 9-19), inakusudi la kipekee (mst. 20-30), haiepukiki bali imethibitishw...
Imani, Neema, na kuhesabiwa haki
Imani, Neema, na kuhesabiwa haki (sura ya 4) Utangulizi Kazi ya sheria katika kuhesabiwa haki ni ile inayoleta kuijua dhambi. Mtu haihesabiwa haki kwa njia ya matendo sheria. Kwasababu kuhesabiwa haki inachukua nafasi katika muumini "kwa neema kwa njia ya iman...
Mungu atatimiza ahadi yake
Mungu atatimiza ahadi yake (4:18-25) Ahadi kwa Ibrahimu (mst. 18-22) Abrahamu alipewa ahadi ya Mungu. Mungu alimwahidi kuwa atakuwa na mwana. Pia Mesiha angekuwa mwana wa Ibrahimu. Yesu alitimiza unabii na aliziwa kulingana na ukoo wa mababu wa Abrahamu. Ahadi...
KUPITIA BWANA WETU YESU KRISTO
Utawala wa Neema "KUPITIA BWANA WETU YESU KRISTO" (sura ya 5) Utangulizi Introduction Mtu akifanikiwa kuifikia Neema ya Mungu na kuhesabiwa haki kwa imani kwa kupewa na Mungu. Nafasi muhimu sana kwa imani kupokea huu utoaji inawezekana kama matokeo ya upendo w...
Utawala wa neema katika utumishi wa haki
Utawala wa neema katika utumishi wa haki (sura ya 6) Katika surta ya sita, Paulo alianza kwa kuweka wazi mahusiano ambayo waumini waliokuwa na dhambi na kuhitimisha kwamba dhambi haitaendelea kutawala juu ya waumini na wale waumini wasiendelee katika dhambi. P...
Sheria ilitawala juu ya mtu aishiye katika dhambi
Sheria (torati) ilitawala juu ya mtu aishiye katika dhambi (sura ya 7) Utangulizi Sheria kwa amri zake za hukumu zilitawala juu ya mtu yule anayeishi ndani ya dhambi. Maisha ya haki hayawezekani kwa kupitia kazi ya sheria kama wenye dhambi walivyofungwa dhambi...
Dhambi imekufa na tuko huru kuoa mwingine
Dhambi imekufa na tuko huru kuoa mwingine (mst. 1-6) Maana ya mfano Afanyaye dhambi yuko katika kifungo cha mahusiano ya dhambi yake, kama vile mke aliyefungwa na mme wake. Kama wataendelea kuwa hai wote wawili, mme na mke wamefungana kila mmoja chini ya Mungu...
Sheria na Njema
Sheria ni rahisi, rahisi, na njema (mst. 7-13) Katika Warumi 7:7-13, Paulo alianza na uzuri wa sheria ya Mungu na udhaifu wa dhambi. Paulo aliwaandikia Wayahudi, wale ambayo waliifahamu sheria (mst. 1), na kujua kujenga vizuri kusudi na asili la sheria. Idhini...
Paulo kifungoni kwa sheria ya dhambi
Paulo kifungoni kwa sheria ya dhambi (mst. 14-25) Katika Warumi 7:14-25, Paulo anatuleta katika mzizi wa mapambano; kusudi letu la kushindana kwetu daima ni miili yetu wenyewe, "mwili wa mauti" (mst. 24). Kila muumini amependelewa, amewezeshwa na awajibike kui...
Sheria ya Roho ya uzima ni Kristo Yesu
Sheria ya Roho ya uzima ni Kristo Yesu (sura ya 8) Utangulizi wa Warumi sura ya nane Dondoo Wale walio kwa Kristo hawako kwenye hukumu (mst. 1-9 ) Wale walio kwa Kristo wamepokea Roho ya kutwaliwa (mst. 10-16) Wale alio katika Kristo wanasaburi ya kusubiri ku...
