Homiletics Study Questions 1
Elimu ya mahubiri 1 Maswali ya kujifunza 1
What is homiletics?
Elimu ya mahubiri ni nini?
Talking about the Bible
Kuzungumza kuhusu Biblia
The fundamental truths of the Bible arranged in systematic form
Kweli za msingi za Biblia zilizo pangwa katika muundo wa utaratibu
The art or science of religious discourse or preaching
Sanaa au sayansi ya mazungumzo ya kidini au mahubiri
The spoken communication of divine truth with a view to persuasion
Mawasiliano ya mazungumzo ya ukweli wa kiungu wenye mtazamo wa kushawishi
The art or science of religious discourse or preaching
Sanaa au sayansi ya mazungumzo ya kidini au mahubiri
What is the authority of the preacher?
Mamlaka ya kuhubiri ni nini?
The wisdom of man
Hekima ya mtu
The Word of God
Neno la Mungu
The ability of man
Kipaji cha mtu
The blood of Jesus
Damu ya yesu
The Word of God
Neno la Mungu
Which of the following is essential to every preacher?
Kipi kati ya haya ambacho ni cha muhimu kwa kila mhubiri?
Talent
Dondoo
Studying
Kujifunza
Confidence
Ujasiri
Eloquence
Maandishi
Studying
Kujifunza
What is the ministry of the preacher?
Huduma ya mhubiri ni nini?
Making people cry.
Kuwafanya watu walie.
Giving people the opportunity to come altar.
Ku wapa nafasi kuja madhabahuni.
Getting people to laugh.
Kuwafanya watu kuchemka.
Feeding the people with the truth of God's Word.
Kuwalisha watu ukweli wa Neno la Mungu.
The feeding of the Word of God.
Kuwalisha watu ukweli wa Neno la Mungu.
Which of the following things are not true of studying?
Kipi kati ya mambo ya fuatayo sio sahihi kuhusu kuchukua maandishi?
Write down the meaning of new or unfamiliar words.
Andika maana ya maneno mapya au yasiozoeleka.
Keep the notes simple, direct to the point.
Taarifa unazojiandikia katika daftari ziwe katika lugha rahisi, wazi na zenye lengo.
Write down a thought or sermon topic as soon as you can.
Andika wazo au kichwa cha somo mapema utakavyoweza.
It is not important to separate a Scripture into its main ides.
Haifai kutenganisha andiko kwenye mawazo yake makuu.
It is not important to separate a Scripture into its main ideas.
Haifai kutenganisha andiko kwenye mawazo yake makuu.
____________ _____ ______ ___________ _______________ of divine truth with a view to _______________.
______________ ______ ___________ ______ __________________ ya ukweli wa kimungu kwa lengo la ____________________.
Preaching is the spoken communication of divine truth with a view to persuasion.
Kuhubiri ni mawasiliano ya mazungumzo ya ukweli wa kimungu kwa lengo la kushawishi.
II Timothy 4:2 Preach the __________; be instant in season, out of season; ___________, ______________, ______________ with all longsuffering and ______________."
II Timotheo 4:2 Lihubiri __________, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati ____________, _________, ________ na kuonya kwa uvumilivu wote na _____________.
II Timothy 4:2 Preach the word; be instant in season, out of season; reprove, rebuke, exhort with all longsuffering and doctrine."
II Timotheo 4:2 Lihubiri Neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
The ______________ breaks the bondages of sin.
___________ mafuta __________ vifungo vya dhambi.
The anointing breaks the bondages of sin.
Kupakwa mafuta huvunja vifungo vya dhambi.
The Holy Ghost brings ____________ of __________.
Roho Mtakatifu huleta _________ la __________.
The Holy Ghost brings conviction of sin.
Roho Mtakatifu huleta ondoleo la dhambi.
A key to ___________ ____________ interpretation is to understand a passage within ______________.
Siri ya kutafsiri ________ ________________ ______________ ni kuelewa andiko taarifa kama _________________________.
A key to correct Biblical interpretation is to understand a passage within context.
Siri ya kutafsiri kwa usahihi Biblia ni kuelewa andiko taarifa kama ilivyoandikwa.
Answer true or false. Someone can preach without being called by God.
Jibu kweli au sio kweli. Mtu anaweza kuhubiri bila kuitwa na Mungu.
FALSE
Sio kweli
Answer true or false. Oil is a symbol of the blood of Jesus.
Jibu kweli au sio kweli. Mafuta ni mfano wa damu ya Yesu.
FALSE
Sio kweli
Answer true or false. The must first understand the Word for himself before he can preach to others.
Jibu kweli au sio kweli. Ni lazima mhubiri alielewe Neno yeye mwenyewe ndiyo aweze kuwahubiria watu wengine.
TRUE
Kweli
Answer true or false. There are many correct meanings of a Bible passage.
