Advanced Search
Search Results
1349 total results found
Wasifu wa mhubiri
Wasifu wa mhubiri Kiwango cha uwezo wa mhubiri kinapimwa kwa akili, kwa maadili na kiroho. Mhubiri anapaswa kuwa amehitimu kiroho na anao upako wa kuhubiri. Mhubiri anapaswa kuwa amehitimu katika mafunzo yake ya Biblia. Mhubiri anapaswa pia kuwa msafi kimaadil...
Umuhimu wa Kuhubiri kwa Nguvu za Roho Mtakatifu
Umuhimu wa Kuhubiri kwa Nguvu za Roho Mtakatifu Popote na chochote tunacho hubiri lazima tuvuviwe na Roho Mtakatifu (Mdo. 16:6-10; I Kor. 1:17; II Kor. 2:12; Gal. 2:2; Yona 3:2; Isa. 61:1). Mhubiri ni lazima ajazwe nguvu za Roho Mtakatifu Mhubiri anahitaji kuj...
Matumizi maalum ya kifungu
Matumizi maalum ya kifungu (Vizibuo) Utangalizi II Tim. 2:15—Jitahidi kujionyesha kuwa umekubaliwa na Mungu, mtenda kazi asiye na sababu ya kutahayari, ukitumia kwa halali neno la kweli. Mhubiri anahitaji uelewa mzuri wa Neno yeye mwanyewe, ili waweze kuwata...
Kanuni ya kwanza
Kanuni ya kwanza: kufasiri lazima kuwepo na msimamo na kutumika Njia halali na ya heshima ya kufasiri kuwa na msimamo na pasipo mashindano au ubishi. Lazima usitawaliwe na yaliyokubaliwa kitheologia. Kama ufasiri wetu (vizibuo) vimetawaliwa na theolojia yetu, ...
Kanuni ya pili
Kanuni ya pili: kuna maana sahihi moja tu ya kifungu cha Biblia Kifungu cha kinabii cha weza kuwa na mikunjo miwili ya utimilifu, lakini kuna fasiri sahihi moja tu ya timilizo hizo.
Kanuni ya tatu
Kanuni ya tatu: fasihi simlizi ni kwa kawaida huwa bora Maandiko yote lazima ya chukuliwe katika simlizi yake na maana ya wazi kuruhusu tu kwa ajili ya mfano na mashauri ya vitabu. Kila kifungu lazima kichukuliwe katika thamani ya sura yake Maritini luther ali...
Kanuni ya nne
Kanuni ya nne: soma kutoka pointi ya mwandishi ya upeo wa macho Maandiko yote lazima ya chukuliwe kutoka pointi ya upeo wa mwandishi (2 Tim. 3:16). Fikiria habari kama, Nani waliokuwa shabaha ya mwandishi? Ni nani aliyeiandika? Paulo, Petro, Yohana aliependwa,...
KANUNI YA NANE
KANUNI YA NANE: VIFUNGU VINAWEZA KUWA NAVYOTE VIWILI MATUMIZI YA KARIBU NA YA MBALI Matumizi ni huonyeshwa kwenye kifungu. Maandiko mara nyingi yana matumizi ya karibu na ya mbali. Kwa ajili ya ufasiri halali pamoja na matumizi ya karibu na ya mbali, lazima uw...
Kanuni ya tano
Kanuni ya tano: mazingira ni ufunguo mkuu kwa ufasiri Kanuni hii ya tano hufikiriwa sana "majumuisho yote." Muktadha ni jinsi neno au sentesi imewekwa katika uhusiano kwenye kifungu kizima njia nzuri ya kufahamu maana ya neno ni kuona jinsi neno hilo limetumik...
KANUNI YA SITA
KANUNI YA SITA:SIKU ZOTE LINGANISHA MAANDIKO KWA MAANDIKO Andiko siku zote hushikilia ufasiri wake lenyewe (II Pet. 1:20). Neno, maelezo, au wazo lazima lijifunzwe katika kitabu ambacho ndio limeandikwa, na kisha katika matumizi yake katika vifungu vingine. En...