Walioko katika Kristo hawako kwenye hukumu ya adhbu
Walioko katika Kristo hawako kwenye hukumu ya adhbu (mst. 1-9) Wanatembea katika uhuru pasipo hukumu (mst. 1) Paulo alipiga kelele juu ya ukombozi katika 7:24 na kutangaza katika 8:1. Ubora wa maisha mbele ya vizazi vya kidini ni baadhi ya vitu vya kutisha, ba...
Wale walio katikla Kristo wamepokea Roho ya kuhuishwa
Wale walio katikla Kristo wamepokea Roho ya kuhuishwa (mst. 10-16) Kuwa na Roho ya kuhuishwa, nimepokea kazi mpya (mst. 10-13) Tunaweza kuona kazi muhimu ya matendo mema katika mstari wa 10 hadi wa 13. Kwa sababu ya kazi ya Kristo, ninao uzima (mst. 10) Kwa sa...
Subiri kwa uvumilivu kutwaliwa
Subiri kwa uvumilivu kutwaliwa (mst. 17-25) Muumini ana vitu vikuu vya kuangalia mbele kwa Mungu. Mungu amefanya mambo makuu na atafanya kwa waumini na bado ametupa ukombozi tulio usubiri kwa uvumilivu katika tumaini au imani! Kitu gani muumini anaweza kukiang...
Utatukuzwa kwa njia ya huduma ya Roho Mtakatifu
Utatukuzwa kwa njia ya huduma ya Roho Mtakatifu (mst. 26-30) Roho Mtakatifu anatusaidia katika udhaifu wetu (mst. 26) Roho Mtakatifu ni msaidizi wetu wa Kiungu. Yesu ni mwombezi wetu (mst. 27) Waeb. 7:25; I Yoh. 2:1; I Tim. 2:5 Kusudi la Mungu litashinda (mst....
WARUMI SURA YA 9-11
WARUMI SURA YA 9-11 Utangulizi kwa Warumi 9-11 Kiini The Theme Kumbuka muundo wa Warumi? Utangulizi — 1:1-17 MGAWANYO WA KWANZA: Mafundisho — 1:18-8:29 MGAWANYO WA PILI: Mpango ukweli — 9:1-11:26 MGAWANYO WA TATU: Kutenda kazi — 12:1-15:33 Hitimisho — 16:1-2 ...
Masikitiko ya mtume kwa ajili ya kukataa kwa Waisrael
Masikitiko ya mtume kwa ajili ya kukataa kwa Waisrael (9:1-5) Warumi sura ya tisa inaongelea kuhusu masikitiko ya Paulo kwa ajili ya wayahudi. Tunapatakuwa sio wazao wote wa Ibrahimu walikuwa wana wa ahadi. Unyofu wa hisia yake (mst. 1) Masikitiko yake kwa wal...
Ukataaji wa Israel kwa utawala wa Mungu
Ukataaji wa Israel kwa utawala wa Mungu (9:6-29) Mwisraeli wa kweli ni kulingana na ahadi (mst. 6-10) Wengi wa waisrael wamekosea lengo. Kristo ni ukamilifu wa sheria, lakini waisrael wamejikwa kwake kama kwenye jiwe na kjishikisha kwe sheria na dini. Wanadhan...
Ukataaji wa wanaisrael na jukumu la mwanadamu
Ukataaji wa wanaisrael na jukumu la mwanadamu (9:30-10:21) Kujikwaa na kushinda: Hitimisho la sura 9 (9:30-33) Haki kwa njia ya imani (9:30) Mataifa hawafuati haki (haki kwa sheria), hupatikana kwa imani. Imani imetofautishwa katika kifungu kwa njia hii: Kutaf...
WARUMI SURA YA 9-11 9-11
WARUMI SURA YA 9-11 9-11 Uchunguzi wa Muundo wa warumi 9-11 Sikitiko la mtume kwa ajili ya kukataa kwa waisrael (9:1-5) Ukataaji wa waisrael na utawala wa Mungu (9:6-29) Ukataaji wa waisrael na jukumu la binadamu (9:30-10:21) Ukataaji wa waisrael na kusudi la...