Jibu kweli au sio kweli. Kuna maana sahihi nyingi za kifungu cha Biblia.
FALSE
Sio kweli
Answer true or false. What God has written in the book of Genesis will be in agreement with what God has written in Revelation.
Jibu kweli au sio kweli. Alichoandika Mungu katika kitabu cha Mwanzo kinaelewana na alichoandika Mungu katika kitabu cha Ufunuo.
TRUE
Kweli
Homiletics I Study Questions 2
Elimu ya mahubiri 1 Maswali ya kujifunza 2
Circle the correct answer.
Zungushia duara jibu sahihi.
Say "ah" or "um"
Sema "ah" au "am"
Put his hands in his pockets
Kuweka mikono yake katika mifuko yake
Look people in the eyes
Kutazama watu machoni
Look at his notes the whole time
Kutazama maandishi yake muda wote
Look people in the eyes
Tazama watu machoni
Which of the following IS NOT a qualification for the preacher?
Kipi kati ya haya ambayo sio sifa ya mhubiri?
He must be filled with the Holy Ghost
Lazima awe amejazwa Roho Mtakatifu
He must be clean in life
Lazima awe safi katika maisha
He must be a true Christian
Lazima awe mkirsto wakweli
He must memorize the entire Bible
Lazima akariri Biblia nzima
He must memorize the entire Bible
Lazima akariri Bilia nzima
What does the preacher need in order to preach with power?
Ni nini ambayo mhubiri anahitaji ilikuhubiri kwa nguvu?
Hours of study
Masaa ya kujifunza
The baptism of water
Ubatizo wa maji
The infilling of the Spirit
Ujazo wa Roho mtakatifu
A nice suit
Suti nzuri
The infilling of the Spirit
Ujazo wa Roho mtakatifu
What thing should the preacher do to be healthy?
Kitu gani mhubiri anapaswa kufanya ilikuwa na afya?
Get proper sleep
Kupata usingizi wa kutosha
Drink lots of coffee
Kunywa kahawa nyingi
Drink soda instead of water
Kunywa soda badala ya maji
Stand on his head
kusimama kwa kichwa chake
Get proper sleep
Kupata usingizi wa kutosha
Fill in the missing words.
Jaza maneno ambayo hayajawekwa mahali pake.
The best way to preach is to is to ______________ ______________________ __________________ to the Holy Ghost.
Njia sahihi ya kuhubiri ni _____________ _________________ _____ _______________ ___________ ______ kwa Roho Mtakatifu.
The best way to preach is to is to yield your personality to the Holy Ghost.
Njia sahihi ya kuhubiri ni kuuacha tabia na mazoea wako uwe kwa Roho Mtakatifu.
________________ _____________________ is necessary for a clear delivery of the message.
________________ _____________________ ni Muhimu kwa ajili ya Ujumbe kueleweka.
Proper diction is necessary for a clear delivery of the message.
Kauli sahihi ni Muhimu kwa ajili ya Ujumbe kueleweka.
To preach, you must know _______________.
Ili kumhubiri Kristo ni lazima umjue _____________.
To preach, you must know Christ.
Ili kumhubiri Kristo ni lazima umjue Kristo.
II Corinthians 4:13 "I ______________, and therefore have I ________________; we also ____________________, and therefore _________________;"
II Kor. 4:13 "_________________, na kwa sababu hiyo ______________; sisi nasi _________________, na kwa sababu hiyo _________________;"
II Corinthians 4:13 "I believed, and therefore have I spoken; we also believe, and therefore speak;"
II Kor. 4:13 "Naliamini, na kwa sababu hiyo nalinena; sisi nasi twaamini, na kwa sababu hiyo twanena;"
Romans 10:15 "And how shall they _________________, except they be ___________________?"
War 10:15 "Tena ______________, _____________________?"
Romans 10:15 "And how shall they preach, except they be sent?"
War 10:15 "Tena wahubirije, wasipopelekwa?"
Answer true or false.
Jibu kweli au sio kweli.
The Personality of the Preacher will be evident in the pulpit.
Tabia na mazoea ya mhubiri utakuwa dhahiri katika mimbari.
TRUE
kweli
FALSE
Sio kweli
It is not good to get excited when preaching.
Sio nzuri kusisimka wakati wa kuhubiri.
FALSE
Sio kweli
Our goal as a preacher is to be a motivational speaker.
Lengo letu katika kuhubiri ni kuwa mhamasishaji.
FALSE
Sio kweli
He who is called to preach the Bible is also called to study the Bible.
Yeye ambaye ameitwa kuihubiri Biblia pia ameitwa kujifunza Biblia.
TRUE
Kweli
Homiletics Study Questions 3
Elimu ya mahubiri Maswali ya kujifunza 3
Preaching is the ______________ _________________ of divine truth with a view to ____________________________.