KANUNI YA SABA
KANUNI YA SABA:HAKUNA MABISHANO KATIKA BIBILIA. Neno la Mungu halina makosa, haliwezi kupingana lenyewe. Mahali kumeonekana ubishi, ukweli bado hauja patikana endelea kutafuta. Kuna ukamilifu na umoja usio vunjika kuanzia Mwanzo hadi Ufunuo. Wakati unapofasiri...
KANUNI YA TISA
KANUNI YA TISA: KANUNI ZA LUGHA LAZIMA ZISIPUZIWE. Lugha zote sio mbaya. Kama jambo la hakika, kila lugha ni ya kipekee pamoja na nguvu zake na udhaifu. Ufafanuzi wa kipekee wa kila lugha unafanya somo lake kukamilika, lakini kitu cha kusisimua!Kiyunani na Kie...
KANUNI YA KUMI
KANUNI YA KUMI:VIFAA VYWA REJEA NI VYOMBO VYENYE NGUVU BALI MATUMIZI YAKE LAZIMA YATAWALIWE NA KANUNI ZA KIHABARI Kamusi Kamusi ni kifaa cha msaada kwa ufahamu bora wa maana ya maneno. Concordence Concordence ni ya thamani kupata wapi maandiko yaliko. Concorda...
KANUNI YA KUMI NA MOJA
KANUNI YA KUMI NA MOJA: Lazima tufundishwe na Roho mtakatifu Yeye ni mwalimu mkuu (I Wak. 2:13–14). Jihadhari na maneno ambayo hufundishwa kwa hekima za watu. Maoni ya weza kufaa hasahasa kwa kujifunza siasa na historia, bali sio mbadala wa mafundisho ya Roho ...
HITIMISHO KWENYE VIZIBUO
HITIMISHO KWENYE VIZIBUO: Mhubiri anapaswa kuandika kwa kifupi kitu alichojifunza Andika maana ya maneno mapya au yasiozoeleka Kila mmoja atajenga utaratibu wake mwenyewe wa kujifunza maneno mapya. Baadhi ya maneno ya Biblia yanayo maana tofauti katika lugha y...
Kutoa Hotuba
Kutoa Hotuba Sehemu hii itaangalia mbinu mbalimbali za kutoa hotuba. Hatupendi sote tuingie katika mtego wa kutoa hotuba (kuongea kwa werevu wa kisomi), lakini kuna mbinu fulani ambazo mhubiri anaweza kujenga ili zimsaidie katika mahubiri ya Injili. Kuhubiri n...
Archived Textbook
MWAKA WA KWANZA KITABU CHA KIADA ELIMU YA MAHUBIRI 1 Maandalizi ya Hotuba na Mahubiri CHUOCHA BIBLIA NA WOKOVU CHA MOSHI Moshi, Kilimanjro, Tanzania CHUO CHABIBLIA NA WOKOVU Portland, Maine. Amerika Utangulizi: Kuhubiri ni kufanya kitu gani? Elimu ya mahubiri ...
Hatua za simulizi hadithi
Hatua za simulizi hadithi Chagua hadithi Hadithi ni magali popote. Waweza kusikia kwenye redio, kwa kusoma vitabu, na kusikia kwenye mazungumzo. Unaweza kupata hadithi kutoka kwenye matukio yaliotokea katika maisha yako. Kwa mazoezi katika darasa hili; unaweza...
Elimu ya mahubiri 1 Maswali ya kujifunza 1
* { margin-bottom: 0; } h1 { page-break-before: always; counter-reset: questions; } h2::before { content: counter(questions) ". "; } h2 { counter-increment: questions; margin-top: 1rem; font-size: 16px; font-weight: n...
Elimu ya Mahubiri I Maswali
* { margin-bottom: 0; } h1 { page-break-before: always; counter-reset: questions; } h2::before { content: counter(questions) ". "; } h2 { counter-increment: questions; margin-top: 1rem; font-size: 16px; font-weight: n...