Kuhubiri ni _______________________ _________ __________________ ya ukweli wa kimungu kwa lengo la ___________________________.
Preaching is the spoken communication of divine truth with a view to persuasion.
Kuhubiri ni mawasiliano ya mazungumzo ya ukweli wa kimungu kwa lengo la kushawishi.
Which of the following does not describe preaching?
Kitu gani kati ya mambo ya fuatayo ambayo hakielezei mahubiri?
The proclamation and enforcement of the Word of God
Kutangaza na kusimamia Neno la Mungu
The delivery of a message from God to Man
Kufikisha ujumbe toka kwa Mungu kwa mwandamu
Making people feel happy about their sin
Kuwafanya watu wajisikie furaha kwenye dhambi zao
Preaching concerns itself with Godly subjects
Kuhubiri kunawahusu viumbe wa Mungu
Making people feel happy about their sin
Kuwafanya watu wajisikie furaha kuhusu dhambi zao
What is the most important subject a preacher will preach?
Ni kitu gani muhimu kuliko yote ambacho mhubiri atahubiri?
Prosperity and riches for the believer
Mafanikio na utajiri kwa ajili ya muumini
The way of holiness
Njia ya utakatifu
The Ten Commandments
Amri kumi
The way of salvation
Njia ya wokovu
The way of salvation
Njia ya wokovu
What is the authority of Christian preaching?
Ni nini ambayo ni mamlaka ya mahubiri ya kikristo?
The Word of God
Neno la Mungu
A title, such as pastor
Kichwa cha habari, kama vile mchungaji
Popularity
Sifa ya kidunia
A good smile
Tabasamu nzuri
The Word of God
Neno la Mungu
Answer true or false. The absolute belief in the inspiration of the Bible is necessary for strong conviction for its truths.
Jibu kweli au sio kweli. Kuamini bila shaka yeyote msukumo wa Neno la Mungu ni muhimu kwa ajili ya kuukubali ukweli wake.
TRUE
Kweli
Answer true or false. You should not be positive in the pulpit, but instead always rebuke the people for their sins.
Jibu kweli au sio kweli. Hupaswi kuwa mtu wakuwajenga watu katika madhabahu, badala yake uwe mtu wa kuwakemea kwa ajili ya dhambi zao.
FALSE
Sio kweli
Hebrews 4:12 "For the word of God is _____________________, and ________________, and sharper than any twoedged sword, piercing even to the dividing asunder of soul and spirit, and of the joints and marrow.
Waebrania 4:12 "Maana Neno la Mungu li ____________, tena _______________ ______________, tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili, tena lachoma hata kuzigawanya nafsi na roho, na viungo na mafuta yaliyomo ndani yake;"
Hebrews 4:12 "For the word of God is quick, and powerful, and sharper than any twoedged sword, piercing even to the dividing asunder of soul and spirit, and of the joints and marrow.
Waebrania 4:12 "Maana Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili, tena lachoma hata kuzigawanya nafsi na roho, na viungo na mafuta yaliyomo ndani yake;"
What is a textual sermon?
Hotuba ya kifungu nini?
A sermon founded on a topic
Hotuba iliopatikana kwenye mada
A sermon that is divided by the prominent words of the text
Hotuba ambayo imegawanywa kwa maneno yanayo julikana ya kifungu
A sermon based on a story
Hotuba nyekujengwa juu ya hadithi
A sermon that is based on history
Hotuba ambayo imejengwa juu ya historia
A sermon that is divided by the prominent words of the text
Hotuba ambayo imegawanywa kwa maneno yanayo julikana ya kifungu
Answer true or false. An expository sermon is founded on the theme or topic of the text.
Jibu kweli au sio kweli. Hotuba yenye kuelezeka hupatikana kwenye dhamira au mada ya kifungu.
FALSE
Sio kweli
Answer true or false. The introduction is the main subject of the sermon.
Jibu kweli au sio kweli. Utangulizi ni somo kuu la hotuba.
FALSE
Sio kweli
The body of the sermon outline includes the meat and substance of the sermon expressed as ______________ or _________________.
Ratiba ya mwili wa mafundisho inajumlisha nyama na uzito wa somo kwa maelezo ya ________________ _______________ au _________________.
The body of the sermon outline includes the meat and substance of the sermon expressed as main points or divisions.
Ratiba ya mwili wa mafundisho inajumlisha nyama na uzito wa somo kwa maelezo ya dondoo muhimu au mgawanyo.
The manner of preaching is _______________ _____________.
Njia ya kuhubiri ni ____________________ ___________ _______________.
The manner of preaching is spoken communication.
Njia ya kuhubiri ni kuwasiliana kwa kuongea.
A powerful and effective sermon does not include:
Hotuba yenye nguvu na yenye matokeo haishii na:
Passion
Kusisimua
The unction of the Holy Ghost
Upako wa Roho Mtakatifu
Preaching for at least an hour
Kuhubiri angalau kwa saa moja
Clear, common speech
Lugha iwe wazi na ya kawaida
Preaching for at least an hour
Kuhubiri angalau kwa saa moja
The congregation needs to be kept in view throughout the entire sermon process.
__________________ wanapaswa kushirikishwa katika mchakato mzima wa hotuba.
The congregation needs to be kept in view throughout the entire sermon process.
Waumini wanapaswa kushirikishwa katika mchakato mzima wa hotuba.
The mission tells us ________________ we preach.
Ujumbe unatueleza ________________ za kuhubiri.
The mission tells us why we preach.
Ujumbe unatueleza sababu za kuhubiri.
Homiletics Study Questions 4
Elimu ya mahubiri maswali ya kujifunza 4
Thoughts and ideas must be expressed in ______________.
Mawazo na fikira ni lazima yaweze kuelezwa kwa ______________.
Thoughts and ideas must be expressed in words.
Mawazo na fikira ni lazima yaweze kuelezwa kwa maneno.
Preaching is about receiving a _________________ from God, and then sharing that __________________ with the people.
Kuhubiri ni suala la kupokea ________________ kutoka kwa Mungu halafu ukawahubiri watu ____________ huo.
Preaching is about receiving a message from God, and then sharing that message with the people.
Kuhubiri ni suala la kupokea ujumbe kutoka kwa Mungu halafu ukawahubiri watu ujumbe huo.
What is the theme?
Dhamira ni nini?
The Subject upon which the preacher plans to speak
Ni jambo ambalo mhubiri anapanga kwenda kuhubiri juu yake
The fundamental truths of the Bible arranged in systematic form
Ni kweli za msingi za Biblia zilizo pangwa kwa muundo wa utaratibu
The sermon in a single sentence
Hotuba ilioko katika sentensi moja
The Scripture read by the preacher at the beginning of the sermon
Andiko husomwa na mhubiri mwanzoni mwa hotuba
The Subject upon which the preacher plans to speak
Ni jambo ambalo mhubiri anapanga kwenda kuhubiri juu yake
Answer true or false. The preacher does not need a purpose for his sermon.
Mhubiri hahitaji kusudi kwa ajili ya hotuba. Jibu kweli au sio kweli.
FALSE
Sio kweli
Which of the following is not true about the theme?
Kipi kati ya mambo yafuatayo ambacho sio kweli kuhusu dhamira?
The theme promotes unity in the sermon
Dhamira huleta umoja kwenye hotuba
The theme will confuse the people
Dhamira itawachanganya watu
The theme should be expressed with clearness of thought
Dhamira inapaswa kuelezewa kwa wazo la wazo
The use of one theme is helpful to the congregation
Matumizi ya dhamira moja ya saidia kwenye kusanyiko
The theme will confuse the people
Dhamira itawachanganya watu
Answer true or false. None of the books of the Bible have a unified theme.
Hakuna kitabu hata kimoja kwenye Biblia chenye dhamira moja. Jibu kweli au sio kweli
FALSE
Sio kweli
Answer true or false. The thesis statement is the entire sermon described in one complete sentence.
Maelezo ya hoja ni hotuba yote ikiwa imeelezwa katika sentensi moja iliyo kamili. Jibu kweli au sio kweli.
TRUE
Kweli
What question does the thesis statement answer?
Ni swali gani ambalo maelezo ya hoja hujibu?
Who am I?
Mimi ni nani?
What is preaching?
Ni nini inayo hubiriwa?
What am I going to say?
Ni nini ninacho enda kusema?
What am I going to say about what I am going to say?
Nitaenda kusema nini kuhusu ninachoenda kusema?
What am I going to say about what I am going to say?
Nitaenda kusema nini kuhusu ninachoenda kusema?
Answer true or false. The text may include more than is actually read.
Kifungu chaweza kuhitimishia zaidi kuliko kusoma kwa kawaida. Jibu kweli au sio kweli.
TRUE
Kweli
The text is the _______________ ________________________ upon which the sermon is built.
Kifungu cha maandishi ni ______________ _________ ____________ ambao juu yake mahubiri hujengwa.
The text is the Scriptural foundation upon which the sermon is built.
Kifungu cha maandishi ni msingi wa andiko ambao juu yake mahubiri hujengwa.
The preacher's authority is founded upon the ___________ ________ __________.
Mamlaka ya mhubiri msingi wake ni ____________ ______ __________.
The preacher's authority is founded upon the Word of God.
Mamlaka ya mhubiri msingi wake ni neno la Mungu.
Answer true or false. Current events can be taken advantage of in the selection of a text.
Matukio ya sasa yaweza kuleta faida katika kuchagua kifungu.jibu kweli au sio kweli
TRUE
Kweli
No Comments